Kwa sasa naambiwa yuko Las Vegas Marekani akiiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya dunia ya Miss Universe - 2015.
Wenye kumjua zaidi naomba mfunguke tumfahamu. Kwa sasa, nimepata kujua taarifa...
Nadhani wadau toka sasa mpaka kesho,Mziiki wetu kuna ushindani mkubuwa sana,hii inapelekea Diamond Platnumz kuleta Changamoto katika muziiki,na mashabiki Wa timu mbalimbali mbali na kupelekea...
Hili goma halichoshi aisee hata usikilize mara elfu. Ngoma kali balaa.
Runtown na Uhuru wamekinogesha balaaaaa
Kwa hili chege nimekuvulia kofia...
https://m.youtube.com/watch?v=luwbbJ558gE
Kichwa cha bongo fleva na Rais wa WCB Diamond Platnumz ana kila sababu ya kuwashukuru mashabiki wake. Licha ya kuwa na tabia ya kutoa misaada bila ya kutangaza, wakati huu ameamua kutoa taarifa...
Leo katika pita zangu mtandaoni nimefanikiwa kuona video ya nagharamikia sijajua ni nani aliofanya iyo video maana ni mbaya ajabu kuanzia location, video queen, na script story ya wimbo na rangi...
Leo nmesabai acc ya sporahshow insta nkakuta kapost kua leo atakua na show na alikiba hivo watu wafunguke nn wanachotaka kumuliza kiba
Chakushangaza nmeona acc za fans wa kiba zikimtumbua majipu...
leo kwenye orodha ya wadaiwa sugu wa tanesco yupo staa wetu wema sepetu.deni ni tsh milioni 8.sijui imekuwaje mtu adaiwe kiasi chote hicho wakati sis hata deni la buku 2 wanakata umeme??
Kama umeiangalia hii video mpya ya huyu jamaa utakubaliana na Mimi.Hii video wadada wanacheza huku wamevaa vichupi Haifai kuangalia ukiwa either na wazee au watoto..
Rapa mwenye asili ya Tanzania Allan Kyariga maarufu kama Allan Kingdom Kwa mara ya atawania tuzo kubwa na zenye heshima ya kipekee duniani, Tuzo za Grammy. Allan Kingdom, mama yake ni mtanzania na...
Habari zenu wadau wa burudani,
Mwana Falsafa katoa wimbo mpya, jina "Asanteni kwa kuja". Ukisikiliza kwa haraka haraka ni ngumu kaelewa kaimba nini ana maana gani;
Je, anamwimbia mwanamke...
Lady Gaga wa Bongo, Faiza Ally ambaye amezaa na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefungukia ushindi wa mzazi mwenzake huyo na kudai kuwa haumsaidii chochote. Akizungumza juzi na Ijumaa...
Nimewahi kumsikia. Mwenye picha aweke basi tuone uumbaji..
==========
Unataka picha zake au video?! Nitakupa vyote.
Anza na picha;
Kisha video;
Picha zaidi? Zicheki hapa ==> Corazon -...
HATIMAYE kitendawili cha nani atakuwa mwandani wa Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto kabwe kimeteguliwa kufuatia mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila kuutangazia umma juu ya jambo hilo...
Kampuni ya Studio Space Pictures ya South Africa imepost picha ya ay na diomond wakionyesha wamefanya video ya zigo remix.
wameandika zigo remix AYTanzania x diamondplatnumz
Nilikuwa natazama Tv ya burudani hapa Tanzania. Kuna maelezo kuwa kwa sasa wanamuziki watakuwa wanalipwa mrahaba kwa kazi zao zinazochezwa redioni.
Lakini imeelezwa kuwa kuna kampuni anayoitwa...
Habari Wakuu
Ni Kama siku moja imepita tangu Msanii Nikki Wapili apost picha ya yeye akiwa na Wazari wa Habari utamaduni na Michezo,Mzee wa Goli La mkono Mh.Nape Nauye katika ukurasa wake wa...
Kama kawaida yetu, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee wamechaguliwa kwenye tuzo za tooXclusive Awards 2015 VOTE, Kwenye kipengele cha AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR.
Na kwenye kipengele cha OSCAR...