Wafiwa wazua kizaazaa hosptali wakidai maiti yao imeuzwa
Na Geofrey Nyang'oro
VURUGU kubwa zimeibuka jana katika Hosptali ya Manispaa Temeke Jijini Dar es Salaam, baada ya mwili unaodhaniwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia habari mbali mbali kutoka serikali ya Mapinduzi Zanzibar, kwa jinsi mambo yanavyoendelea huko hatuna budi Tanzania bara tukaanza kudai serikali yetu ya...
Wiki iliyopita nilialikwa katika mkutano mmoja wa bidhaa , kampuni moja kutoka India ilikuwa inatafuta watu wa kuweza kutangaza na kuuza bidhaa zao za aina mbali mbali kama vifaa vya mawasiliano...
Kwa wiki ya pili sasa eneo la Yombo Vituka limekuwa katika hali ngumu ya usalama, ni eneo kuanzia Buza hadi kufika Vituka Sigara. Kuna kikundi cha vijana ambacho kimeamua kupiga watu mapanga hovyo...
Lile chokochoko la kutaka Zanzibar itambuliwe kama nchi kamili sasa limepiga hatua zaidi baada ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuwasilisha sera ya vitambulisho vya Mzanzibari mkaazi...
Wana JF, hivi imekuwaje, kila nikiamka threads za dini zinazidi kumiminika tu... na ingekuwa bora kweli kama hizi threads zingekuwa si za kukashifiana katika mambo haya ya imani kama inavyoonekana...
Legal case against God thrown out - 10/20/2008
A judge has thrown out a case against God - as the Almighty doesn't have an official address and legal papers can't be served.
Nebraska...
Kunakampuni moja hivi ya mambo ya ICT ambayo inamilikiwa na wadosi. mtu akiajiriwa pale hata kama mshahara wake ni 400,ooo kwa mwezi, wenyewe katika zile form za PPF wanaandika mshahara 100,000...
CHADEMA wazidi kuitesa CCM
Mwenyekiti Mbowe akihutubia Musoma mjini
na Kulwa Karedia
MAMIA ya wakazi wa mji wa Musoma na vitongoji vyake jana walijitokeza kwa...
Mwinjilisti: Mbeya kulaaniwa na Mungu
Na Charles Mwakipesile Mbeya
MRATIBU wa Maombi wa huduma ya Tanzania Itubu Taifa, Mwinjilisti Ambokile Mwasomola, amesema kitendo cha wananchi wa Kijiji...
Any one out there in the know?!....
Rumors are going around that the leader of the controversial nation is dead, lakini hamna chombo cha habari kinachosikika au kusema kuwa kina habari ya...
sidhani kama kuna mantiki yeyeto kwa ITV kuendelea kutumia jina hili kwa sasa kwa ajili ya habari za dar es Salaam pale jioni. Tuna jiji zaidi ya moja sasa hivi kama sikosei kuna Arusha, Mwanza...
Finns Facts:We pay intellectuals peanuts, they decamp to cheap politics
FINNIGAN WA SIMBEYE
THIS DAY
DAR ES SALAAM
INTELLECTUALS at the Hill last week questioned the governments...
,,,,,Ndugu wana JF,kile kikao cha KERO za muungano,kiliisha isha vipi???,Manake wakati tulikua tumekaa kutolea MISO yetu huko kwa akina CHACHA,mpaka CCM ikaporomoka,tungependa kujua na huku upande...
NILIWAHI kuandika habari za kiongozi mmoja wa juu wa CCM ambaye alikifananisha chama chake na puto lililojaa pumzi; kwamba sasa linakaribia kupasuka.
Alikifananisha pia na himaya ya Kirumi...
Wapendwa Wana-JF
Hatimaye utafiti huu umekamilika! Nimeambatanisha speech ya waziri Nkulo alyezindua utafiti huu tarehe 3 oktoba mwaka huu. Pia kuna summary ya matokeo hap chini. Kisha...
Mods,kama hii haipaswi kuwa hapa mataiweka mahara husika.
Je wachumi embu tuambieni,Uchumi wa Marekani umezidi kushuka kiasi cha kuathiri kwa kiasi kikubwa shughulri zao za ki-bank.
Lakini...
Mwafaka:Back to zero
By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN
The Civic United Front (CUF) has set a new condition for the resumption of the stalled Mwafaka talks with the ruling Chama Cha Mapinduzi to...
2008-10-18 10:32:03
Na Simon Mhina
Kimbunga cha ufisadi bado kinakitesa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasi kwamba, sasa hali ya mgawanyiko inajidhihirisha ndani yake kutokana na wabunge wake...