Mzee mbabe untouchable mkali ka Mugabe,
Hakuiva na Manji wenye ganji akasema akabwe,
Panya wakafyata mkia wakapotea wenye ngebe,
Acha kumpinga ukimsema unanyea debe,
Hakua mlevi wa uhuru kunyata...
Baada ya kipindi kirefu kuongea kwa mafumbo dhidi ya wamiliki wa Clouds FM kuwanyonya wanamuziki akianzia na wimbo wake wa Joto Hasira, mwanamuziki Judith Wambura ameendelea kuwaishambulia redio...
TBC wanaonyesha Watanzania kwamba kila jambo linawezekana!
Channel yao TBC1 sasa inaonekana kwa watumiaji wa DSTV popote Africa... kupitia channel no. 143. ya DSTv.
Kwa kweli mimi nawapongeza...
...tunaanza kuchukua kidogo kidogo nchi yetu toka mikononi mwa mafisadi. Tulikuwa mstari wa mbele kupambana na mafisadi na jana matunda ya JF yameanza kuonekana. Tumewaangusha akina Lowassa...
Nadhani kwa watu waliojitahidi kupereresha bendera ya Tanzania na hawa Varda Arts wapo Heko kwao..., Kwa kweli Uzalendo upo Moyoni na Uzawa ni kwenye Vitendo wala sio kwenye Ngozi..... Moja ya...
SEHEMU YA 01:
Damu nyingi zilikuwa zinanitoka upande wa kushoto wa kifua changu kiasi cha kunifanya nilowe chapachapa. Nilijitahidi kuinuka pale nilipokuwa nimelala huku damu nyingi zikiendelea...
Ni bonge moja la movie kwa mwaka huu 2023, nimeipa namba 1, nairudia mara zote nikiimiss. Wenzentu wanajua kuigiza na kuandaa movie, hilo halina ubishi.
Huyo Sisu ni mwanaume mmoja hivi mtu mzima...
Kulingana na mtandao wa Spotify imetangaza wimbo wa “Champion Sound” wa mwanamuziki kutoka Nigeria David Adeleke (Davido) aliomshirikisha rapa kutokea South Africa Lethabo Sebetso (Focalistic)...
Mimi naona maisha yangekuwa magumu sana, hii haijalishi ni aina gani ya muziki ila kila binadamu anasikiliza muziki!
Kuna muda unaweza tengwa na kila mtu ila music will be there! Bado sielewi hii...
Teaser Trailer ya series ya House of the Dragon imetoka. Ni Prequel ya Game of thrones. Inaanza tarehe 21 August 2022.
Hii series mpya toka HBO ikielezea kiundani chimbuko na historia ya House...
Ladies and gentlemen, Tupia lyrics zako pendwa kweny comments, jina la nyimbo na performer wa hio nyimbo.
Sio lyrics za nyimbo nzima, just kipande tuu unachokipenda ambacho hata ukiwa maybe...
NJOO TUMSOME MIA KHALIFA
Anaitwa Sarah Joe Chamoun mwenye asili ya kiarabu .Pua mchongoko , macho ya kuita na kimwili kidogo kidogo kinachoweza kubebeka, angekuwa bongo waswahili wangemwita...
Habari wakuu,
Ni wasanii gani unapendekeza watoe remix ya wimbo kama vipi wa Mez B, Ray C na Noorah.
Wasanii watatu.
Nani aimbe sehemu ya Mez B
Nani aimbe sehemu ya Ray C
Nani aimbe sehemu ya...
Huu mwaka tangu uanze kiukweli sijawahi na sikudhani kama nitadondosha chozi!,Ila baada ya kuitazama hii movie iitwayo NO WHERE nimejikuta machozi yakinitiririka kama mtu aliyepatwa msiba...
Guys! Nostalgia is a real disease.
Niliangalia katuni utotoni mpaka leo Bado zile theme songs, characters, story lines zinaexist nyuma ya ubongo wangu.
Tukutane hapa wazee wa CN, nickelodeon...
Katika ardhi ya Jos, jimbo la Plateau, Nigeria, tarehe 18 Novemba 1981, mapacha Peter na Paul Okoye walizaliwa. Kama nyota wawili wakongwe waliovutwa kwa nguvu ya ajabu, walionyesha vipaji vyao...
Mimi kwakweli ile album ya wenge musica bcbg yenye nyimbo kama masuwa, bana lunda, ndombolo n.k ilinikuta katika mapito magumu.
Leo hii nikisikia nyimbo yoyote ya kwenye ile album nakumbuka...
Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi &...