...mambo mengine tukisema ni ujinga wa mwafrika, tunakosea. Huu wizi wa vifaa vya hospitali, mfano huu wa kuiba mashine ya saratani, ni ujinga wa mtanzania.
hii ni Inside job, inayowahusisha...
TUAMKE JAMANI TUSILALE, MAPAMBANO BADO........
Napenda kwanza kutoa shukurani zangu za dhati kabisa kwenu ninyi wanachuo wenzangu kwa mshikamano mliouonyesha kipindi chote cha mapambano dhidi ya...
Consumption & Corruption:
Politics should be about equitable development and distribution of resources to benefit the most people. But, people are also responsible on how they affect each other...
2009-02-05 06:40:00
MPs want heads to roll over ATCL saga
By Faraja Jube, Dodoma
THE CITIZEN
The Government yesterday came under pressure from MPs to take a decisive action against...
Pikipiki kuwakaanga viongozi CCM Arusha
Mussa Juma, Arusha
KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi(CCM) mkoani Arusha, imependekeza zichukuliwe hatua za kinidhamu dhidi ya viongozi...
I have written a "couple" of letters to some human rights group and a couple of foreign envoys suggesting to them that their respective countries should offer political asylum to Tanzanian...
Akubali kurusha Ndege mbovu za ATCL,
Akubali kununua Ndege Mbovu
Aokolewa na Waziri wa Kilimo
Mramba hatimae anena
Zitto: wahusika waliofikisha hali hii lazima waadhibiwe, Kwanini viongozi...
Kila Jumapili ya Tatu ya mwezi wa Tano watu wote ulimwenguni huwasha mishumaa kuwakumbuka waliopoteza Maisha kutokana na UKIMWI/AIDS.Serikali za Nchi nyingi sana zimeifanya siku hii kuwa...
Meneja wa Shoprite kizimbani kwa kuwafungia chumbani wafanyakazi
RAIA wa Kizungu, ambaye ni Meneja Mkuu wa duka la kuuza bidhaa za kusindika maarufu kama Shoprite, amefikishwa kizimbani...
interview with Erik van Veen.
He is the Chief Commercial Officer of MTN Uganda one of the continental telco and mobile leaders in Africa. Erik is a member of the mailing list and offered some...
kuna habari kuwa kituo kidogo cha polisi kilichopo katika jengo la stendi kuu ya moshi mjini kimeuzwa na sasa ni duka la kuuzia mikate (grocery) naomba kwa waliopo karibu na huko watupe habari kamili.
Wadau wa JF naomba msaada wenu. Nimekuwa napata Lottery Winning Notification kutoka UK kuwa nimeshinda lottery na hivyo nastahili ku-claim fedha kibao.Always nimekuwa napuuzia kwa kufikiri ni...
RAIA yeyote atakayepatikana amevaa vazi la jeshi au linalofanana na vazi hilo atatumikia kwenda jela miaka 20.
Rai hiyo imetolewa mjini Dodoma Bungeni na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga...
President Barack Obama lifted the ban on US funding for international organisations that offer advice or perform abortions yesterday, as he expanded his project of rolling back George Bush's...
Habari zaidi!
Wanafunzi 140 UDSM wamejifukuzisha chuo
Theopista Nsanzugwanko
Daily News; Tuesday,February 03, 2009 @20:00
WANAFUNZI 138 wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Mlimani...
Habari zilizonifikia sasa hivi zinasema kuna ajali imetokea Kimara baruti njia ya kuingilia Kituo cha Mafuta BP ( BAHAMA MAMA ) ajali hiyo imehusisha gari aina ya hiace yenye namba T74 AVJ(...
Wadau kuna habari nimezipata muda si mrefu kwamba kuna vita kati ya koo ya Wairege na Wanyabisi na kuna mwanakijiji mmoja kajeruhiwa na kapelekwa hospitali.
Je kuna mdau anaweza kutuabarisha...
Habari nyingi zinazohusu ufisadi naona hazina takwimu za kuzitia nguvu.
Hali hii si nzuri kwani watu wanaweza kuchafuliana majina kwa sababu binafsi.
Tujenge utamaduni wa kujenga hoja zenye...
Huyu mwandishi anazungumzia kesi ya Zombe na wenzake kufanyika Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu. Wakati kesi hii iko Mahakama Kuu na ilikuwa ikiendeshwa na Jaji Masati, manake kesi za mauaji...
Hadija Jumanne na Zacharia Osanga
BARAZA la Waganga na Watafiti wa Tiba Asilia nchini, wamempa miezi miwili Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kufuta amri yake ya kufungia leseni zao na vinginevyo...