Baadhi ya Watumishi wa NHIF Kibaha Mkoani Pwani huduma zao sio nzuri, pia lugha zao pia sio rafiki kwa wateja, nimeshuhudia hali hiyo mara kadhaa na Wateja wengi wamekuwa wakilalamika.
Mfano kuna...
Madarasa mengi na Maabara za Chuo cha DIT yana changamoto ambazo zinafanya tunashindwa kusoma tukiwa na utulivu, nazo ni; AC na feni nyingi hazifanyi kazi.
Mfano mimi ninasoma ETE, Jengo la...
Umeme ni kero kubwa sana wilaya ya Newala kukaa siku mbili, tatu hata wiki ni kitu cha kawaida bila taarifa yeyote.
Tanesco tunaomba sana mliangalie Hili watu wanaumia, biashara hazifanyiki na...
Mtandao unakuwa mzito ukiwa Kiteto na kuna muda haupatikani kabisa ni kero kubwa kwa sisi tunaoitumia, pia Haloteli iweke huduma ya kurejesha miamala kama Mitandao mingine (Yas, Airtel na Vodacom)...
Nikiwa kwenye mizunguko yangu, nilipata nafasi ya kutembelea eneo la Kawe katika Viwanja vya Tanganyika Packers, ambako kumekuwa na shughuli mbalimbali zikiendelea hapo ikiwemo zile za masuala ya...
Stand ya Buzuruga iliyopo Wilaya wa Ilemela Mkoani Mwanza ina changamoto kubwa ya ukosefu wa vifaa vya kuwekea uchafu jambo linalosababisha Wadau wa stendi hiyo kumwaga uchafu chini ikifika usiku...
Mimi ni mzazi ninayesomesha watoto zaidi ya wawili katika shule za sekondari za umma katika halmashauri ya wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza.
Kero yangu kubwa ni kukithiri kwa michango mbalimbali...
Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma...
Habari Wanajamii,
Ninaandika kwa uchungu kielezea changamoto ninayoipiia sasa ya KUTOHAMISHIWA TAARIFA ZANGU ZA KIUTUMISHI KATIKA HALMASHAURI YANGU MPYA pamoja na ukweli kwamba nilihama kutoka...
Mfanyabiashara umejipapatua unataka kujisajili ulipe kodi aisee ukienda kwa hao majipu wanajiita BRELA yani ni aibu.
Mfumo dhaifu, user experience mbaya na tunalipa pesa zetu yaani kama ningekuwa...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu laptop ambazo zilitolewa kwa wanafunzi waliofaulu kidato cha nne na cha sita. Ingawa mpango huu unalenga kusaidia wanafunzi katika kujifunza, ukweli...
Bajaji zakutoka ngusero kwenda chini yamti (katikati ya mji) Arusha mjini kutoza nauli kubwa kwa abiria tofauti na maelekezo ya mamlaka husika.
Nauli elekezi ni 600/= bajaji wanatoza nauli ya...
Kituo cha Bajaj Ferry hapa Dar es Salaam, zile Bajaj zinazoelekea Kibada, Kisiwani n.k. wahusika wamekuwa na kawaida ya upandishaji holela wa nauli.
Nauli inajulikana ni shilingi mia saba lakini...
Salaam wakuu
Ni takribani mwezi na siku kadhaa tokea wakazi wa maneno ya Kinyerezi mpaka Kifuru na viunga vyake waone maji yakitoka katika mabomba yao ya maji ya Dawasa huku pakiwa hakuna taarifa...
Habari wanaJF ukweli huu mji umekithiri kwa uchafu si ajabu kukuta taka zimetupwa sehemu yoyote mtu anapojiskia na hakuna anayekemea.
Kamati ya Mazingira itakuwa wako likizo mpaka warudi mambo...
Hii nchi unaweza kudhani watu wamesoma basi wana akili timamu, lakini la hasha!
Kitendo cha hawa watu wa sheria kupiga muziki mkubwa kiasi cha kuondoa utulivu kwa jinsi muziki ulivyo mzito...
Wanaotumia yas ( zamani tigo ) wanajua kinachoendelea.
Tunakubali kuwa huwa kuna Changamoto za kiufundi ila tatizo linapozidi siku mbili unakuwa ni aidha upuuzi, uzembe au kwa lugha kali Ujinga!
Wanajamvi ikiwa leo ni jumapili tukufu huku tukisherekea sikukuu ya Mapinduzi ya Zanzibar binafsi nina jambo linalonishangaza.
Ambalo ni michango inayoitwa ya Bima ya afya inayochukuliwa na vyuo...
Licha ya awali usafiri wa Mwendokasi kuvutia watu wengi lakini kwa siku za hivi karibuni abiria wengi wamekuwa wakilalamikia changamoto mbalimbali ambazo zinajitokeza kwa nyakati tofauti.
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.