Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Mwanamuziki machachari kutoka pande za kenya ,akothee amefunga ndoa kwa mara ya pili huko nchini south Africa na mzungu ambaye bado hajajulikna ni wa nchi gani.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria...
1 Reactions
193 Replies
41K Views
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka tuuu... Daaahhh kazuri kama mama yake.. Mmhh nani anabisha?!
4 Reactions
12 Replies
20K Views
Mkurugenzi na mtangazaji kutoka redio ya watu wako tayari kabisa kufunga harusi siku yoyote kuanzia wiki ijayo. Harusi hiyo iliyopewa jina la harusi ya watu inatarajiwa kuwa kubwa Tanzania kuliko...
13 Reactions
60 Replies
15K Views
Nimegundua wasanii wa bongo(wenyewe wanajiita mastaa) wengi wao wananunua followers instagram ili waonekane wanakubalika katika jamii. Imegundulika hata hao followes ambao wananunua wengi wao ni...
8 Reactions
37 Replies
5K Views
Leo katika Kipindi cha Top 20 cha Clouds FM sijui nini kilimfanya Mtangazaji wa kipindi hicho kumuuliza Dyna Nyange kama anamfahamu Kala Jeremiah, lakini cha Kushangaza Dyna Nyange akasema hamjui...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Habari wakuu, Millard Ayo amepost picha yake kipindi bado anaanza maisha. Kusema ukweli imenigusa sana na ni mfano wa kuigwa, anakumbuka alipotoka na anatuonyesha sisi vijana kwamba mafanikio...
7 Reactions
65 Replies
13K Views
Huu ni ushauri kwa Msanii mkongwe wa miondoko ya kuchana chana kama wanavyoda watoto wa mjini. Umekaa kimya muda mrefu sana nakupa wazo rudi tena studio na uzirudishe nyimbo zako za zamani...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Kama mwananchi nimesikitishwa sanaaa, sanaa kukosekana hii tuzo ila huu mwezi mtukufu, unafiki dhambi, mimi kama Lara kubwa la...
6 Reactions
88 Replies
14K Views
Hayahaya.......mapenzi yamejaa mambo, asikwambi mtu! We kwani ulijua wamepigana nini, ngumi? Walaaaa!!! Wamepigana mabusu tu wenzako... mabusu motomoto. Tena wala sio hivi karibuni, ni siku...
1 Reactions
44 Replies
35K Views
Wakati sisi mashabiki wa Almasi tukisumbua kwenye mitandao ya kijamii tukiamini tumeitawala Afrika kufuatia colabo ya msanii wetu kipenzi na Neyo, msanii ambaye kwa sasa ni 'zilipendwa' kule...
6 Reactions
36 Replies
6K Views
Hallo wandugu nimepita kijiwe flani nimekuta watu wanabishana eti kati ya dijaro arungu wa tbc fm na millard ayo wa clouds fm nani mkali kama radio presenter mm binafsi nikaona ni millard mkali...
0 Reactions
84 Replies
22K Views
Ok ok okay naona Best International Act Africa ameshatajwa toka jana, here are my thoughts on BET. BET naona wameprove kuwa label za nje haziwezi kusimamia muziki wa Africa. Kwa mara ya pili...
4 Reactions
53 Replies
5K Views
Suge Knight anamshtaki mwanamuzki mwenza wa R& B Chris Brown mahakamani pamoja na mmiliki wa kilabu moja ya usiku nchini Marekani kufuatia ufyatulianaji wa risasi uliotokea katika kilabu hiyo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kampuni ya Mawasiliano nchini Vodacom Tanzania imeingia ushirikiano wa kibiashara na mtangazaji Millard Ayo. Millard na Vodacom wameingia makubaliano hayo mapema mwezi Juni mwaka huu na jana...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Mbongo movie anayewakilisha vyema kwenye sanaa na mahusiano na anayemalizia kuandika kitabu chake kipya kinachoitwa AINA ZA WANAUME NA TABIA ZAO huenda akaolewa tena mwishoni mwa ramadhani lakini...
19 Reactions
90 Replies
12K Views
Mikato yake ya nywele tu mi ndo nimeipenda zaidi...nywele za kimanga hizo hatari sana
2 Reactions
62 Replies
19K Views
Tusubiri kuiona na kuisikia nyimbo tuliyokuwa tukiisubiri kwa Takribani mwaka Mmoja sasa! Ni ile collabo ya Diamond aliyowashirikisha akina Psquare leo inaachiwa! Na yeye anasema kwenye kucheza...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Jana kwenye clouds tv wametoa majina kumi ya wasanii wenye mafanikio Bongo kwenye muziki na filamu. Majina ni kama ifuatavyo. 1. Mzee Yusuf 2. Lady Jay dee 3. Kanumba 4...
0 Reactions
53 Replies
57K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…