Wakati Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla akisema kuna mabasi 200 yaendayo haraka yanayoyotarajiwa kuanza kazi katika barabara ya Mbagala, Mkurugenzi...
Akiwa katika muendelezo wa ziaa yake huko Tanga,Rais wa JMT amezindua shule Mpya ya Wasichana ya Mkoa mchepua wa Sayansi iliyojengwa Wilayani Kilindi.
Katika kuenzi mchango wa Wanawake,Rais...
Huwa najiuliza, kama Taifa tuna nini akilini mwetu?
Haiingii akilini kuwakopesha zaidi ya milioni 13 vijana, tena kutoka familia masikini, ili wasome vyuoni halafu tushindwe kuzirejesha hizo...
Hakuna uwezekano wa kufanyika Mabadiliko wawe Wanachaguliwa Vijana au Wazee wa Makamu kuwa Mapapa? Na huko Vatican wakati wanachagua hawa Mapapa huwa wanakuwa Makini sana pia kuangalia na Hali zao...
Waheshimiwa , Mamlaka husika, Naomba muhusike na kichwa cha habari hapo juu. Waswahili Tunasema sisi sote, ni wafungwa watarajiwa.
Napenda kutoa maombi yangu kwa heshima kubwa kuhusu suala la...
Habari ndugu, Katika dunia ya sasa, ni wewe mwenyewe uchague—utafute ujuzi ukaingie sokoni kupambana na fursa au ubaki ukilalamika kila siku. Nafasi ni yako, hiari ni yako!
Sasa bhana, kuna jamaa...
Apartheism is a lack of interest or concern whether or not God exist.
Ukitazama matendo ya watu wanao jiita wakristu na waislamu utaona kabisa yanasadifu " Apartheism" . Matendo yao hayaonyeshi...
Je wajua kuwa kijiko kikubwa cha 🍯 asali kinatosha kumuweka mtu hai kwa masaa 24?
📒 Je, unajua kwamba moja ya sarafu za kwanza duniani ilikuwa na alama ya nyuki?
📒 Je, wajua kuwa asali ina...
Kumekuwa na taarifa za mlipuko wa ugonjwa wa kipindupindu kwenye baadhi ya mikoa nchini. Mkoani Singida jambo hili sijalisikia lakini ni vyema mamlaka wakachukua hatua ya kuhamasisha usafi wa...
mamlaka ya maji Safi Na usafi WA mazingira Songea(SOUWASA) mnawaumiza sana wateja wenu bill mnazotoa Ni kubwa kuliko matumizi. Nyumba ambayo imefungwa maji hayatumiki Kwa mwezi nzima mnatoa bill...
Sababu za umasikini wa mkoa wa Kagera
Thursday September 08 2022
Siku chache zilizopita kumeibuka mjadala mkubwa uliochochewa na kauli ya Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila kusema kwamba...
Nimekaa nikajuiliza kwanini hawa majiarani zetu(wakristo) hutumia nguvu kubwa saana mambo ya kuoa mke zaidi ya mmoja kama walivyo waislam wasukuma wamasai nk
But suala la ajabu wanaume kwa...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI.
Swali langu ni la kidadisi(curiosity)...
Mamlaka zinazohusika na ubora wa bidhaa nadhani mnajisahau sana, mitaani kuna bidhaa nyingi ambazo kama hazija-expire, basi hazina expire date kabisa au expire date yake haionekani vizuri.
Hii ni...
Katika dunia ya sasa yenye ushindani mkubwa na changamoto za kiusalama, matumizi ya intelenjesia yamekuwa msingi wa maamuzi sahihi katika sekta mbalimbali, zikiwemo usalama wa taifa, biashara, na...
Kwema Wakuu!
Nimeamini Mjini mipango. Haka kajamaa bhana kama ungebahatika kukutana nako Mwezi wa Saba mwishoni ungeelewa Kwa nini Wazazi na ndugu Zake walikakatia TAMAA.
Ungeelewa Kwa nini hata...
Wakuu
Sisi wote ni mashahidi jinsi ujio wa trump ulivyoleta hekaheka nyingi kuanzia huko marekani kwenyewe, ulaya bara hindi na hata huku kwenye nchi zetu hizi weusi.
Hadi sasa hajamaliza hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.