Dstv wanapaswa kutujali wateja wao. Nmelipa king’amuzi mwezi sasa unaisha lakini kila nikiwasha niangalie naambiwa bad weather na jua hili kali la dodoma bad weather inatoka wapi mwezi mzima...
Wa Salaamu . Hizi app za kukopesha fedha mitandaoni zimekua nyingi mno.
Kila ukiingia online ni promotion za app hizo.
Kwa wale wataalamu wa kiuchumi hii ni kiashiria gani kimaendeleo?
Je hii...
Habari za leo Mdau, naomba utusaidie kupaza sauti iwafikie taasisi ya OSHA.
Wanavyuo wa NIT, Ardhi na Chuo cha Maji 2024 tulilipia pesa 30,000 kwaajiri ya mafunzo semina ya Usalama mahala pa kazi...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Dotto Biteko (wa tatu kutoka kulia), akiwa katika uzinduzi Rasmi wa tawi la benki ya Exim Tanzania wilayani Kahama mkoani Shinyanga. Kulia kwake ni...
Wakuu habari za jioni?
Mimi napenda sana kunyoa kwenye Saluni ambazo zinahudumiwa na wakaka Pamoja na wadada. Huwa najisikia Vizuri sana ninapomaliza kunyoa halafu naambiwa nenda chumbani...
Maisha mpaka mtu kufanikiwa anakuwa amepitia mambo mengi kuna stages , kuchekwa , kupuuzwa , kusemwa vibaya , kudharauliwa .
Ukiona mtu ana roho mbaya haijaja bure amefundishwa na walimwengu...
Wananchi wa Ruvu na vitongoji vyake tunateseka saaaana na shida ya maji aisee. Ni wiki ya tatu.mfululizo hatuna maji na tunauziwa dumu elfu moja.
Kinachoshangaza zaidi ni kwamba sisi wananchi ndo...
Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, Geoffrey Pinda, amewataka watumishi wa ardhi nchini kuacha kuyumbishwa na misimamo ya kisiasa, badala yake wanapaswa kutekeleza majukumu yao...
Wakuukwanza niseme nakushukuru sana kwa JamiiForums haswa inaleta exposure watu tunapona kimya kimya kwa maana siku niliyojiunga sikulala ni kama nilikesha natafuta hizi parts nasoma mpaka...
Soma hiki kisa kisha jenga hoja juu ya swali
Mume na mke walitembelea shamba na wakaona fahali 🐂 akifanya mapenzi na ng’ombe. Kisha mke akamuuliza meneja wa shamba:
"Fahali hufanya mapenzi mara...
Waliokulia vijijini mashambani wanalijua hili... Waliokulia mijini kwenye uchafuzi wa kila aina na vurugu zote hawaijui ladha yake
Ukisoma habari za peponi na vile kulivyo unaweza kukubalina nami...
Honestly hivi kila mtu maisha kwake ni magumu hivi?
au am cursed?
napitia ile moment ambapo kila kitu hakiendi,kila ninachogusa kinaharibika zaidi asee.
wezetu huwa mnapitaje kipindi kama hiki ...
Mwanasheria anasema, kuoa na kufunga ndoa ni vitu viwili tofauti, binafsi yake hapendelei kufunga ndoa sababu ya ‘repercussions’ endapo mtagombana.
Anasema ni bora uwe na ‘X’ kuliko kuwa na...
Amani kwenu watumishi
Huyu mwamposa kashindikana
Kwa sasa dunian wa kushindana naye ni pope Francis mwenyewe hakuna tena mwingine
Hata shetani hawezi kujaza watu kama anaojaza mwamposa
Hata...
Unaweza kudhani ni stori za kijiweni au kufikirika lakini haya mambo yapo na uzoefu wangu wa kuhudumia wafu ulinifanya nikutane naye.
Kuna watu hufa mara mbili na mara nyingi ikiwa ni usiku...
Nyakati ngumu huunda watu wenye nguvu, watu wenye nguvu huunda nyakati nzuri, nyakati nzuri huunda watu dhaifu, na watu dhaifu huunda nyakati ngumu."
by G. Michael Hopf.
Its simple mabibi na...
Ni miaka 15 sasa imepita tangu ninusurike kuuawa na walimwengu. Nilikuwa nikiishi Tabora, na jioni moja, nilikuwa natembea mjini Tabora. Wakati natembea, nikajihisi kubanwa haja ndogo, nikawa...
Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.