Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Haya hayaaaa Wale wenye timu zao wakina timu Domo na timu Kibakuli naona mambo yanapamba moto. Tarehe 13/9/2016 new hit song la Baraka ft Alikiba linaachiwa rasmi. Amini usiamini hili ni...
6 Reactions
162 Replies
26K Views
Habari ndugu zangu. Tunafaham kuwa ni siku chache tu tetemeko la ardhi limetokea mkoa wa kagera na kuathiri maeneo mengi hasa manispaa ya bukoba. Na siku kadhaa kabla ya tetemeko tukio la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zinazoenea kwa kasi chini ya kapeti kuhusu staa wa filamu nchini, Elizabeth michael aka Lulu hivi karibuni kushushiwa kipigo "heavy" na mpenzi wa sasa ambaye pia ni mmliki wa radio maarufu...
11 Reactions
303 Replies
39K Views
Mkali wa wimbo ‘Bado’ Harmonize amefunguka na kuelezea harakati zake za muziki mpaka anafika kwenye mafanikio huku akiweka wazi jinsi alivyoambiwa hajui kuimba na Master J katika shindalo la BSS...
8 Reactions
127 Replies
16K Views
Jamani anayejua hapa huyu vampire platnumz mbona hatupumui?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Jesph, Mkewe Juhaina na mtoto wao pamoja na Chaka Khan. Apparently Joseph kusaga alipewa sharti la kumwoa yule binti wa Kingazija (Juhaina) wakati alipokuwa anafanya kazi pale Greenland Bank...
2 Reactions
25 Replies
19K Views
Beautiful onyinye wema sepetu sepetunga ameonesha umahiri wa hali ya juu wa kucharaza kiarabu licha ya kuwa hajioneshi kuwa anafahamu lugha hiyo Kupitia ukurasa wake wa instagram mrembo Wema...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Muigizaji na mshindi wa tuzo ya oscar, lupita nyong'o, hvi karibuni amepata shavu jingine kubwa ambapo sura yake itaonekana kwenye jarida maarufu nchini marekani linalodeal na mambo ya fashion na...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
Daah,sijui kama ingekuwa jamaa yetu wangefika kweli!Pia wadau tujuzane wasanii ambao wameshatinga magogoni awamu hii ya 5!Sijaona post hata moja ya msanii akiwa na JPM 2016
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Msanii Mataluma aliye wahi kubamba na ngoma zake kama vile ,mama mubaya, na kariakoo ameamua kurudi rasmi kwenye mziki baada ya biashara iliokuwa ikimuweka hapa mjini ya kuuza mkaa kumdodea...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
BARUA KWA DIAMOND PLATINUMZ na MAMA YAKE MZAZI Mbeya region P.O.BOX 0759209081 MBEYA Dear diamond.... sina imani we ni mzima wa afya kutokana hasa na mambo unayofanya kiukweliii katika...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwanamuziki Esterina Sanga maarufu kwa jina la Lina ameamua naye kulipa kisasi kwa Wema kwa kumchukua mpenzi wa Wema aitwaye Idrissa Sultani Linah kaamua kufanya hivyo kwa kuwa Wema siku za nyuma...
2 Reactions
103 Replies
23K Views
Msanii mkongwe wa muziki Matonya ameweka wazi ujio wa kundi lake jipya ‘Black Image’ likiwa na project mpya ‘Mr Magufuli Legeza Kidogo’. Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri na wimbo...
3 Reactions
7 Replies
5K Views
Mara baada ya Zarina mwana wa Hassan kupost ujumbe wenye utata kuhusu watu wanaomnyatia nyatia poozo lake la moyo Chibu dangote ambao ujumbe huo kwa namna nyingine ulionekana kumgusa Huddah Monroe...
2 Reactions
342 Replies
42K Views
Hawa clouds ni kiboko kwa wizi! Hii idea yao fiesta inayosema imoooo, ni idea ya Jose mtambo (msanii wa hip hop),huenda hata huyu msanii hajui ya kwamba kaibiwa kimstari chake. Sasa ni hivi nenda...
3 Reactions
31 Replies
5K Views
1:Diamond na Wema 2:Diamond na Zari 3:Wema na Idriss 4:Baraka da prince na Najma 5:Aika na Nah reel 6:Ali kiba na Jokate...
1 Reactions
50 Replies
12K Views
AFANDE SELE NI RASTA,MWANAHIP HOP AU MPAGANI !!!!? *kila mstari wake aliotaja Mungu weka Jua. Imani ni kuwa nayohakika kwa mambo yanayoonekana nayasiyooneka.Kila utamaduni una...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimekutana na taarifa hizi za huyu Kaka'etu kuteuliwa kuwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Mbulu. Zina ukweli wowote au ni propaganda feki tu za mtaani? Kama ni kweli, Hongera sana...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Jamaa ana katabia fulani ka ajabu sana.ni mtangazaji mzuri sana tena sana.ila huwa anakera sana inapotokea anaitambulisha ngoma ya msanii hasa yule ambaye anampenda yeye.utamsikia...
7 Reactions
65 Replies
13K Views
Huyu msanii ni moto wa kuotea mbali, Hebu sikiliza hiki kibao aliimba kuhusu ufisadi wa awamu ya nne. Wasiomjua ndiye alieimba-sumu ya teja.
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…