Muimbaji huyo ambaye kwa sasa yupo chini ya label ya ‘LFLG’, ameiambia Clouds FM kuwa kwa sasa hawezi kuingilia ugomvi usiyomuhusu.
“Wale ni wanawake kwa hiyo zile ni tofauti zao, siwezi kuingilia...
Hivi kuna biashara gani ommy dimpoz anafanya ukiacha muziki, maana sioni huu muziki anaoufanya unaweza kumfanya atanue namna ile mara ibiza, mara spain kama anavyopost kwenye page zake.
Msanii wa kundi la Orijino Komedi, Masanja Mkandamizaji ameshare picha kadhaa kwa mashabiki wake wa kwenye mitandao ya kijamii kuonyesha jinsi anavyowajibika akiwa shambani kwake.
Haya jiko lishachukuliwa na mwenyewe jamani.....Alililililili....
She looks stunning aisee, Klynn alinidisappoint flani ila Nancy amewaka jamani. Mrembo wa Afrika katendea haki title hadi kwenye...
Toka nifike Dar es salaam kutoka Arusha, kitu kilichonishangaza na kuona kiinyaa ni tabia ya baadhi ya wanaume wa Dar kukaa chini na kuanza kudiscus mara sijui Wema kafanya hivi, mara Jokate...
jaman nimekuwa na mkanganyiko kutokana na historia ya mwanamziki yondo sister wengine wanasema alishakufa wengine yupo hai du nashindwa kuelewa wajama naomba mnisaidie historia nzima ya yondo...
Nilikuwa nafuatilia interview ya dudubaya kwenye kipindi cha mkasi s09e09 dudubaya kanifurahisha sana jamaa,hakika huyu ni stress free zone,yupo free sana kuelezea hisia zake huyu jamaa,hakika...
Naitizama documentary ya Jay Z inayokwenda kwa jina la Fade To Black najifunza mambo mengi sana na huwa siichoki kuitizama documentary hii ,lakini kinacho nivutia zaidi kwa Jay Z ni mapenzi yao...
Weka Jina,Kazi,na Cheo chake.
Note:Sio upande wa siasa tu!
No.1
Dr.John P.Magufuli
President of the United Republic of Tanzania.
No.1
Edward Lowassa
Former Prime Minister of URT.
Nasib Abdul...
Elimu ukiitumia vyema inakupa macho ya ubongo kuona sehemu ambayo wengine hawawezi kuiona ,Elimu ni kitu kizuri kuwa nayo ni fahari sababu inakupa hazina ya maarifa pamoja na aibu ya kutunza...
Burudani ni sehemu kubwa ya maisha yangu napenda music kwa kiwango kikubwa sana na nafuatilia music kwa kiwango kikubwa sana sababu music ni faraja ya maisha yangu .Bongo flava siipendi...
Millen Magese just might take home the award for the wackiest look of the night — there was WAY too much going on. From the pronounced sleeve to the bright neon hue to the fringe detailing on the...
Jaman mbona Aje ni bonge la hit hapa town? Kwanini jamaa hana show? Kama tatizo ni managment mbona ndo ile ile ya Jide na Jide anapiga show kibao??
Au mziki wake anatoa kisha anaingia kulala...
Kama siku tatu zilizopita nimesikia ujio mpya wa Young D.
Kiukweli ni bonge la ngoma kwa mtazamo wangu lakini nashangaa haijawa habari ya mjini kama nilivyotegemea.
Wajuzi wa mambo mkujeni hapa.