Kuna mtu mwenye fununu kuhusu kuhujumiwa kwa TTCL na wakubwa na baadae kuundwa Celtel Tanzania Ltd na hatimaye kuisababishia maisha magumu TTCL yanayo ikabili sasa
Jamani mbona silioni Tanzania Daima la Leo kwenye mtandao? Kulikuwa na makala nyeti sana... tatizo la kiufundi au niaje maana nimesikia kuna baadhi ya watu wamepita mitaa mbalimbali Dar na...
The Citizen (Dar es Salaam)
23 April 2008
Patty Magubira,
Mwanza
Human rights activists, school pupils and secondary school students yesterday marched to the Nyamagana District...
Kuna tetesi kuwa huenda baraza la mawaziri likapanguliwa tena na kati ya maajabu ya musa, ni pamoja na Mh. Lowassa kurudishwa kwenye timu kuchukua nafasi ya 'marehemu' Chenge. Ngoja tuyasubiri...
Nimekaa na kuanza kutafakari hali na mabadiliko ya mwenendo wa hawa wanasiasa wetu nikilinganisha na enzi hizo za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere , Alhaj Ally Hassan Mwinyi, Benjamin William...
Tumeendelea kushuhudia sakata la ufisadi likilitafuna baraza la mawaziri la rais Kikwete tena ndani ya kipindi kifupi kisichozidi miezi miwili.
Baada ya Waziri mkuu Lowassa,waziri Karamagi na...
kumbe walitaka kumtoa kama ""BANGUSILO"" mwanyika!! wakati steling CHENGE alikua ndie mhusika??? sasa picha inaanza kuja ndio maana alinukuliwa na vyombo vya habari akisema yeye hausiki hata...
How to spend the "vijisenti"
Adam lusekelo
Daily News; Sunday,April 20, 2008 @00:04
Yesterday I went to my favourite watering hole and started dreaming - what will I do with a million...
1 Malawi
2 Somalia
3 Comoros
4 Solomon Islands
5 DRC
6 Burundi
7 East Timor
8 Tanzania
9 Afghanistan
10 Yemen
Majority of these countries underwent political instability.
But TZ has been...
Effective Leaders COMMUNICATE Effectively!‏
Behind Military Analysts, the Pentagons Hidden Hand
A PENTAGON CAMPAIGN Retired officers have been used to shape terrorism coverage from...
Wana JF.
Kwanza kabisa napenda kutoa sikitiko langu kwamba JF tumeipa siasa, udini, mapenzi, udaku kipaumbele tukasahau kitu ambacho ni muhimu nayo ni sector ya utalii nchini.
Tafadhalini Mods...
Viongozi wote waliohusika ama kutajwa tajwa wakihusishwa na mambo ya UFISADI au hata kama hawajatajwa rasmi lakini wako katika orodha za namna hiyo pindi ikigundulika SISI WATANZANIA TUNAWAOMBA...
Mkandarasi alaumu uongozi wa U/Taifa
2008-04-17 10:01:14
By Jimmy Charles
Mkandarasi aliyepewa kazi ya kuufanyia ukarabati uwanja wa zamani wa Taifa ameutupia lawama uongozi wa uwanja huo...
Serikali kuwashirikisha Watanzania wa ughaibuni kujenga uchumi
2008-04-20 11:44:29
Na Mwandishi Maalum, London
Rais Jakaya Kikwete amesema serikali inatambua hazina kubwa ya uwezo wa...
It is sad to see that people who are supposed to help are inhuman enough to ask for sex in exchange of food. Food is among the basic necessity which a human being cannot live without. Severe...
BILL CORMIER, Associated Press Writer 1 minute ago
ASUNCION, Paraguay - Former Roman Catholic bishop Fernando Lugo won a historic victory in Paraguay's presidential election Sunday, ending...
Intelligence Officer In Media Attack Scam In Tanzania
An officer with the Tanzania Intelligence Service (TIS) in Dar es Salaam is being held in connection with the assault on editors at a...
jamani,mimi si mtu wa dini sana lakini kuna wimbo huwa unani-impress..simjui mwimbaji,lakini mojawapo ya vipande vyake,ni pale anaposema 'natamani nchi mpya'-naomba kusahihishwa if am mistaken...