Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Rufaa vigogo wa EPA BoT katika hatua za mwISHO USIKILIZAJI rufaa za maafisa wa nne wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ambao walipinga adhabu za kuhusishwa kwa tuhuma za ufisadi katika Akaunti ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mchakato mzima wa uchaguzi wa Zimbabwe na kurudia kupiga kura ulimalizika kwa Rais Robert Mugabe kuibuka kidedea mara zote mbili. Kilichofuata ni malalamiko mengi sana juu ya vitendo vya wizi wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu wanaJF katika uchunguzi wangu katika mitandao ya simu TIGO ndiyo inayoongoza kuibiwa Tanzania kwa leo tuu huduma ya xtreme ya kuongea wamepata hasara ukiacha huduma nyengine kama...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Serikali kwa ujumla wake inastahili kulaumiwa kwa mimba za watoto wetu mashuleni.Miaka nenda miaka rudi serikali za awamu mbalimbali zimmeshindwa kabisa kusimamia uchumi wa nchi yetu inavyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna miaka BOT walikuwa wananunua dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo wadogo. Sielewi kama bado wananunua. Ukiangalia Indicative Foreign Exchange Market Rates yao dhahabu imeorodheshwa[angalia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Misitu ni muhimu sana kwa maisha ya binadamu. Hutupatia dawa, kuni, mkaa na mbao. Misitu pia huvuta mvua, hutoa kivuli kwa ajili ya kupumzika pia misitu ni makazi ya wanyama. Faida hizi zote...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Nimesoma thread ya 'tgeofrey' yenye kichwa cha habari ' Prof.Chacahage na laana ya mauti/Mukandara soon' kwa mshangao mkubwa.Hivi kumbe kuna wanadamu wanaofurahia wenzao wakifa,haya ni mapya.Kwa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu watazamaji wa TBC1 sijui kama hili nalo mmeliona. Hii TV yrtu ya Taifa ina mapungufu ingawaje wanajitahidi kwa namna fulani. Mara picha zinatoka ambazo hazikukusudiwa, mara habari za...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Samaki mkubwa wa kihistoria duniani ambaye alikuwa amepotea zaidi ya miaka milioni 65 ameibuka juzi katika Kisiwa cha Nyuli, Pwani ya Tanga na kuvuliwa na wavuvi wa eneo la Sahare Jijini hapa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Katika hali isiyo kuwa ya kawaida, Bwana Makamba bado anaendelea kushindwa kusoma nyakati.Inashangaza kuona kwamba hata kijana wake wa kazi,Bwana Komba anapotuhumiwa kutafuna mishahara ya wale...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kikwete ninamfahamu katika sehemu ya ujana wake.Nikiwa Form II yeye alikuwa Form IV.Nilimpenda kwa utendaji wake mzuri aliokuwa nao wakati ule,na hata katika kinyang'anyiro cha urais nikawa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana katika mechi ya Chelsea na Bordeaux, Channel 10 iliahidi kuonyesha. Ilituonyesha mpira sisi wadanganyika lakini kwa uongo mkubwa. Mechi waliirekodi Channel e na bila kuwa na AIBU MIOYONI...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Date::9/16/2008 Simba alining'ang'ania koromeo siamini kama niko hai Na Martha Ndeki Mwananchi HAMIS Mgagara (40) mkazi wa Chanika Zingiziwa, mkoa wa Dar es Salaam, bado hajaamini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Watanzania lazima tuamke.Tutambue kwamba mafisadi na washirika wao wanatumia kila njia kutufanya tusahau matatizo yetu ya msingi.Wanakazana sana kutumia michezo,kutuletea starehe mbali mbali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wakuu hii imekaa vp? mana naona sasa serikali haitutakii mema!!uyu mtu mmoja akigoma au wafanyakazi wake wakigoma je? tutapata mafuta wapiiii???kwanini serikali nayo isiwe na taasisi mojawapo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kuna chombo cha habari leo(jina nalihifadhi),kimesema uharibifu wa utando wa 'Ozone' umepungua.Kinachonishangaza mimi ni kwamba chombo hicho cha habari hakiwezi hata ku-verify taarifa hizo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Inatosha: ‘Academy’ zinatumia Kiingereza kutuzuga Daily News; Tuesday,September 16, 2008 @15:55 Wakati akiwa Babati mkoani Manyara siku chache zilizopita, Rais Jakaya Kikwete aliwabeza...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
KWA KUWA tuko mbali hatujui kwa hakika maafa yaliyowafika Wazimbabwe katika kipindi cha miaka mifupi tu kutokana na kuwepo kwa chama kimoja kinachodhani kimepewa ahadi na Muumba kutawala milele...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Serikali imetangaza kwamba kuanzia sasa watoto wa shule wasiingie kwenye vijiwe vya kuonyeshea TV.Naipongeza serikali kwa kuelewa kwamba vijiwe hivyo vinachangia katika uharibifu wa maadili...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wapendwa Mods na wana JF, mie ninapendekeza hatua za kinidhamu zichukuliwe dhidi ya Mtu mmoja anayeandika thread za matusi na kuposti hapa JF tangia jana. Kama inawezekana kuwepo na ombi maalum...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…