Hapa ni MWANZA, Wilaya ya Misungwi eneo la Kata ya Usagara, Kijiji Nyang'omango, Kitongoji cha Nyaruhama katika eneo hili kuna tatizo kubwa la maji safi na salama Wananchi wanatumia maji...
Mimi ni Mkazi wa Mkoa wa Kagera Wilayani Muleba ni muhitimu wa Diploma in Animal Health and Production katika Chuo cha Igabiro Training Institute of Agriculture kilichopo Muleba.
Tangu...
Mheshimiwa Rais na mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan,
kwa kuwa umeamua chini ya utawala wako kuhakikisha Jiji la Dar linakuwa na miundombinu ya uhakika na uthibitisho na kwa jinsi jiji lote...
Nikuhusu barabara ya Ndungu-Lugulu. Barabara hii, tangu iharibiwe na mvua za El Nino mwaka 2023, haijawahi kutengenezwa.
Barabara hii ni muhimu sana kwa wakazi wa kata ya Lugulu na kata ya Mtii...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Tabora Polytechnic College ambacho kipo Ipuli, hapa chuoni kwetu pamoja na mitaa ya karibu na hapa kuna kundi la Vijana wanaojiita Mabamzi ambao ukikutana nao...
Mimi naishi mtaa wa Zavala - Kwambiki kata ya Buyuni Chanika Ilala Dar es salaam. Nyumbani kwangu na baaadhi ya nyumba za majirani zangu tumekuwa tukipata tatizo la umeme kukatika katika kila siku...
Sisi Watumishi wa Halmashauri ya Rungwe Mkoani Mbeya tunajiuliza kuna shida gani Wilayani kwetu?
Pesa za likizo kwa Watumishi wa Umma kutotoka kwa wakati hilo jina jambo la kawaida, hali hiyo...
Katika eneo la Tegeta kwa Ndevu wahusika wanaosimamia suala la kuzoa taka wanatakiwa kuwajibika kwa uzembe ambao wamekuwa wakiruhusu utokee kwa kubariki Wafanyabiashara wa soko lisilo rasmi...
Barabara hii ipo njia ya Songea Njombe inamongonyoka upande, sehem ya kona kali hivyo ni hatari kwa watumiani wa magari mazito, kama Malori, mabasi na magari ya mizogo.
Mamlaka ichukue Hatua za...
Unapotua tu katika mtaa huu wa Keko Mwanga katika Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam utagundua mabadiliko ya hewa tofauti na ulipotoka, harufu inayotoka hapa, hewa inayovutwa eneo hili si ya...
Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) ni moja kati ya Taasisi za Serikali ambayo hawajali kabisa suala la kulipa pesa za kujikimu kwa Wafanyakazi wao wanaposafiri.
Utakuta mtu anapangiwa kituo cha...
Kwa takribani wiki mbili wakazi wa Kimara mpaka mbezi wanaishi pasi na umeme kila siku kwa zaidi ya masaa 12 bila ya taarifa yotote.
TANESCO kila inapofika saa 4 asubuhi wanakata umeme na hurudi...
Yaani hili shirika la umeme nchini Tanzania huwa linajiamulia tu kukata umeme pasi na kutanguliza taarifa kwa watumiaji wa huduma zake.
Hutaona afisa habari wa shirika hili akitoa taarifa mpaka...
Tangu mwaka huu 2025 umeanza TANESCO wamekuwa na huduma mbaya ndani ya Mkoa huu wa kwao wa kiutendaji (KINONDONI SOUTH) hasa njia ya umeme ya kutoa huduma kuanzia Kimara mpaka Kibamba.
Umeme Kila...
Mimi Mkazi wa Songea Kijijini, Kata ya Liganga katika Jimbo la letu ambalo Mbunge wetu ni Jenista Muhagama, huku tuna changamoto ya ardhi.
Miaka 10 iliyopita tuliuziwa eneo na Kijiji ambapo...
Kutokana na changamoto ya maji Vigwaza, huku ikiwa ni karibu na chanzo cha maji ya mto Ruvu,
1: DAWASA HAWANA TAARIFA? "WIZARA YA MAJI"
2: VIONGOZI HAWASHUGHULIKII HILI SUALA AU NI WANANCHI...
Nimeongea leo na huduma kwa wateja wanadai niongee na Kampuni niliyolipia wanipe ARN.
Sasa mbona zamani ilikuwa hakuna mambo kama haya ya ARN ilikuwa muamala ukifeli pesa zinarudi directly...
Huku kwetu Mtaa wa Chenga pamoja na maeneo ya jirani ya Kata Nyegezi tumekuwa tukilalamikia changamoto ya barabara ambayo imekuwepo kwa muda mrefu ambayo inasababisha usumbufu mkubwa kwetu ambao...
Kwa wanaotumia barabara hiyo kuanzia Feri mpaka Pemba Mnazi watakuwa mashahidi. Kwa sasa matuta yapo mapya pale shule ya Malaika na Haana Benie na hapa Makaburini Dege centre je mpaka iue?
Pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.