Huyu Binti Mrembo Mimi Mars wa TV1 ananikoga moyo kwa umahiri wake Wa kipindi cha Weekend Gossip
Hakika anaweza kipindi kwa jinsi anavyotia ladha. Watangazaji wengine Wa kike igeni mfano wa huyu...
Aisee nilipokuwa youtube nikajikuta napitia video ya huyu jamaa.....Dah Sikuwa nikijua kama jamaa kafikia stage hii....Yani video zote kavaa mavazi ya kike na kujishebedua kama mdada....Na make up...
Tanzanian socialite, Agnes Masogange has put on display her $exy curvy hot body, with her tightly jeans she wears as she looked on her photo she shared on her Instagram account, believable! Agnes...
Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend.
Vanessa ameiambia Bongo5 sababu ya kufanya...
Niaje washkaji zangu.? I hope weekend imekaa powa sana.
Leo ninapenda kuweka wazi ni jinsi gani Ninawakubali hawa watangazaji wawili kutoka cloudsfm, kiukweli sikuwa msikilizaji wa Clouds bt hawa...
Zari the boss lady maarufu kama mama tiffa mke wa msanii maarufu bongo Diamond ameweka picha Snapchat ya kuwataka watu waache kumfananisha na malaya ambao hawajawahi hata kuingia leba. Anadai...
Nimeangalia tangazo EATV anaonekana Salama Jabri akiadvertise kitu flani anaishia kwa kusema: MAGUMU KULIKO, EATV JULY 2016. Mwenye uelewa wa anazungumzia nini tafwadhali nijuze.
NIko Kyela hapa nimeona matangazo ya Show ya diamond kesho IDD pili kwenye ukumbi wa Mwamunyange kilichonishangaza kiingilio VIP tsh 100,000(laki moja).
Hivi kweli huku wilayani Kyela kuna watu...
Miye na swali kwa uyu mdada mwenye kipindi katika siku ya juma mosi katika tv ya clouds
Swali langu naitaji aje atuambie anapoandaa kipindi huwa analenga tabaka lipi katika jamii watizame...
For those who don't know him, jamaa anaitwa Stanley peter cox born in Oakland, CA mnamo mwaka 1982. Mistah F.A.B. is an acronym for"Money Is Something to Always Have — Forever After Bread."
Huyu...
Nimetoka kuangalia Video mpya ya Mr bluu "mboga saba" na nasikitika kusema kwamba sijaipenda sio kwamba nyimbo ni mbaya bali ni kwa haka katabia ka wasanii wa Bongo kuwaweka kwenye video Madem...
Wana bodi naomba kujuzwa mwenye taarifa za wapi alipo na kama bado anajihusisha na tasnia ya Mziki msanii huyu mwenye kipaji cha hali ya juu alitushika kwa vibao vyake kadhaa kama ya nini...
Nashindwa nitaandika kuhusu huyu mwanamke, lakini mungu akikupa kipaji hakuna wa kukizuia kuonekana, wanasema dhahabu hata ikiwa kwenye moto ni lazima ing'ae tu, God bless this woman aendelee...
Kwa kawaida kwenye kesi za mapenzi za kupigana mwanamke ndio huwa anamshtaki mwanaume, mwanaume hata kama umedundwa inabidi utulie kimya inabakia kuwa 'Siri ya ndani' huo ndio uwanaume, sasa hii...
Nafurahishwa na namna King Kiba anavyowakimbiza katika tuzo zinazoendelea kupigiwa kura za NAFCA.
I used to say always that "KIZURI CHAJIUZA NA MUDA NDO HAKIMU WA KWELI"
Naona vijana wanaibuka kwa kasi kutengeneza kava badala ya kuutumia mda huo kutengeneza hits zao, huu ni uduanzi, kama kweli nyie ni wasanii si mtengeneze hits zenu? Yaani unakaa unaskilizia staa...
Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu
Babutale ashawahi kuwa meneja wa Z Anto,mbdogg.gorilla...
Msanii madee ametamba kwenye wimbo wake mpya wa 'Migulu pande' kuwa anamiliki watoto wakali kama yule mtu wa Kale (I bet hapa anamzungumzia Le Mutuz na mabebez wake).
Sasa out of curiosity...