Jamani tunapojitambulisha hasa katika Matukio au Maeneo mbalimbali hatupaswi kusema ....Majina yangu ni GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE JamiiForums bali tunatakiwa kusema / kujitambulisha kwa...
Wanabodi,
Katika pita pita zangu mchana wa leo jijini Dar es Salaam, nimekutana na Mwenyekiti wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila katika ofisi fulani muhimu sana ya umma, yeye kaja na...
Kumekuwa na ukosekanaji wa waji katika baadhi ya nyumba eneo la tabata mtaa wa migombani (tembomgwaza) yaan maji yanatoka kwa kuchagua nyumba baadhi, takribani wiki tatu sasa. Wananchi hawaelewi...
Mwanadada akionyesha ,Ulimi wake Ulivyo kuwa Mrefu Sana tofauti na Wana damu wengine
Wanaume Wengi Wana Penda nyash Ila kuna ulimi pia
Hivi Ni Sifa Gani Wanayo wanawake wenye ulimi Mrefu kwenye...
Inasikitisha sana kwa msomi kuchukua maamuzi magumu kama haya.Tunasubiri polisi wafike eneo la tukio ili tupate taarifa za kina.
====== Updates =========
Ni kweli hii taarifa na shuhuda wamedai...
Afrika ni Moja ya bara ambalo tumeathiliwa zaidi na Tawala za kikoloni kuliko mabara mengne kama Asia mfano China, India n.k
Athari za utawala wa kikoloni Kwa wafrica siyo tu katika tamaduni na...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Singida (SUWASA) imefanikiwa kuondoa changamoto ya muda mrefu ya upatikanaji wa huduma ya majisafi kwa wakazi wa Mtaa wa Ng’aida, Kata ya Kisaki, Manispaa...
Kwa mujibu wa Utafiti uliofanywa na "Indo-Pacific Center for Civil Society Resilience" jumla ya nchi 7 katika bara la Asia na Oceania (Indo - Pacific region) zilipitia changamoto ya kuzimwa kwa...
Moderator naomba Uzi huu uache ujitegemee tafadhali
Wadau hamjamboni nyote?
Ni vema tuelezane ukweli kuwa huwezi kuwa Mkiristo wa kweli uliyempokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wako bila...
Tuendelee kuchukua hatua wakuu. Inaweza kuwa ngumu sana kukimbia huu mtindo wa mlo na maisha ila inawezekana kubalance.
TUKIWEZA KUBALANCE HIZI MAMBO:
Soda drinks. Milo, cocoa...
Kila Kona Kuna biashara, watu wanahangaika sana kwa sababu ya pesa.
Halafu hiyo pesa wanatumia ikulipa ili waishi Katika sayari yao wenyewe.
Dunia imekuwa kama jenehamu, biashara zinahharibu...
Aliyekua Mbunge wa Jimbo la Nkasi Kaskazini, Ally Mohamed Keissy ametoa mtazamo wake kuhusu Wabunge wanaopata matatizo ya ngozi kutokana na kujichubua mpaka ukikutana nao hujui kama ni Mchina ama...
Huu ni wizi mpya kwa kampuni ya Vodacom songesha, mtu hujawahi kopa unakuta deni eti ulipe
Ama kuna wanaotumia hiyo huduma lakini overdraft huenda ni laki moja wakala anakuta deni la laki moja...
WAPENDWA katika Bwana
Nawakaribisha ktk mkutano WA injili utakaonenwa na Mwl C. mwakasege
Kuanzia saa Tisa mpaka saa kumi na mbili jion
Kuanzia Leo tar 26 Feb mpaka 2 march
Itakuwa live upendo...
Watu watatu wamefariki dunia akiwamo mwandishi wa habari wa kujitegemea mkoani Mbeya, Furaha Simchimba katika ajali iliyotokea mkoani humo ikihusisha basi la Kampuni ya CRN na gari la Serikali...
Nikifika Mwanza eneo la kapripoint, nafurahishwa na namna jinsi wachora ramani walivyoyaweka majengo yakaishi na nature, bila kuharibu mazingira. Kuna tatizo la ubunifu. Ukiangalia majengo mengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.