Watumishi wa kampuni ya lbl wenye tuhuma za kuendesha kampuni kinyume na matakwa ya mfumo wasiachiwe huru. wananchi walioumia kwa tuhuma za kutapeliwa wahamasishwe kujitokeza kutoa ushahidi...
Mfano
Kuna Ps
Kuna dereva
Halafu kuna wewe jumla mpo watatu mnadili na boss, mmoja boss anasafiri wote mna taarifa, watatu wengine hawana akitaka kusafiri au akiondoka wewe unawapa taarifa pc na...
Kamari au kubet kama mnavyoita ni aina Fulani ya Laana na kama unabisha nenda kasome Vitabu vitakatifu
Wanasiasa wa Tanzania hasa huku Tanganyika tuondoleeni haya makamari
Nakumbuka Shehe Mmoja...
Habari wakuu
Najua JF ni kisiwa cha habari na maarifa pia kumekuwa na nyuzi nyingi ambazo sisi kama member tumekuwa tunazisoma.
Basi mkuu ni hivi, wewe kama mwanaJF uzi gani ulikuvutia sana na...
Nimekuwa nikipokea malalamiko sana kutoka kwa Ndugu, Jamaa na Marafiki wakisema kuna watu wamekuwa wakiomba Funds kwa ajili ya Taasisi zao kwa kutumia jina langu la Kiduku Lilo.
Kwanza watu wangu...
Nashukuru sana kuwa JF na pia Max Melo kumkaribisha humu Billionea Lugano. Huyu jamaa kwa kweli amekuwa model wa vijana wengi wachapakazi hapa Nchini nadhani na nchi za nje pia ambazo kutwa kucha...
Huu mwezi wa majanga ya kujinyonga tu, kaanza Askofu, kafata mwanafunzi akisomea upadre amebaki masister nao mjihadhari na hii roho mtaumbuka.
Nimeona huyu askofu amezikwa kikristo baada ya...
Habari ndugu zangu na kaka zangu naomba nahitaji kusafirisha gari kutoka Zanzibar nahitaji agent ambaye ataisimamia gari hadi inapata usajili na number kabisa
Wakuu heshima kwenu. Poleni na majukumu.
Ndugu yenu numerudi tena kuwajuza yale yanayoendelea kunisibu, maana najua hapa wamejaa watu wenye upeo wa kushauri, kutia moyo ,kuonya, kukufungua jicho...
Wafanyakazi wa Chuo Cha Mkwawa tunapitia Changamoto kubwa ya usafiri wakati wa kwenda na kurudi kazini.
Uongozi wa Chuo umeweka Katazo la Pikipiki (Bodaboda), Ikiwa mfanyakazi anakuja na Pikipiki...
Kutokana na utafiti wangu usio rasmi, hakuna mwanamke asiyejua kukata mauno kitandani kama anakunwa kisawasawa.
Nilikutana na mwanamke niliyeambiwa kuwa ni gogo kitandani na ni kweli siku...
Habari za muda huu ndugu zangu kuna jambo linaniwazisha sana hasa juu ya hii mifumo ya upatu maarufu kama Ponzi schemes(kama sijakosea herufi) binafsi sijawahi kushiriki
Ila naona kama serikali...
Nina Marafiki kadhaa huko Arusha na GENTAMYCINE huwa sipendi kuwahi Kumhukumu Mtu bila ya Kwanza kufanya Uchunguzi wangu wa Kinjagu (Kimosadi) ili Kujiridhisha. Nilichogundua ni kwamba Mbunge...
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hasan, Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mkurugenzi Mkuu Dkt. Irene Isaka pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wa Mfuko wa...
Vyuo vya kisekta vyote vimekufa Sasa Wawekezaji wakija wanasema wanakuja na Wataalam wao wa kisekta
Hivi vyuo sijui vilikufaje kufaje mfano kile cha Bandari 🐼
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.