Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

BLACK WA USWAZI . _____________________ Hatimaye leo tumefanikiwa kumpata mmoja Kati ya wachonga barabara kwenye Tasnia hii ya Muziki wa Bongo Fleva ambao juhudi zao ndio zimefanya Muziki Huu...
2 Reactions
3 Replies
705 Views
Martin Andrew Kadinda ni mbunifu wa mitindo kutoka Tanzania anayejulikana kwa umaarufu wa kuwa mmoja wa wabunifu wa mavazi na mitindo mbalimbali nchini. Amewahi kuonyesha kazi zake katika Wiki...
3 Reactions
16 Replies
966 Views
KUACHA KAZI Baada ya kutoka Burma, siku moja, Utubora alisimama katika ofisi mbele ya tajiri wake kumwambia kuwa alitaka kuacha kazi. Kazi yake ilikuwa ukarani katika ofisi kubwa ya biashara ya...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Katika kuonyesha heshima Kwa mkoa wa Tanga, kutoa Mawaziri 4 (Makamba, Mwana FA, Ummy na Aweso) basi inafaa Ngoma ya Mdumange ipewe heshima ya kuwa mdundo wa Uzalendo. Asante
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Dr King (M.L.King Jr) alishawahi nukuliwa akisema β€œ Not everyone can be FAMOUS , but everyone can be GREAT. Japo hotuba yake ilikuwa yenye mlengo wa kisiasa, lakini kupitia nukuu hii alikuwa...
2 Reactions
5 Replies
545 Views
Inadaiwa hizi ndio tabia na sifa za Watu waliozaliwa mwezi July. Je, kuna ukweli kiasi gani?
4 Reactions
8 Replies
778 Views
Habari za jioni Wadau. Katika mtandao wa YouTube, video nyingi huwa na cover ya picha ambayo inabeba maudhui yaliyomo katika video husika. Lakni kwa hapa kwetu Tanzania, hawa jamaa hawapoi kwa...
10 Reactions
25 Replies
743 Views
Kwa wapenzi wa thriller movies, hii ni moja ya movie ya kuiangalia. Iko simple ila nzuri sana. Kwa lugha nyepesi ipo hivi, kuna jamaa anaitwa Ryan alitoroka London na kwenda Latin America...
3 Reactions
6 Replies
411 Views
Habari wakuu, We can all agree that michezo ya television for now imepoteza taste kabisa si kama zamani. Enzi zile hadi wazazi walikua wakifuatalia michezo hii. 1. Saladini 2. Jumba la...
0 Reactions
36 Replies
1K Views
Nimepata kutazama mahojiano ya Sylvester Stallone na mtandao wa Vulture na kuona akidai kuwa walipokuwa wakirekodi filamu ya Rocky IV, toleo la nne basi alikutana na majanga nusu kupoteza maisha...
0 Reactions
0 Replies
443 Views
Aisee sichoki kusikiliza huu wimbo. Sauti mzuri kwenye mpangilio murua. Ujumbe Safi kabisa Mdundo sasa.. Aisee kongole kwao!
6 Reactions
12 Replies
666 Views
Kama hujawahi kuicheki hii movie itafute weekend hii uburudike. Ni jamaa na kaka zake anaamua kwenda mji fulani kujitafuta. Mji wenyewe umejaa wahalifu watupu.
3 Reactions
4 Replies
237 Views
Iyeee Ive been crying to love Miaka ya juzijuzi Uliomba kura zangu ahadi nazo ulizimimina Elimu bora Afya bora Barabara nzuri Ajira nje nje Hivi leo sioni mabadiliko Hali imekuwa ngumu Nawe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Hii ni sehemu ya nyimbo ninazozikubali hadi leo. Ni nyimbo ipi ipo kwenye hii playlist unaikubali, na kama haipo unaweza kuiweka hapa ili wadau tuione pia. MY PLAYLIST SONGS 01...
7 Reactions
76 Replies
26K Views
Hbr nashida na nyimbo za huyu msaanii Romain virgo -soul provider - stay with me na zngine Nmeshindw kuzipakua wiki sasa https://youtu.be/QiWYmjBzx7s
2 Reactions
4 Replies
268 Views
Kuna braza mmoja ni mwanamziki ila yeye anatumia gitaa lake la asili katengeneza Kwa kutumia fimbo, waya na kikopo ila ukisikiliza sound yake ni quality sana. Jamaa huwa anajitolea kuburudisha...
1 Reactions
4 Replies
238 Views
Tuzo za BET zilianzishwa mwaka 2001 na mtandao wa Black Entertainment Television, zikilenga kusherehekea mafanikio ya wasanii weusi na watu wa makundi mengine ya wachache katika muziki, filamu...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitu Kimoja Ambacho Mashabiki Wa Muziki Mnapaswa Kujua Ni Kwamba Diamond Ni Msanii Mkubwa Afrika Na Anaweza Kufanya Show Nchi Yoyote Ndani Ya Afrika Na Watu Wakajaa, Lakini Inapokuja Kwenye Soko...
2 Reactions
9 Replies
516 Views
Enzi hizo tulikua tunamchukulia Van Damme kama muungwana fulani hivi tukawa tuna wachukia kweli waliokua wanamsumbua πŸ˜‚..... especially Bolo Yang na Chi Tompo Sema jamaa alikua hatoi msaada wa...
4 Reactions
17 Replies
597 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…