Kumekuwa na tabia ya Daladala nyingi zinazofanya safari za Kilombero - Kiseriani kuwa na tabia ya kukatisha ruti kuanzia majira ya Saa 1 Usiku na kusababisha abiria kupata adha ya usafiri wakati...
TanRoads Rukwa hebu kueni na consistency kwenye specifications zenu.
Inakuaje Taa Mpya mlizofunga Sumbawanga Mjini na Kijiji Cha Chala na Kaengesa huko hazitoki Mwanga wa kutosha muda wa usiku...
Maelezo ya Malalamiko:
Naandika malalamiko haya kwa niaba ya ndugu yangu ambaye ni mwanachama wa NSSF na alifuata taratibu zote zinazohitajika ili kudai faida za uzazi (maternity benefits)...
Ni muda mrefu sasa, yapata mwezi mfumo wa TMS Check wa polisi kitengo cha usalama barabarani haupo hewani. Hii inapelekea usumbufu kwa dereva kwa kutoweza kuangalia mwenyewe kama ameandikiwa fine...
Likizo yangu ya mwaka jijini Dodoma ilikuwa nzuri, tumshukuru magufuli kwa kuhamishia Serikali Dodoma, pamepambazuka sana, pamechangamka, kuanzia saa moja usiku hadi saa sita usiku panakuwa...
Mtaa wa Majengo eneo la Kinzudi - Salasala Jijini Dar es Salaam kuna dampo kubwa ambalo linahatarisha maisha ya wakazi wa eneo hilo na maeneo ya jirani.
Eneo hilo linalotupwa taka ni bonde, hivyo...
Habari Ndugu!
Nina refund kutoka Apple store ya 4.3 million nilifanya malipo na Tigo pesa mastercard 18 Dec 2024 mpaka leo Jan 2025 sijapata.
Proof of payment ninayo kutoka Apple, mpaka leo...
Mimi kama mama. Naomba waziri waa mbie waache visa vyao, wanapogombana wao kwa wao anayeumia ni mama. Wasichana wadogo wanabakwa, wakinamama tunadhalilika. Jamani tuoneeni huruma mpate uongofu wa...
Tumekua tukikosa maji bila taarifa hata wiki 3 mfululizo na DAWASA wakipewa taarifa wanajibu watashughulikia na hawafanyi chochote.
Aidha maji yanaweza kutoka wiki moja tu ili waweze kutuletea...
DAWASA tunaomba majibu ni kwanini hatupati maji kwa kipindi chote hicho na bila taarifa, na pia wakipigiwa simu wanadai wanashughulikia lakini hakuna chochote kinachoendelea.
Imekuwa ni...
Hali ya maji katika eneo linalohudumiwa na kituo cha Kimara ni mbaya Sana.
Maji hayatoki katika baadhi ya maeneo karibu mwezi sasa.
Hakuna taarifa yeyote inayotolewa.
Viongozi wetu wa juu nao...
Ni karibu mwezi sasa maji ya dawasa yanatoka kwa machale maeneo ya kimara.
Yaani, yanatoka kwa masaa 24, baada ya hapo hayapo mpka baada ya siku tatu ndio yanatoka tena.
Mfano mara ya mwisho...
Ndugu zangu wana JF salaam, kuna jambo ambalo limekuwa kikwazo kwetu sisi wakazi wa Kata ya Malolo, Manispaa ya Tabora na Mkoa wa Tabora ambapo kama lisipofanyiwa kazi basi tutaendelea kuishi kwa...
DAWASA, sielewi utendaji wao. Sisi wakazi wa Ukonga karibu na Aviation House, ni mwezi sasa maji hayatoki. Kuna tatizo la kutoboka kwa bomba kubwa Mlima Ukonga, lakini licha ya DAWASA Kinyerezi...
Kumekuwa na wizi wa mita za maji maeneo ya Mbweni Teta kwa kasi sana na hakuna jitihada yoyote ya uchunguzi inayofanyika na DAWASA.
Pia soma ~ Albert Chalamila: Sijaridhishwa na hiki mlichofanya...
Wananchi wa maeneo ya Mwakaleli halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa miaka mingi tumeahidiwa kujengewa barabara kwa kiwango cha lami lakini haitekelezwi.
Ujenzi wa Barabara...
TANESCO Wilaya Bariadi Simiyu wanatukosea sana, umeme unakatika katika mara kwa mara. Kwa saa unakatika si chini ya mara 5. Tunahofia vifaa vyetu vya umeme na nyumba zetu watatuunguzia. Waseme...
Habari wadau kuna tabia imezuka hapa jijini Dodoma inapofika usiku polisi wanapaki gari kwenye barabara za mtaani wanaanza kukamata bodaboda na kuwachukulia ……. Inafikia hatua tunakosa huduma za...
Hello habari!
Changamoto yangu naielekeza hasa kwa mabasi ya mikoani yatokayo Mkoa wa Kagera - Karagwe kwenda DSM au mikoa mingine wamezidi kujipangia nauli kipindi hiki mpaka kutoza nauli ya Sh...
Ukitoka mizani ya Tinde kabla ya kufika Nzega hapo katikati kuna kipande kikubwa cha barabara kimeharibika na kutengeneza mashimo makubwa sana kwenye lami.
Hii ni hatari kwa watumiaji wa barabara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.