Katika kipindi ambacho teknolojia inaendelea kukua kumekuwepo na ongezeko la michezo mingi ya upatu hasa kupitia mitandao (digital platforms), katika michezo hiyo kumekuwepo na ugumu wa kutambua...
Rais Samia ameagiza waziri ya ardhi na tume yake ya clinic ya ardhi wapige kambi kilindi wahakikishe migogoro yote ya ardhi itatuliwe.
Wilaya ya kilindi ndyo inayongoza kuwa na migogoro ya ardhi...
Mkuu wa wilaya ya Hai, Hassan Bomboko ameagiza kuondolewa kwa mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Mabweni, Vyoo na Nyumba ya mwalimu katika shule ya Sekondari Saashisha kwa kile...
Picha zinaongea yote, wahusika wameshachezesha kuwahi viwanja.
Walisema walipoulizwa kwa contacts zao, kwamba kuanzia tarehe 17, sasa itakuwa tarehe 25 Februari.
Mnao wahi mkawahi. Labda...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Kama wanaume wangekuwa waadilifu, wenye Haki, upendo, Akili na kupenda UKWELI. Ni wazi Wala tusingekuwa na vuguvugu na harakati za kumkomboa Mwanamke, sijui Haki...
Kumekuwa na shida ya maji Wilaya ya Nachingwea kwa miezi minne sasa maji yanatoka kwa kusuasua wakati huohuo Mamlaka ya Maji (MANAWASA) haijatoa sababu za msingi za uwepo wa hali hiyo au wala...
Kuna tabia ya baadhi ya watu kuwa wagumu kuomba msamaha wakiwa wamekosea,
Huwa ni ngumu kwako kuomba msamaha au huwa ni vigumu wewe kuombwa msamaha, kipi kinatokea mara kwa mara kwa upande wako?
Juzi tarehe 23/02/2025 saa mbili na nusu usiku walimkata panga mtoto wa jirani yetu hapa Mwanalugali B na kumpora simu kisha wakalisahau panga hilo eneo la tukio.
MHADHARA (89)✍️
Kitu pekee utakachokula/utakachomeza bure mjini ni mate yako tu. Lakini vingine vyote ni gharama. Hakuna cha bure, ni lazima ulicholishwa utalipia kifedha, kiroho, kimwili...
Ni muhimu Mtumiaji wa Huduma za Mawasiliano ya simu kuhakikisha anachukua tahadhari wakati wa usajili wa laini yake ya simu kwa Wakala kwa kuhakikisha Mtoa huduma ya kusajili na kuhakiki...
Mdada mmoja alikuwa anasema kumeongeza issue ya wake za watu kudanga kutokana na tamaa za wadada wengi kujirundiikiana marejesho juu ya marejesho hadi imepelekea wake za watu sasa kuanza kudanga...
Pesa ndo Inaamua mambo Mengi sana, na Pesa ina maamuzi ya kushangaza.
Pesa inatawala maamuzi ya watu walio wengi, na Pesa inamaamuzi na ni kirainishi cha mambo Mengi.
Note
Pesa ni jawabu ya...
Hii yote ni kujitafutia acceptance katika dunia inayoongozwa na literates.
Kuna wajinga maarufu bongo hii wakisha shiba vihela vya kupaisha majina ya wanaume wenzao wengine baada ya kusambaza...
Kumekuwa na utaratibu wa Dawasa kufika eneo la nyumba na kukata maji bila hata kutoa taarifa kama wanakata maji ilhali wenye nyumba wapo na namba za simu wanazo kwenye karatasi zao.
Je, hii ni sawa?
Hadi sasa ni nchi nyingi zilizopiga marufuku matumizi ya sumu ya ‘Potassium Bromate’ kwenye uokaji wa mikate; Nazo ni Nchi zote za umoja wa ulaya, Nigeria, China, Peru, Korea ya kusini ...
Habari za Uzima WanaJamiiForums.
Kuna kitabu Nimekipoteza ktk mazingira Nisiyoelewa, kinaitwa UCHAWI UNAVYOKUPATA NA KUJIKINGA Cha mwandishi MUNGA TEHENANI wa FAMILIA YA JITAMBUE.
Huyu Bw...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.