1. Millard Ayo - Clouds FM
2. Jamal April - Wasafi TV
3. Nelson Kisanga - Wasafi FM
4. Tido Mhando - Azam TV
5. Reuben Ndege - Clouds Media
6. Maulid Kitenge - Wasafi FM
Utafiti huu umeangalia...
Ni miaka 7 Sasa tangu atangulie mbele za haki mama huyu wa kizungu anaitwa, Charlotte Nelson William.
Charlotte Nelson William, enzi za uhai wake katika jumuiya ya Freemason nchini uingereza...
Salamu Wajumbe.
Kuna muvi ya Kiswahili niliwahi kuitazama miaka ya 2009/10 ya vijana wawili, mmoja wa kike mmoja wa kiume ambao walikuwa wanaishi msituni na wazazi wao ambao walifukuzwa kwa...
Habari Wadau,
Ni nadra sana kwa mtu kuwa bilionea, hasa akiwa na umri mdogo.
Hii ni orodha ya mabilionea vijana ambao wametajwa na Jarida la Forbes kwa mwaka 2024, kuwa matajiri wadogo zaidi...
Habari za asubuhi wanajukwaa.
Mimi nimpenzi wa kusoma story,Naombeni msaada kwenu natafuta story ya kusoma humu JF weekend hii. kiufupi sina appointment yoyote na nilitegemea waandishi wangu...
KAMBI YA NDALA.
MWANGAZA hafifu wa mapambambazuko
uliwafanya Luten Dennis Raymond Makete na wenzeke waonekane kama vivuli.Walikuwa katikati ya msitu wa Ndala wakienda mbio za mchakamchaka...
SIMULIZI HII IMEKAMILIKA
IMEANDIKWA NA : NYEMO CHILONGANI
CHANZO : BURE SERIES
SEHEMU YA KWANZA
Matangazo yalikuwa yamebandikwa kila kona ndani ya Jiji la Dar es Salaam yaliyokuwa yakihusu ujio...
Asasnte kwa kufungua uzi huu.
Mimi binafsi, napenda comedy na nafanya comedy pia (stand up comedy). Japo sijafika stage kubwa mpaka watz wakanijua.
Lakini huwa naona stand up comedians kadhaa...
B HITS ILITUBARIKI VYA KUTOSHA
Hermy B alikuwa akifanya kazi redioni lakini akawa anajiiba humohumo baada ya vipindi kuisha na kurekodi kazi binafsi mpaka aliposimamisha studio yake na...
Wana Jf, ni bia gani ambayo ukiinywa leo kesho hupati hang over? Nimebadilisha bia za aina mbali mbali mpaka sasa ila kila nikiamka asubuhi nakuwa na uchovu wa hali ya juu.
Mwanzoni nilikuwa...
Kuna TETESI kuwa hakuna matata nyimbo mpya ya MARIOO kufanyiwa remix nne
Remix hizo ni kwa wasanii wafuatao
1. Diamond
2. Harmonize
3. Alikiba
4. Darasa
Watu wanasubiri kuona ipi itakuwa Kali zaidi
wapendwa,
kama mtakumbuka wiki mbili nyuma Bujibuji alileta thread HII
na mimi nkajitafhidi kufukuakufua nikaupata huo wimbo HAPA.
sasa nimempigia simu rafiki yangu mmoja akaniambia walipata...
Funguka wimbo wa bongo flavor ambao ni wimbo pendwa kwako kwa miaka yote na huchoki kuusikiliza ili wengine wapate ladha ya mziki mzuri kutoka nyumbani..
Kwa nchi kama India, Korea, na Marekani, sanaa imekuwa ni moja wapo ya kazi inayoongeza uchumi kwa taifa. Kwa mfano, Korea wako vizuri kwa kuonyesha utamaduni wao na hata kuonyesha historia...
Baada ya kushinda alitakiwa awasiliane na washiriki wa nyuma ili kupata maoni yao kuhusiana na mashindano hayo. Angeweza kuwatafuta mmoja mmoja au kuwaita wote kwa kikao ili akakusanya maoni ya...