Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwana mama anayekuja juu kwa kasi ambaye pia ni mke wa mheshimiwa Joseph Mbilinyi kila kukicha anazidi kuonesha vituko vyake Faiza leo kaamua kuipa promo chupi yake kwa kupita mbele za watu na...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Hizi ni nyimbo 5 zilizorudia nyimbo za zamani na kuhit tena Hizi ni nyimbo 5 zilizorudia nyimbo za zamani na kuhit tena - MUUNGWANA BLOG
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Angalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology. Je ni kwanini hakuhudhuria?
2 Reactions
126 Replies
29K Views
Wakuu naomba tuskilize haya mahojiano na tufanye uchambuzi wa kile tutakachokiskia kwa kutoa Constructive and comparative analysis between the two bongo flavor artists of Tanzania
0 Reactions
2 Replies
583 Views
Mwanamuziki nguli wa muziki wa Kwaito wa nchini Afrika Kusini aitwaye Mduduzi Tshabalala au maarufu kama Mandoza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 38. ========= JOHANNESBURG – News of the...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa tafiti zangu nilizofanya nimegundua hawa ndio wasanii wenye followers wengi instagram 1:Davido 2:Diamond Platnumz 3:Wizkid 4:Tiwa Savage 5:Donjazzy 6:Shillole...
2 Reactions
20 Replies
6K Views
Hivi kwa nini inasemekana south paws ni boxers wazuri sana kuliko orthodox wakati huo huo wanaoshikilia chat za juu za maboxers wazuri inaongozwa na orthodox?? Hili swali nimekuwa nikijiuliza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Faiza Ally au ukipenda muite mama Sasha amefunguka kuwa ana mpenda sana Sugu japo hapo awali alivunga kwa kusema hana time nae kwa kuwa kila mtu ana hamsini zake Lakini wahenga wanasema mapenzi...
4 Reactions
84 Replies
17K Views
Mdogo mdogo Salome Ipi kitendea haki kutokana na mahadhi ya nyimbo tajwa?
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Msanii chipukizi wa diamond kutoka wcb mwenye nyimbo mbili tu kwenye mbongo flava ameanza kuonja mafanikio ya kazi yake baada ya kuanza kuishi kwake Raymond mwenye hits mbili za kwetu na natafuta...
4 Reactions
128 Replies
25K Views
1.Nimekua nikifanya utafiti kwa mda mrefu sana hatimae kuna kitu nimekihisi kwa wasanii wetu hasa upande wa muziki. Wengi wakishakua ma super star wanakua na maringo sana au hata kama hawana...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Mwanadada Vanessa mdee au V money anatarajia kufanya kolabo na msanii kutoka marekani Trey Song V money amejigamba kuwa kolabo yake hiyo bila shaka itasababisha atimize ndoto zake za kushinda...
7 Reactions
17 Replies
2K Views
Picha inajieleza zaidi la kuongea sina nasubilia tu iyo ngoma ikitoka ila safiii sana vijana kama mmeamua ivyo muue mambo ya uteam
5 Reactions
194 Replies
14K Views
Jamaa anakipaji cha kutangaza radio na anafanya for funny anatafuta radio ya kutangaza as a parttime job (hakuna malipo) pia anasifa zifuatazo:- -fluent english na swahili -computer skills -online...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
You know you a joke, when even the likes of Sean Kingston can come up on record and call your bluff. Remember when Game came up in the "how we do" video all mean mugged acting tough? Dude was a...
0 Reactions
2 Replies
660 Views
Aliyewahi kuwa miss Tanzania mwaka 2000, Jackline Ntuyabaliwe maarufu kama K-Lynn au bosslady ambaye pia ni mke halali wa billionea na mfanyabiashara maarufu nchini bwana Reginald Mengi, hivi...
14 Reactions
461 Replies
58K Views
Huyu ndio First born wa Dr Slaa kwa mkewe wa kwanza Bi Rosemary Kamili mbunge wa Viti Maalumu CHADEMA!Anaitwa Linus...Huyu ndio bro wake na Junior,last born wa Dr Slaa.Amevuta jiko na kuagana na...
2 Reactions
8 Replies
4K Views
Wasalaam! Takribani ni miezi 4 kama si mitano kabisa tangu msanii wa label ya Sony music international "Alikiba" (KingKiba) kuachia official release ya wimbo wa "AJE" ambao kiukwel trend ya wimbo...
7 Reactions
48 Replies
14K Views
Wasalaam wakuu! Sio siri uzalendo umenishinda haswaa! Yote ni juu ya Alikiba "Kingkiba" Maana mpaka sasa nashindwa kuelewa ni Nani aliyekuroga hadi unaendesha mziki wako kizaman sana. Uliporudi...
7 Reactions
46 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…