Harmonize wewe ni msanii Mkubwa Tanzania lakini unafeli sana anapolazimisha kuandika English lhali bado hujakijua vizuri.
Harmonize unaonekana haupo Serious kwenye post zako kwa kuandika Ngeli...
Dada wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Sunna Sepetu (37) ametiwa mbaroni mjini Worcester, Massachusetts nchini Marekani baada ya kukutwa na hatia ya kula njama ya utakatishaji fedha zilizotokana...
Hiyo ndiyo habari ya motomoto kunako mainstream, ambapo inasemekana mtangazaji maarufu Maulid wa Wasafi TV hapa nchini, ndoa yake ya Marekani imeota mbawa baada ya kumuoa Mbunge N.
Chanzo cha...
Kesha has decided to move from Tennessee to California following her recent stint in rehab in a bid to make a fresh start.
Kesha
Kesha has moved to Los Angeles following her stint in...
Naona kuna ukaribu fulani kati ya muigizaji na mjasiliamali ambaye ni mjane wa Sadick Juma Kilowoko (Sajuki) , Wastara Juma na huyu jamaa anayejihusisha na mambo ya kuweka sawa shape za kinadada...
Salam ndugu wanaMMU,
Habari zimeenezwa kupitia vyombo vya habari kuwa Shilole azua utata baada ya kucheza utupu wakati anapiga show huko Ubelgiji, ndipo nikaona nije na habari hii kama sehemu ya...
Namsikiliza Emma mbasha hapa, anasema flora aliondoka na mimba Wakati wanaachana na anasema hawezi kumsema baba wa mtoto watu wanahuduma zao kubwa.
Hapa sijamwelewa kwanini akubali tu mke...
Habari zenu.
Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi.
Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja...
USHAURI WANGU KWA CHINO KWENYE HIZI GARI ANAZOSEMEKANA KANUNUA
Kwanza Kabisa Nianze Na Hizi Management Za Wasanii Zinatakiwa Ziwe Makini Kwenye Kumpa Walau Ushauri Msanii Wao Ni Gari Gani Nzuri...
Umeitazama muvi ya John Wick Chapter 4? Humo utakutana na mtaalamu Donnie Yen kacheza kama kipofu aaitwaye. Ni noma sana humo ndani kakiwasha balaa.
Donnie Yen ana miaka 59 sasa anaelekea 60...
Aliyewahi kuwa Mwanamuziki Nchini na ambaye ni mke wa Marehemu Regnald Mengi, Jacqueline Mengi maarufu kama K-Lyinn amedai kuzuiwa kuingia kwenye kaburi la mumewe, Reginald Mengi
Bila kusema ni...
Za asubuhi wakuu, leo nakuja na makala ya watu maarufu duniani, ambao wameacha alama kubwa katika tasnia zao na mpaka leo hakuna alietokea kuziba mapengo yao.
1) Mohammedi Ali
Huyu ni bingwa...
Habari za muda naomba kufahamu kama Kuna mwenye taarifa yoyote inayomuhusu alikiba
Nimekuta mahali wamepost tumuombee na kwingine tena hivyohvyo kwa anayefahamu chochote kumuhusu, kuhusu hizi...
Huyu jamaa kwenye ngwasuma alikua moto mbaya sana.
Naweza kumfananisha na Chameleon kwa werrrason sasa hivi. Pia zamani sana kulikua na na dogo kule beta la muzika totoo ze bingwa nae alikua...
Picha inasomeka na inaelezea
Diamond alikuwa ameshatoja kimaisha. Dogo alikuwa akiishi getting kwa namna walivyovaa tu.
Lkn baadae wakagombana kwamba afya ya kinaisha ilistahili ichukue nafasi...
Habari zenu wana JF, Tukirudi kipnd cha nyuma miaka ya 2010 soko la bongo muv lilikuwa lilikuw juu sana kuliko hata muziki lkn baada ya Kanumba kufariki soko kimeyumba mpaka sasa
Japo kidogo...