Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene, amewaita ofisini kwake Dodoma kwa mazungumzo viongozi wa vijana waliojitambulisha kwenye...
WANANCHI PWANI WAHAMASISHWA KUSHIRIKI KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA
Mbunge wa Viti Maalum, Dkt. Alice Karungi Kaijage, amewataka wakazi wa Pwani kushiriki kikamilifu Kampeni ya...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu leo January 10,2024 ametoa taarifa ya hali ya utoaji huduma za afya nchini kwa mwaka 2023 katika mkutano wake na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam...
WAKILI maarufu nchini, Mediam Mwale aliyekuwa akishikiliwa na polisi tangu Agosti 2, mwaka huu, jana alifikishwa mahakamani akidaiwa kukutwa na fedha haramu zaidi ya Sh18 bilioni.
Mwale...
Jaji Issa Maige wa Mahakama Kuu Arusha, amemuhukumu wakili Medium Mwale kwenda jela miaka mitano au kulipa faini ya Sh 200 milioni kutokana na kosa la utakatishaji fedha
Pia amemuhukumu kifungo...
In 2004 I was doing my last year at the university of Dar es Salaam. It was during my time there when I created the strongest bonds of friendship and loyalty. Friendships that have made me and...
Habari zenu watanzania wenzangu popote mlipo, mimi nikiwa member hai wa forum napenda kutoa ushuhuda wa manyanyaso kazini yalivyopelekea kuangukia kwenye ugonjwa sugu wa figo.
Mimi ni mfanyakazi...
Binafsi kwa siku ya leo, mstari huu wa BIBLIA umegusa maisha yangu nazidi kuutafakari na kuomba neema nipate kuuelewa zaidi na kuyaishi mafundisho hayo.
Galatians 5:22-23
Lakini tunda la Roho ni...
(Due to technical issues, the search service is temporarily unavailable.)
"Lucid dream" ni ndoto ambayo unatambua kuwa unalota wakati bado uko ndani ya ndoto hiyo. Hii inamaanisha kuwa una...
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA Mhandisi Mkama Bwire amesema wanakusudia kurejesha Mamlaka hiyo kwa wananchi ili kutoa fursa na na...
Wakuu habari za jion? Waswahili walisema dunia hadaa ulimwengu shujaa, ndio hii sasa nakutana nayo mimi.
Nilikuwa muajiriwa wa kampuni (A) hivyo kampuni (B) walinitafuta sijui ni wapi walipata...
Habar za muda huu!
Niende kwenye mada husika. Leo nilikuwa na jamaa yangu kuna sehemu tunaenda tupo na pikipiki, so jamaa akaona tupitie kwenye ATM atoe fedha kwa ajili ya mafuta.
Tunaingia...
Wakati mwingine inawezekana umasikini wako ni matokeo ya Babu yako kula kona wakati wa zoezi la kukamata watumwa waende wakafanye kazi marekani
Babu yako alijificha porini milimani, inawezekana...
ya Beelzebuli yalimpata Mkuu wa Makuhani kwasababu ya Ujira mwiha , naye bufa aliahidiwa kwamba ntafanya ya beelzebuli Kwa makuhani watakao kuja madhali umeonesha commitment Kwa hili, katika...
Nina ndoto za kuja kuwa DIRECTOR mkubwa afrika mashariki na kati..
Naamini Mungu yupo
Naamini katika jutihada zangu nitafanikisha hilo..
Kama na wewe unaamini una ndoto fanya juhudi zako ila...