Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI), kupitia thread hii, tutapokea Maoni, Ushauri, Malalamiko, Mapendekezo yako Mwananchi. Tunakuhakikishia...
42 Reactions
248 Replies
24K Views
  • Sticky
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Kundo Mathew ametembelea na kukagua utekelezaji wa mradi wa maji Chalinze awamu ya tatu na kuridhishwa na utekelezaji wake unaonufaisha zaidi ya wakazi 200,000 wa...
0 Reactions
4 Replies
900 Views
  • Sticky
Shirika la Umeme Tanzania - (Tanzania Electric Supply Company Limited - TANESCO), Tunaomba mtupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri kupitia huu uzi nasi tutawajibu. Tunawaomba mzingatie...
91 Reactions
15K Replies
1M Views
  • Sticky
DART Tumeanzisha ukurasa huu rasmi wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) kwa lengo la kupata maoni, ushauri , mrejesho na hata malalamiko yanayohusu huduma zetu. Aidha tunawahakikishia...
28 Reactions
590 Replies
55K Views
  • Sticky
Habari wana JamiiForums, Hii ni Akaunti rasmi ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), kupitia thread hii, tunakukaribisha tuzungumze na tutambue haki zetu sote Utangulizi Ni Idara...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
  • Sticky
Ndugu wana JamiiForums, Tunashukuru kwa maoni yenu na Ushauri mnaotupa kila siku. Kupitia thread hii, tutapokea maoni, Ushauri, na malalamiko yenu. Tunawahakikishia kuwa tutachukua hatua stahiki...
47 Reactions
275 Replies
88K Views
  • Sticky
Heri ya Pasaka wana JamiiForums, Mimi ni Dkt. Dorothy Gwajima, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Makundi Maalum. Ninayo furaha kujiunga nanyi katika mtandao huu. Nimekuwepo...
116 Reactions
245 Replies
33K Views
Asante sana kwa ushirikiano wako. JamiiForums inaendelea na matengenezo na maoni yako ni muhimu sana wakati huu
0 Reactions
0 Replies
11 Views
NAIROBI, April 18 (Reuters) - Tanzania’s main opposition party said on Friday it could not establish the whereabouts of its leader Tundu Lissu after he was moved from a jail where he was being...
0 Reactions
0 Replies
3 Views
Joto ni Kali sana jijini Dar es Salaam na hata kwenye baadhi ya mikoa. AC unaweka hadi 16°c lakini inazidiwa na joto, nikafikiria labda imeisha gas, nimeleta mafundi waje wafanye service...
1 Reactions
41 Replies
258 Views
  • Featured
Watanzania wenzangu elites wa Masaki na Oyster Bay, mlikuwa mnapata wapi habari za mzozo wa Middle East wa Israel na Palestine kabla ya Internet kuingia Tanzania?? Nimeuliza hivyo kwa maana...
5 Reactions
44 Replies
498 Views
  • Featured
Kuna majini ambayo hufunga nayo kipindi hiki na wataalamu wanasema hata takwimu za Ajali hupungua sana na vifo vya ghafla kipindi hiki. Majini mengi yanakuwa kwenye mfungo na pia yanatubu kwa...
3 Reactions
10 Replies
99 Views
  • Featured
kama kichwa cha habari hapo juu, nimekomaa toka mwaka jana nimebahatika kuunda izo kitu na mwote humo wako watu wanapiga kazi, salon ya kiume mwenyewe pia ni fundi kunyoa jioni na wikiend nakaa...
3 Reactions
8 Replies
175 Views
Afande Mecky, mwembamba mrefu na mweupe, ulikuwa bodyguard wa RPC, juzi umemusha babu yangu kichura na umri wake wa miaka 73. Mzee sasa anaumwa na hawezi hata kwenda kujisaidia haja ndogo...
62 Reactions
128 Replies
11K Views
Kuna kampeni nyingi mno tofauti tofauti zinazohusu wanawake. Vikundi vya ujasiriamali ni vingi mno vya wanawake. Ila pamoja na yote bado wanawake ni tegemezi kwa wanaume ambao hatuna hizi harakati...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Mikoa 26 ya Tanzania Bara imegawanywa kwenye Kanda 7 za Kiutawala. Mkoa wa Iringa Kwa Sasa uko Kanda ya Nyanda za Juu Kusini. Ingefaa Kwa Serikali kuiondoa Iringa Nyanda za Juu Kusini na...
19 Reactions
267 Replies
17K Views
Nazungumzia pombe Kali kama; K-vant,konyagi, grants, smin off, jack Daniels nk nk. Nauliza Kuna mlevi Mmoja hapa Jf alishawahi kujaribu hii challenge??, na Nini kilitokea??, Natamani kujua...
5 Reactions
30 Replies
388 Views
Hapa duniani kuna watu wanaishi maisha ya ajabu sana. Watu hao ni wale wanaokiri kwamba wametubu dhambi zao, wanaamini kuwa Yesu ni Bwana, na wanaishi maisha matakatifu. Wanaowabeza na kuwadharau...
16 Reactions
41 Replies
859 Views
Je, wajua? Kama wewe ni mpenzi wa kupitia Status na Posts za watu kwenye mitandao ya Kijamii kama vile Whatsapp, Instagram, n.k, utaona sikuhizi wanawake wengi wanapost vifungu vya Biblia...
2 Reactions
13 Replies
55 Views
Wadau nina Umri wa Miaka 40 nina mpango wa kuoa na kupata mtoto wa kwanza.Najiuliza je huyo Mtoto kwa mtiririko wa Elimu ya Nchi hii mpaka anamaliza Chuo mimi Mzazi wake nitakuwa na Umri gani...
10 Reactions
154 Replies
3K Views
MHADHARA (106)✍️ Hata kama una majukumu... 1. Mlinde mwanao katika kipindi cha mvua kali. Kamwe asicheze kwenye mitalo ya maji, mabwawa, mito, n.k. 2. Mlinde mwanao dhidi ya ukatili wa kijinsia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani, Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote ninawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu. Lengo kuu ni...
138 Reactions
3K Replies
233K Views
Mpira wa miguu ni burudani inayowachangamsha wengi, lakini je, umewahi kujiuliza thamani ya muda unaotumia kujadili mpira? Wengine hutumia saa nyingi kubishana kuhusu wachezaji, timu, na matokeo...
26 Reactions
136 Replies
1K Views
Tumejionea wenyewe kule chini na mahala pengine kama ulaya Watoto wadogo wanaandaliwa kiwa Wanasayansi na mainjinia wabobezi. Watoto hao wanasukwa na kufinyangwa kiasi kwamba wanaanza kubuni na...
20 Reactions
332 Replies
5K Views
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Idete, Kata ya Chanzuru, mkoani Morogoro, kuchangia nguvu kazi katika ujenzi wa mnara wa...
0 Reactions
4 Replies
68 Views
Zifahamu tamaduni za ajabu na kushangaza zaidi duniani
6 Reactions
51 Replies
1K Views
Likud: Enyi wazazi masikini wa kitanzania. Wacheni kujistress kulipa mamilioni kwenye shule za Ems watoeni watoto wenu huko muwarejeshe Kayumba kwa sababu huko Ems wanatumia mtaala wa Necta pia...
6 Reactions
15 Replies
178 Views
Back
Top Bottom