Celebrities Forum

Mazuri na Vimbwanga vya wakubwa (Public Figures in general); The right place for celebrity enthusiast!

JF Prefixes:

Wakuu, Kwa macho yangu, Naona huyu mtangazaji wa kipindi cha Genge cha E_F.M radio anayejiita #Kicheko analandana sana na yule #Masawe_Mtata aliyekuwa kwenye kikundi cha Ze_Comedy ya EATV, hasa...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Baada ya Tuzo za kora kudorora tuzo pekee zenye hadhi kubwa zaidi kwa upande wa africa ni MTV na B.E.T... Hivi karibuni Tanzania tumeweza kupata muwakilishi wetu kwenye hizo tuzo zaidi ya mara...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Msanii mahiri wa filamu Elizabeth Micheal ‘Lulu’ amerudi chuoni na kuamua kuchukua kozi ya Telecommunication engineering. Muigizaji huyo ameweka wazi anachosomea baada ya mashabiki katika mtandao...
3 Reactions
183 Replies
30K Views
Jamani tuwe wa kweli, huyu kijana ana juhudi ya kazi na nasikia ni msomi wa hivi vyuo vyetu vya kata, lakini hana kipaji cha utangazaji jamani. Anajaribu kuiga ma cow boy wa movie za kimarekani...
8 Reactions
140 Replies
27K Views
Ki ukweli habari za michezo hususani za Tanzania sio mfuatiliaji sana . Ila huyu jamaa ananivutia kuziangalia kila siku kutokana na sauti yake ya kipekee na vijimisemo vyake anaporipoti. Hemed...
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Sanaa ni biashara ipaswayo kulipiwa kodi kisheria lakini kwa muda mrefu imekuwa treated kama srctor isiyo rasmi.Kuanzia July this year wajiandae kucomply na matakwa ya kisheria kwani sasa ni...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Tuzo kachukua Black Coffee. Pole Chibu but we ndo mchizi wetu wa dhahabu, kaza but next time utachukua tu.
11 Reactions
118 Replies
15K Views
Tarehe 28/6 mwaka huu zinaenda kutolewa tuzo za BET ambazo Bongo tunawakilishwa na Diamond platnumz! Na hichi ndicho kinacho tufanya Tuzifuatilie sana Hizi Tuzo! Millard Ayo yupo Naye...
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Who's following this thing..? And how 'bout that Taraji P. Henson...that's what's up! #BETAwards
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa kizazi kipya cha bongofreva nadhani utaelewa, ila kama si mfuatiliaji basi kaa mbali maana hapa itakuwa ni lugha gongana Kuna wasanii kibao hapa bongo na wana...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakati wapenzi na mashabiki wa Tanzania sweetheart beautiful Onyinye, Wema Sepetu wakifurahi na kushangilia mimba ya Wema na boyfriend wake Idris, pia maswali kadhaa juu ya nani aliyempachika...
0 Reactions
95 Replies
38K Views
BAADA kuwa katika mahusiano kwa muda mrefu nyota wawili katika tasnia ya filamu Bongo Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hansy , Chuchu anafunguka kwa kusema kuwa mpenzi wake huyo yupo mbioni kubadili...
0 Reactions
67 Replies
16K Views
Kwanza nikiri kabisa katika moja ya mtanzania ninaye mkubali Diamond kwa kazi anazozifanya ni mimi apa.Jamaa amekuwa balozi mzuri sana kwa nchi yetu,ameipeperusha vyema bendera katika sekta ya...
3 Reactions
40 Replies
9K Views
Wadau habarini, Ndugu yetu kitaifa yupo huko kwa wazungu, ila kashaanza kutusumbua na wimbo wake wa #boranibakipekeyangu ft. Hayati Papaa Wemba kwa kifarasa sijui presuko sheo nini sijui. By the...
3 Reactions
51 Replies
9K Views
Diamond Platnumz anafuata nyazo za Dr. Dre, Ludacris, DJ Khaled, 50 Cent na mastaa wengine walioingia kwenye biashara ya headphones. Mabibi na mabwana, Diamond anawaletea ‘Chibu Beats.'...
4 Reactions
38 Replies
6K Views
Rapper Young Dee hatimaye amethibitisha tetesi za miaka mingi kuhusu utumiaji wa madawa ya kulevya na kukiri kuwa ametumia kwa kipindi cha mwaka mmoja na nusu. Akiongea na waandishi wa habari...
3 Reactions
54 Replies
11K Views
Good news kwa Diamond platnumz na mpenzi wake Zari wamezichukua Headlines leo June 23 2016 kupitia kituo kikubwa cha kimataifa MTV Base wameripoti kuhusu kuwa wawili hao kutarajia kupata mtoto...
0 Reactions
71 Replies
15K Views
Wakuu mwenye taarifa za huyu mkali wa hip pop hapa bongo tujuzane,terry ni miongoni mwa mc 3 waliokuwa wanaunda kundi la hard blasters crew,wengine ni nigger j sasa prof j,big willy na yeye...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Dr Dre, y'all know the name. Does it get any more iconic? doubt it. The man's said to be responsible for a million great things; Easy-E's, Ice Cube's, the N.W.A's, The D.O.C's, the Death Row's...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Kupitia kipindi cha ‪#‎FNL‬ kinachorushwa na EATV siku ya Ijumaa, msanii Diamond Platinumz aliahidi kuna tukio kubwa atafanya siku ya J'tatu. Na leo hii ametimiza ahadi hiyo baada ya kumkabidhi...
31 Reactions
324 Replies
39K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…