Mimi ni mmoja wa Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC), tumepokea Disbursement ya Boom na Tuition Fee tangu Desemba 6, 2024.
Mpaka hivi sasa (leo Desemba 30, 2024) tumepewa...
Barabara hii inakwenda Mwaka wa tatu sasa haina matengenezo aina yoyote. Kuna makazi mengi ya watu, kuna shule nyingi sana maeneo hayo school bus zinapata shida sana, lakini hata sisi wakazi...
Kutoka Kagera-Bunazi, Mji Mkuu wa Wilaya ya Missenyi nawaomba wenye Mamlaka kuweka Taa za Barabarani maana imekuwa kero kwa Wananchi eneo la Mnada (mjajaro) kuanzia njia panda kwenda Kagera Sugar...
Nilikuwa na mgonjwa wangu ambaye alikuwa anasumbuliwa na Saratarani, alikuwa anapatiwa huduma Ocean Road, tukiwa hapo tukapata referral ya kwenda Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (Upanga), Dar es...
Nitoe wito kwa mamlaka zinazohusika kushugulikia uharibifu uliofanywa na mvua katika Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma, barabara ya kutokea Pasua kuelekea Mahembe iliyosombwa na maji, imesababisha...
Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika.
Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa...
Wakala wa mtandao wa Yas wajulikanao Poa Communication tawi la Zanzibar enelo la Amani huduma zao ni mbovu sana.
Nilitaka kupatiwa huduma ya Uwakala wa Mixx by Yas na nikaelekezwa niende ofisini...
Uwanja wa Nyamagana ambao upo katikati ya Jiji letu la Mwaka ni moja ya sehemu ambayo inatukutanisha Wadau wengi wa michezo hasa mchezo wa miguu.
Pamoja na maboresho ambayo yamefanyika uwanjani...
Taarifa hii iende moja kwa moja kwa mamlaka ya Maji safi na maji taka mkoa wa Dar-es-salaam, DAWASA na wadau wote wa mazingira na Afya kwa ujumla.
Hali ya mtaa wa tabora na uhuru ni mbovu sana...
Tangu kuanza wiki hii TANESCO wamekuwa wakikata umeme bila taarifa kabisa kwa wananchi wa maeneo husika Boko magengeni, Bulemawe, Chama,Calfonia, Ndogondogo center na Mtambani.
Mfano jumatatu...
Jiji la Dar es salaam linapitia mgawo mkali wa maji unaoendeshwa kimyakimya huku ukitesa watu wengi.
Mathalani, katika uchunguzi wangu kupitia ndugu zangu wanaoishi maeneo mbalimbali ya jiji hili...
Habari zenu TANESCO mkikata umeme asubuhi tunaomba rudisheni umeme saa kumi na mbili wengine tunaishi mazingira mabaya sana ukikaa vibaya umelala na nyoka kitandani na mna jifunika pamoja kwenye...
Ni jambo la kushangaza, hii nguzo iko hivi, siku ya nne inaisha, inaenda siku ya tano, nguzo hii imelala hivi! Je, wahusika wa kutatua dharura za miundombinu ya umeme mjini Bagamoyo hawajaona? Au...
Mheshimiwa Waziri Juma Aweso, Wakazi wa Kinyerezi, hasa Wakazi ambao tupo karibu na mitambo ya kuzalishia umeme ya Kinyerezi; tunasikitika kukiarifu kuwa hatuna huduma ya maji safi kabisa, leo...
Mkuu
Naomba nilete kwako kero hii ambayo kwa hapa Dar es Salaam imeelekea kukomaa sasa.
Kuanzia tabata, segerea kinyerezi huduma ya maji haipatikani. Bila shaka kuna kutoa rushwa maji...
Mh waziri una watendaji viburi sijawahi kuona. Au wamegoma? Kuna shida gani ndani ya wizara yako?
Tumekaa miezi na miezi maji hayatoki na leo hakuna maji pamoja na ujio wako. Hawa watendaji...
Mimi ni mmoja wa Wanachama wa Maktaba ya Vitabu ambayo ipo hapa Mjini Unguja, changamoto kubwa iliyopo hapa Maisara, Mkoa wa Mjini Magharib ni kukosekana kwa huduma ya maji.
Naomba Wizara ya...
Hadi leo Januari 21, 2025, maeneo ya Isyesye hapa Jijini Mbeya haujapata maji kwa wiki moja sasa, tumetoa taarifa kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya (MBEYA UWSA) lakini hatuoaji...
Nikiwa mmoja wa Watumishi wa Hospitali ya Wilaya ya Tanganyika nashauri Mkurugenzi wa Halmashauri awalipe vijana wanaojitolea pesa zao ili kuhudumia taasisi, wanakaa hadi miezi miwili bila posho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.