Naomba kuuliza wataalamu wa uchumi, wanieleze faida zitakazo toka kwenye kiwanda cha magadi kinachopendekezwa eneo la Ziwa Natron. Mkataba utakuwa kati ya kampuni ya Tata Chemicals ya India na...
Two Tanzanian stowaways to be deported
January 22, 2008, 16:30
Two young stowaways, who spent a harrowing eight days on a small ledge above a container ship's rudder from Kenya to Port...
Hakuna haja ya tume nyingine tena itumie mabilioni for doing nothing! Tunachotaka ni kuona wahusika wote wanatiwa ndani haraka sana na kufikishwa mahakamani kujibu hatia dhidi ya ufisadi na...
Back to Story - Help
Study: False statements preceded war By DOUGLASS K. DANIEL, Associated Press Writer
Wed Jan 23, 6:43 AM ET
A study by two nonprofit journalism organizations found that...
Katika taarifa za za habari jana usiku na leo magazetini kumejitokeza kitu cha kufadhaisha sana hususani ktk suala zima la mwanahabari Kubenea na mzee Tega.
Sipendi kuhitimisha ila nimepatwa na...
Nilikuwa nauliza tuu kama bado ipo maana nilikuwa member pale lakini nasikia akina Big Ron walikuwa na ideas zingine wanaziozijua wao
sasa watu huwa wanahanga wapi?
Of course i meant decent...
WanaJF,
Kuna mdau mmoja ameniomba nipost 'dili' hii fresh... kama kuna anayeiweza, huu ndio wakti wa kuwa mjasiriamali... mi sina uzoefu wa biashara...
From: Africa J Bwamkuu...
Jamani nimekuwa nikitatizwa na swali hili. Kuna kampuni moja ya kizalendo iliyojulikana kama "Mwananchi Engineering and Construction Company" (MECCO). Hivi kampuni hii bado ipo ama ilikufa kama...
Najiuliza kidogo wana JF wenzangu kuhusu kukamatwa kwa watuhumiwa wa umwagiaji wa tindikali kwa mhariri wa MwanaHalisi Bw Kubenea na mapanga kwa Bw Ndimara Tegambwage walikamatwa lini maana mara...
Hii ni email ambayo imekuwa forwarded kwangu juzi na nimeona itakuwa vizuri nikii share na wadau hapa, rule zilizotajwa hapa ni kumi tu, ningependa kuona mchango wenu kwenye kuziongeza zaidi na...
Kutokana na ripoti hii ya BOT ni nani hasa mwenye uwezo wa kufungua mashitaka dhidi ya wahusika.Imedhihirika wazi kuna wizi umefanyika ktk bank kuu.
1,je ni bank kuu yenyewe ndio yenye jukumu la...
Ndivyo wanavyodai baadhi ya watu, wanadai hakuna aliyeshuhudia, hakuna picha za ajali hiyo, gari haijulikani iliko, na mambo kadha wa kadha. Bofya hapa...
It is about time someone has got into this.
There has been a lot of fake colleges, claiming to be affiliated with well known Universities here in the UK. Basically they promise international...
Jamani Watanzania wenzangu nisaidieni kwa mawazo yangu Generation ya 50-70 years ndiyo yakulaamu kwa umasikini wetu. Sithani kama Generation zingine zitakuwa corrupt na kutojali nchi kama hawa...
nyepesi nyepesi zimetoka kuwa Britney anatoka na mpiga picha wa ki Pakistan na ana mpango wa kubadili dini awe muislamu aitwe Begum Britney na kama hajamaliza habari ana mpango wa kujimuvuzisha na...
Kumekuwa na maandalizi ya Kikao cha Mabalozi wetu nyumbani wiki hii . Na msemaji mkuu nadhani kama sijakosea ni Balozi Mlay . Habari ambazo Lunyungu mtoto kanipa kwamba pamoja na mambo mengine...
MoDs:
Kwa heshima na taadhima ninaomba mniruhusu kutumia ukumbi huu, japo hata kwa muda mfupi tu kumzungumzia ndugu yetu Mac na mchango wake mkubwa anaoufanya kimya kimya hapa JF.
Wengi wetu...
Mimi ni Muislamu na Mwenyezi Mungu amenijaalia nimewahi kuhiji pia. Alhamdulillah.
Siku moja nilimuuliza Sheikh, "masharti ya mtu kuwa Muislam ni yapi?" Akaniambia ni kukiri kwa moyo na kutamka...