Ni muda mrefu sasa matukio ya ajabu yamekuwa yakitokea katika mashule yetu.Jambo la kushangaza ni kwamba hakuna hatua madhubuti zinazo chukuliwa kutafuta chanzo cha matatizo hayo na hatimaye...
Govt decides to retain NIC
PIUS RUGONZIBWA
Daily News; Wednesday,September 10, 2008 @20:20
The government will not sell off the National Insurance Corporation Limited (NIC), but...
Bwana Kikwete ameongea.Kwakweli kila siku anaongea,lakini leo kaongea zaidi maana sikumuelewa.Eti anaita wanasiasa wake 'utitiri'.Kaa!.Kuwaita utitiri maana yake nini,kama si kwamba,kawaona hawana...
Kikwete majaribu
Mwandishi Wetu Septemba 10, 2008
Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) bado kinasukwasukwa, na safari hii tatizo kubwa ni hatua ya Jumuiya ya...
The world's verdict will be harsh if the US rejects the man it yearns for
An America that disdains Obama for his global support risks turning current anti-Bush feeling into something far worse...
Schwarzenegger team sees recall effort as serious
AP foreign, Wednesday September 10 2008
SACRAMENTO, Calif. (AP) - The union representing state prison guards filed a formal notice Tuesday...
Kwako Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, Salaaam!
Ni imani yetu kuwa kwa mapenzi ya Mungu, huko uliko utakuwa umetumisi wanao
tunaoishi tukijivunia Utanzania wetu kwa misingi uliyotujengea na...
Wana wa houston walihuzunishwa kupitiwa na balozi sefue baada ya kikao chake na eti wawekezaji ktk jiji la houston.
kitendo cha sefue kutotoa au kueleza ugeni mzima uliofika Houston ukitafuta...
Huu ni mwezi mtukufu kwa waumini wa dini ya Kiislamu. Mimi na mmoja wa wapenda dini. Dini ni njia ya kumcha Mungu au kumcha unayemwamini. Mimi ni mkazi wa Manzese Uzuri. Sifa mojawapo ya eneo hili...
Nakumbuka about a month ago MWANAKIJIJI kwenye thread ya Dr Masau iliyofungwa alitoa wazo Serikali yetu iwe ina bail out biashara kama vile serikali ya USA ilivyofanya na Freddie Mac and Fannie...
Nchi yetu ya Tanzania inavutia kwa kila hali. Ukiwepo mlima mkubwa kuliko yote Barani Afrika. Misitu na Mbuga nzuri za wanyama ni kivutio kizuri sana cha utalii. Tatizo lililopo hapa nchini ni...
Ndugu zanguni habari za saa hizi
Mimi na duku duku langu na kilio kwamba tunaibiwa mamilioni na hawa jamaa wa Tanesco,EWURA na sasa wameungia hawa Manispaa.
ETi sasa wanatufanya tulipe TAA ZA...
Nimegundua ukiwa na uchungu na maisha ya watanzania wanaotaabika na hali zao duni,utakuwa umebeba mzigo mzito sana.Kila siku uwa najiuliza,kwa nini maisha yetu yanakuwa mabaya kila siku na sipendi...
Maisha ya mwananchi wa kima cha chini yanakuwa magumu siku hadi siku. Wiki iliyopita bei ya nyama ilikuwa ni shilingi 3,200 kwa kilo kwa fedha ya ki-Tanzania. Juzi nilinunua nyama hiyo hiyo kwa...
Jana usiku wakati najiandaa kwenda kulala, kuna kitu kimenigusa akilini. Hicho kitu sio kwamba kimenigusa kwa mara ya kwanza, ila tu jana kimenigusa tofauti kidogo na siku zingine
..kwenye...
Baada ya siku mbili kurejea kutoka kwenye mazishi ya Levy Mwanawasa......Rais wetu JK amepaa tena jana jioni kwa ndege ya serikali kwenda kwa Mfalme Mswati-Swaziland kuhudhulia sherehe za uhuru wa...
Sacked BoT officials set for court battle
By Bernard James
THE CITIZEN
The Bank of Tanzania (BoT) could face legal suits running into billions of shillings over the External Payments...
1.mgogoro mkubwa CCM,vigogo kadhaa kufukuzwa unachama.
2.Kabwe Zito kupauka kisiasa,madeni na fadhila za matajiri wa Ccm kumzonga, kuoa bint Mgumia his 'baby's mama'
3.mbowe kuachia ngazi degree...
Kuna TV moja inasemekana inatarajiwa kuwa na mahojiano na Jambazi sugu ambaye atataja matukio mbali mbali ya uhalifu aliyowahi kushiriki wakati akiwa mtu wa kazi.
Inadaiwa atasimulia jinsi...
Nimeichukua hii kutoka kwenye web site ya Watanzania waishio Oslo, wengine mtakuwa mmeshaisoma hii article
Read this mail circulating worldwide via mail about the Tanzanian Government scandal...