Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

wanandugu muhimbili sasa imekuwa chaka la vibaka,leo hii tukiwa tumekwenda kumuangalia binti mmoja amefanyiwa opareshen ya tumbo tukpaki pale kwenye parking za wodi ya wazazi,,gafla wakati...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Rais Muamar Gadafi kachaguliwa kuwa mkuu wa Umoja wa afrika.Hivi kweli anafaa kuiongoza Afrika wakati nchi yake inamshinda?Kwani kuwa mkuu wa Umoja wa Afrika kunahitaji sifa gani?Au hakuna...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
MPs say life unbearable as living costs skyrocket 2009-02-09 10:31:49 By Lusekelo Philemon, Dodoma Members of Parliament have expressed concern over the increasing costs of living, saying...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Bunge limetoa ratiba ya vikao vyake inaonyesha issues za richmond, atcl, trl na ticts zinajadiliwa jumatano siku ya mwisho ya mkutano. Maswali haya yananijia a)kwa nini issue hizo muhimu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Norway pulls out of Barrick Gold 2009-02-06 11:30:29 By Joyce Kisaka The Norwegian government has withdrawn its shares from Barrick Gold due to the giant mining company`s contribution to...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nashangaa moto wa vyombo vya dola umepoa. Mbona kesi za EPA Hazirindimi? Au zilihairishwa hadi lini au ni indefinetely. Na je mbona hakuna ingizo jipya maana bado kuna kampuni kibao...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeibua tuhuma nzito kwa kuyahusisha moja kwa moja matukio mawili yaliyompata mbunge wa Karatu kwa tiketi ya chama hicho, Dk. Wilbroad Slaa na njama za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabongo wengi tungekuwa mbali kama tungeachana na mambo haya kwenye familia zetu. a Ulevi b Ngono c Hatuangalii tunakokwenda jaribu kutafakari kwa mwezi umetumia shilingi ngapi kwa simu yako...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Leo asubuhi nilikuwa nasindikiza wageni kuelekea bara (mkoani). Nikiwa ndani ya stendi ya mabasi ya Ubungo kiasi cha saa 11:15 (kumi na moja na robo alfajiri) nilikumbana na mpiga debe wa kichina...
0 Reactions
57 Replies
10K Views
Hapa nakubaliana na mheshimiwa rais kuhusu utoro wa wabunge majimboni kwao. Halmashauri nyingi zina matatizo makubwa ya capacity, viongozi wao wengi hawana uwezo. Wabunge ni katika watu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Aibu tupu kwa Kanisa Kubwa Duniani kujihusisha na uchafu huu... Pope's Pedophilia Apology 'Not Enough' Before he even arrived in the US, Pope Benedict XVI apologized for the pedophilia scandal...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
AJALI iliyohusisha magari yapatayo saba iliyotokea katika barabara ya Morogoro jijini Dar es Salaam imesababisha vifo na majeruhi kadhaa waliokimbizwa hospitali wengine wakiwa katika hali mbaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu heshima mbele, Mazee naomba tafu kwa mdau yeyote ambaye ana ufahamu kuhusu software yeyote ambayo ipo capable kutengeza video clips kutoka kwenye images files kama vile JPEG etc...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ni ukweli usiopingika kuwa wafugaji wetu ni muhimu sana katika kutuhakikishia kuwa tunajitosheleza kwa mazao ya mifugo kama, nyama, ngozi na maziwa. Ingekuwa ni busara zaidi kwa wizara ya mifugo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Katika kipindi cha Jee Tuambie kilichorushwa tarehe 05/02/09 TBC kuanzia saa 3:30 mpaka saa 4:30, mwakilishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) aliudanganya uma kwa kusema kwamba simu za...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Siku zote wataalamu wa Tanzania wa ICT wameendelea na ngonjera zao kwamba haiwezekani kuzuia maroroso ya internet kwa vijana wetu. kwa wenzetu UAE, China, wanazuia content wasizozitaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekutana na picha kwenye mtandao (Bongo Pix) inayoonesha kuwa BOT imekutwa ikiwaka moto. Je hii habari ni kweli??
0 Reactions
9 Replies
7K Views
Ask, Seek, Knock Success in Life, need the confidence in yourself. Face the life by believing that, IF you Ask; it will be given to you; IF you seek; you will find; and IF you knock...
0 Reactions
0 Replies
950 Views
Kwa wale wenye magari ambao hawapendelei kununua used spair parts kama matairi yaliyotumika na kuchongwa, na kuamua kujikamua kununua tairi mpya toka dukani, kuna haja ya kuwa makini hasa katika...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Dubious gold deals still under corruption probe: Nobody let off the hook, PMO report confirms THISDAY REPORTER Dar es Salaam QUESTIONS still linger over a number of dubious, gold-related...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…