Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanajukwaa Kuna changamoto moja ya kiafya ilinipiga - yaani ilikuwa mwili nauhisi kabisa upo na shida ila nilivyoenda hospitali kama mara tatu kwa vipimo nikaambiwa sina shida yoyote. Ile hali...
1 Reactions
3 Replies
106 Views
Ndugu zanguni, leo tumejumuike hapa si kwa ajili ya harusi, si kwa ajili ya msiba, bali kwa mjadala wa kufikirisha na kuchekesha juu ya historia yetu ya kiimani. Maana kila mmoja wetu, bila kujali...
3 Reactions
5 Replies
160 Views
Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Dkt. Linda Salekwa amewataka Watumishi Halmashauri ya Mafinga Mji kuweka agenda ya chakula shuleni. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi Mheshimiwa Dkt...
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya...
1 Reactions
3 Replies
98 Views
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete amesema hatua ya Halmashauri ya Tunduma kutoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.6 kwa vikundi...
2 Reactions
0 Replies
107 Views
Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini: Kutopewa risiti ya malipo Kuambiwa sijanywa chai Majalada yana mavumbi Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati...
0 Reactions
1 Replies
114 Views
Wanasheria, walimu na wahasibi wapo wengi sana mtaani na hawana ajira Kitendo Cha bodi ya mikopo kuendelea kuchoma pesa Kila mwaka kuwakopesha wanafunzi wapya wakasomee hizo fani pesa ambazo hata...
1 Reactions
10 Replies
302 Views
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha. Kauli hiyo ameitoa katika Kikao...
0 Reactions
1 Replies
156 Views
Naomba Meneja wa gongo la Mboto tusaidie kupata transforma kubwa tuna low voltage magole kitunda kwa mpemba mchafu. Tuna mwaka mzima umeme ni mdogo hata friji haziwezi kuwa. Tafadhali, jamii forum...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
Dereva Mtanzania Juma Ally Maganga (45) anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi katika Mji wa Juba tangu Februari 14, 2025 kwa tuhuma za kugonga na kusababisha kifo cha Mtu, imeelezwa familia ya...
0 Reactions
4 Replies
249 Views
Dar es Salaam–Mwanamuziki nyota wa Bongo Flava, Omary Ally Mwanga, anayefahamika kwa jina la kisanii Marioo, ametambulishwa rasmi kama Balozi wa Bahati Nasibu ya Taifa ya Tanzania. Ushirikiano huu...
1 Reactions
6 Replies
178 Views
Kutakuwa na mkutano WA injili wakiongozwa na apostle. Bendera Gamanywa Fernandes Maboya Na wengi watakuwepo kufanya maombi juu yetyuu...... Saa nane mpaka saa Moja Mungu akubariki sana wewe...
1 Reactions
8 Replies
182 Views
Chuo cha Usimamizi wa Fedha kimetoa tangazo la vyeti vya wahitimu wa mwaka 2023/2024 kuanza kutolewa, ndugu wahitimu wote twendeni tukachukue vyeti vyetu mapema sana.
0 Reactions
0 Replies
86 Views
Unaweza kudhani ni kweli kabisa Mzee Baltazar alisafisha kweli wanawake 400; dunia ya sasa imekuwa ni mazombi, just play with social media. they believe everything from the social media without...
43 Reactions
251 Replies
10K Views
Mimi ni nani na ni mtu wa aina gani hilo ndio swali ambalo huwa najiuliza mara nyingi ninapokuwa peke yangu. Mimi ni mzaliwa wa mkoa wa mara ni mtanzania halali ila tabia zangu zimekuwa za...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Anonymous
Mimi ni mhitimu wa chuo cha mafunzo na ufundi VETA Dar es salaam, kozi ya udereva wa awali, ila kumekuwa na adha katika suala la kupata leseni nimeenda TRA zaidi ya mara mbili ila nimeambiwa...
1 Reactions
3 Replies
255 Views
  • Poll Poll
Unaruhusiwa kupiga kura na pia kutoa sababu za majibu Yako. https://x.com/chechetimes/status/1892855382579540200?t=Ow3WQWYUMv9NsVdTjmK-Yw&s=19 Binafsi naona mwanga mkubwa sana Kwa vile...
1 Reactions
3 Replies
90 Views
MHADHARA (88)✍️ Ishi vizuri na familia yako hasa watoto wako. Punguza au acha kabisa utemi, ubabe, udikteta, ukatili, na ukali usio na maana kwa watoto wako. Kama umefikia hatua ambayo ukiwa...
18 Reactions
27 Replies
613 Views
Kuanzia matatizo ya vidonda vya tumbo, vijana kuwahi kuzeeka, kukosa nguvu za kiume, n.k. kwa kiasi kikubwa inachangiwa na kula vyakula vya kununua Kuna wafanyabiashara wa vyakula wao ni faida...
6 Reactions
11 Replies
437 Views
Niliposikia kuhusu tabia za Baltasar Ebang Engonga, Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kitaifa la Uchunguzi wa Fedha (ANIF) la Guinea ya Ikweta, alinikumbusha rafiki yangu wa chuo. Rafiki huyu alikuwa...
39 Reactions
144 Replies
6K Views
Back
Top Bottom