Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Baada ya kituo cha redio cha Swahili fm kurusha matangazo yake ya majaribio na kuonesha mafanikio ya hali ya juu,yaani kuweza kusikika kwa usikivu mzuri mpaka maeneo ya Pretoria na Cairo wakati...
45 Reactions
241 Replies
32K Views
Wahabari,Msanii Dogo Janja kwenye ngoma yake ya "my life" kuna mstari anaimba "Msomi Nikki wa Pili mii niliachaga Makongo".Wanajukwaa naomba kujua kisomo(fani aliyojikita ) cha Nikki wa Pili...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Wasanii wa Bongo wenye account za Instagram ambazo ziko verified wameongezeka kutoka watano (5) hadi wanane (8). Wasanii hao na followers wao kwenye mabano ni...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Young D amekuja tena. Track yake ya "Hands Up" imetambulishwa jana mwisho wa mwezi (30 June). Mistari yake ipo kawaida kwa mtazamo wangu, huwezi fananisha na track kama Kijukuu. Ila kwakua kasema...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msanii mdogo mwenye mafanikio makubwa aliyoyapata ndani ya muda mchache amekanusha habari zinazosambazwa na watu wasiompenda kwamba amekamatwa na poliisi. Akitolea maelezo suala hilo kutoka kwenye...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki...
3 Reactions
51 Replies
15K Views
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu amefungukia ugomvi ambao hutokea mara kwa mara na shosti wake ambaye pia ni muigizaji, Aunt Ezekiel usiingiliwe na mtu kwani wanapogombana tofauti zao...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Kuna dada mmoja nadhani ni video queen alikuwa akihojiwa na TBway leo katika kipindi cha 5Select cha East Africa ana macho flani hivi amazing, yaani soooooo sexy,those sleepy eyes of hers make her...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Afande Sele Msanii wa muziki na mwanasiasa kutoka mji kasoro bahari, Afande Sele amefunguka na kusema kuwa kwa sasa yeye hatarajii kuoa kwani bado yupo yupo sana ingawa anakiri wazi kuwa yupo na...
2 Reactions
54 Replies
9K Views
Young Dee amekanusha tena uvumi ulioenea mitandaoni kuwa anajihusisha na matumizi ya dawa za kulevya. Akiongea kwenye kipindi cha Harakati cha Clouds FM kinachoendeshwa na Kalapina, rapper huyo...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
0 Reactions
145 Replies
25K Views
IFUATAYO NI ORODHA YA WASHINDI KWENYE KILA KIPENGERE AMBACHOKILIKUWA KIKIGOMBANIWA Best Female R&B/Pop Artist Beyonce (WINNER) Adele Andra Day K. Michelle Rihanna Best Male R&B/Pop...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
NO: 10 SWALI: Tunasikia umeachana na mume ni kweli au uzushi? JIBU : Hatujaachana niliamua kumuacha SWALI: Kwanini umeachana/umemuacha mume? JIBU : Nimemuacha kutokana na kuwa Ndoa...
13 Reactions
441 Replies
70K Views
Ukweli mie nakereka na mikogo ya huyu mtangazaji anapoanza kuripoti habari za michezo. Anaweza kulembalemba almost dak 2 kabla hajataja tukio lenyewe. Sina shaka na uwezo wake wa kazi ya kuripoti...
1 Reactions
73 Replies
17K Views
Ni baada ya kutoa video ya wimbo wake wa FAMOUS ambayo inaonyesha akiwa na watu kumi na 12 wako uchi. Watu hao maarufu duniani waliopo kwenye video hiyo ni pamoja na Donald Trump, George Bush...
6 Reactions
65 Replies
10K Views
Bodi ya filamu Tanzania imeikataa script mpya ya video ya Chura ya Snura. Mwezi na nusu uliopita, Wizara ya Habari,Utamaduni ,Sanaa na Michezo iliifungia video ya wimbo huo na kumwagiza Snura...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
4 Reactions
74 Replies
14K Views
Camron and Jay-Z awkward Interview on 106 and Park. Cam must have really pissed off Jay. To-date, none of the diplomats are allowed or even have their songs played at the 40/40 and a few other...
0 Reactions
0 Replies
881 Views
Habari, Ni masikitiko yangu makubwa kuikosa Tuzo hii ya kimataifa kupitia msanii wetu pekee na Brand ya Afrika mashariki. Bila kupoteza muda Na hizi ni sababu zilimfanya Chibu Dangote 1) Hakuwa...
2 Reactions
70 Replies
12K Views
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Mhe. Nape Nnauye amefunguka sababu kubwa inayopelekea wasanii wengi kujiingiza kwenye matumizi ya dawa za kulevya ni pamoja na wasanii hao kuwa na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…