Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Sijui nini huwa kinatokea kwa wasanii wetu baada ya kuwa maarufu? Nakumbuka Feruzi aliwahi kumiliki gari aina ya "Jeep" na kuwa msanii wa kwanza mwenye gari ya gharama akifuatiwa na Lady JayDee...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Ni kweli inauma mno kutelekezwa na mzazi. Mimi ambaye baba na mama yangu walinilea kwa umoja wao pamoja na umaskini wetu, huwa nawaza ingekuwaje baba au mama asingekuwa karibu yangu? Malezi ya...
5 Reactions
46 Replies
7K Views
kumekuwa na thread nyingi humu kuhusu show ya fiesta ambazo me nazani watu wanabwabwaja tu maneno sina hakika kama kuna ukweli nahitaji mtu anaejua vizuri mikataba wanayolipwa wasanii aje apa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Model wa Tanzania anayefanyia kazi zake nchini Afrika Kusini, Daxx Cruz, ameingiza sokoni soksi zake za viatu. Soksi hizo zenye rangi mbalimbali zinaitwa hivyo kwa jina lake ‘Daxx Cruz.’ Tayari...
9 Reactions
41 Replies
10K Views
Baada ya Magufuli kuingia madarakani vijana wengi kwa sasa wanalalamika mtaani kugumu, msanii Diamond aja na ubunifu mpya wa kutengeneza pesa. Mpaka sasa ni hakuna show yeyote aliyofanya Diamond...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna wimbo wa bongo fleva wa earlier 2000s sikumbuki kauimba nani ila chorus iko hivi. Penzi litabaki pale pale (pale) X2 Nakupenda nakuhitaji uwe wangu eeh Nilidhani aliimba adili lakini nadhani...
0 Reactions
0 Replies
704 Views
Huyu jamaa si level ya wapiga dili wa mjini
1 Reactions
34 Replies
4K Views
Staa wa filamu nchini, mwenye hadhi ya aina yake, Yvonne cherry maarufu kama monalisa, kupitia mtandao wake wa kijamii(insta) amepost picha inayomuonyesha akiwa na kitumbo (mimba) ambayo...
6 Reactions
40 Replies
11K Views
Wasanii na viongozi wa WCB waalikwa nyumbani kwa rais mtaafu Jakaya Kikwete Rais mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete Jumatano hii aliwaalika wasanii wa label ya WCB pamoja na viongozi...
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Diamond VampireBaraka da Prince ft Ali Kiba Msamehe.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kuzindua mueleko wa chama cha ODM kinachoongozwa na raila Odinga nchini kenya kuelekea uchaguzi mkuu nchi kenya mwaka 2017, chama hicho kimeandaa sherehe kubwa ya siku 2 yaani ijumaa hii na...
5 Reactions
63 Replies
11K Views
Kwa wale wafutaliaj wa mambo watakuwa wameolidavua hili sasa kuna kundi A ambalo lenyewe linajiona kila kitu halitak ukaribu kabisa na kundi B hili linaundwa na Diamond na WCB,shettah, ney wa...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mi napenda huu mchezo wa basket hua unaniua kabisa Hebu cheki hapo alivyoushika huo mpira sijui anataka kurusha 3 point au!!!jionee mwenyewe masogange naona kaachia huu mzigo sijui nani...
6 Reactions
111 Replies
9K Views
Namuona hapa huyu mtu mliyemsema anaitwa Kicheko anahojiwa Clouds Tv kumbe ndo huyu, nakumbuka niliwahi muona EATV kwenye comedy, ila mbona ameingia Clouds kwa mbwembwe sana hajui kwamba kuna siku...
2 Reactions
0 Replies
779 Views
MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA MALALAMIKO MAZITO KUTOKA KWA CHID BENZ, KWA WANAOSEMA AMERUDIA UNGA | RAHA ZA WALIMWENGU
0 Reactions
0 Replies
750 Views
Season ya Antlantis Bongo Movie Nowadays, Seasons ni habari ya mjini kwasasa,Why Bongo Movie kimyaa? Wakati tuna waigizaji wa kweli Hapa Tanzania? Ikiwemo Ray,Richie Rich,Lulu,Wema sepenya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mwanamama maarufu mwenye haiba ya kipekee mjini, mange kimambi, hivi karibuni aliwaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya ku post video akicheza wimbo wa mwanamuziki mkongwe nchini, dully Sykes...
8 Reactions
39 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…