Wakati wewe ukienda kuhani msiba unaogopa hata kuaga maiti kwa kuitazama au basi ukiaga unaanza kutusumbua wiki nzima kwamba marehemu anakutokea kwenye kona, basi jua kwa hawa mabwana hali ni...
Ilikuwa mwaka 2011 kipindi nafanya kazi hoteli Moja pale Zanzibar Mimi na rafiki yangu aliye itwa rajabu pale hotelini mademu wa kizungu kutoka ulaya ni wengi sana sasa ndugu yangu rajabu si...
Wadau wa music waliokaribu na wasanii hawa washawishini wafanye collabo naamin itakuwa furaha kwangu na kwenu pia
Joh makin ft fid q
Fid q ft mwana fa
Weusi ft tamaduni music
Nikki wa pili ft...
Najiuliza maana ya upendo nini?
Mpaka uwe na kingi ndio ushee?
Au pesa kipindi michango ya sherehe?
Au mzazi anayetamani mtoto uendelee?
Ndio maana anakulea ile umlee
Inasadikika kuwa upendo wa...
Alikuwa bendi ya Quartier Latin chini ya Koffi Olomide.
Wapenzi na mashabiki wa muziki nchini Congo walimbatiza jina kwa kumwita king of Domboro dance
Kwa sasa sijui alipo wajuzi mnaweza...
1: Sos B - Kukuru kakara.
sijui kwa nini Sos B akuendelea na rap. Mwamba alikoa mmoja ya wasanii wa mwanzoni kabisa kutoa nyimbo za rap Tanzania.
2: Picko - Kikongwe
3: JI -Kidato kimoja
4...
Habari ya mda huu mkuu, uzi huu ni maalumu kwa wote wanaopenda muziki.
Kama unapenda kwaya hapa ni mahali pako tupe wanamuziki wa kwaya unaowakubali tukapakue miziki yao tupate zile ala za...
Simulizi hii imeandikwa na Nyemo Chilongani
0718069269
SEHEMU YA 01.
“Mume wangu kila siku unarudi usiku tu, mwisho vibaka wakuvamie wakupore hiyo simu yako,” alisema mwanamke mmoja aliyekuwa...
Mwanamuziki wa hip hop Fat Joe ametunukiwa PhD ya heshima na Chuo cha Lehman kilichopo nchini Marekani. Fat Joe ameshukuru sana kwa kupewa heshima hiyo na kusema haikuwa rahisi kufika alipo...
Mimi nataka kuanzisha kipindi cha tv show kwenye TV za Tanzania. Ila sijui mikataba ya vipindi Tanzania Ina kuwa je. Show hiyo itakuwa ni ya kusafiri kila nchi.
Ila kwa kuanzia naanza kusafiri...
Ndugu zangu naomba tuchangamshe genge kidogo Kati ya waigizaji hawa wawili Nani unamkubali zaidi
1. Cillian Murphy a.k.a jina maarufu wengi wanamjua kama TOMY SHELBY kwenye peak blinders .
2...
Wakuu nasikia Mwijaku kashaikimbia Clouds Media Group na kashasaini Crown Media. Hivi huko kwa ndugu yetu Ally Kiba kuna nini cha ziada au teseme katenga mishahara minono kwa hawa watangazaji...
Kosa langu nini ni Vannesa?
Mchana usiku bado nakuwaza Vannesa. Siku wiki miaka inapita bado nakuwaza Vannesa . Kosa langu nini Vannesa?
Kwa jina naitwa Assenga Mashauri . Ni kijana wa miaka 28...
Ep 01
Naitwa Sabrina ni mzaliwa wa bukoba kabila langu n mchanganyiko wa kihaya na kirwanda yn baba yngu akiwa mhaya na mama yngu mrwanda kabisa, nilisoma elimu ya primary na kufaulu kuingia...
Weekend hii iliyopita ilienda vizuri sana sikutegemea mana sikua na mtoko wowote ule, basi nikasema hii weekend ni ya kuchill home nakaona haitakua vyema bila ya kusindikiza na movies, aisee...
Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni...