Wakuu nimekuja kwenu, ofisi za TRA Temeke zina fikirisha sanaa katika uwajibikaji wao
Nili-register TRA TIN Number mwaka 2020 branch ya Mbagala sasa nataka nihamishe ile TIN number location isome...
NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kuandaa kanzidata za wanafunzi waliohitimu Vyuo Vikuu waliotoka Kaya...
Kwa wale ambao mmeshawahi kusikia namna 'punda' wa 'sembe ya mwakyembe' wanavyo 'packiwa' mizigo ya kusafirisha mtakubaliana na mimi kwamba biashara hii 'takatifu' ina faida kubwa iliyotukuka. Ni...
Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu.
Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo...
Mfanyakazi wa ndani mwenye asili ya Kiafrika Faustina Tay aliyekuwa akifanya kazi nchini Lebanon amekutwa amefariki baada ya kutuma ujumbe kuwa alikuwa akinyanyaswa
Mfanyakazi huyo raia wa miaka...
Hawa watu ni wahuni wameshawapiga watz wanataka kusepa na pesa sasa.
Meneja wao huo hapa anaitwa Emily yupo Uingereza +44 7429 429168.
Ukiangalia list ya makampuni ya Uingereza hii kampuni haipo...
Sielewi somo na siielewi serikali. Naomba majibu. Hao TCRA na BoT walikuwa wapi muda wote?
Pia soma > LBL: Pyramid Scheme Inayowatapeli Watu kwa Kisingizio cha Uwekezaji
Waumini wawili wanawake, Mercy Rono (38) na Mercy Cherotich (30) kwa sasa wanauguza majeraha baada ya kutandikwa viboko na mchungaji wao, aliyedai kuwatoa mapepo kwa njia hiyo.
Kwa mujibu wa...
Kuna siku nilikua Dodoma mitaa ya safina pale karibu na temple ya Hindu mandal
Kuna wadada wawili walikua wameketi hapo nje ya Ile temple Kuna kama chemba iv
Mmoja kati Yao alikua ana mtoto...
Kwa:
Meneja wa Bongo Star Search (BSS)
Dar es Salaam, Tanzania
Yah: Kuanzisha Programu ya Kuwapeleka Washindi wa BSS Kushiriki Mashindano ya America’s Got Talent (AGT)
Natumai barua hii...
Kwema wakuu
Kama title inavyosomeka ningependa kujuzwa, kati ya Mbunge na Mkuu wa wilaya yupi ana mamlaka zaidi ya kiutawala/kiuongozi?
Naelewa mbunge yupo kwenye mhimili wa bunge(legislature)...
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi (Mahakama ya Mafisadi), imewahukumu kifungo cha maisha Mafanyabiashara Abdu Nsembo na Mkewe Shamim Mwasha baada ya kutiwa hatiani kwa...
Habari wakuu nimepata mchongo wa kazi nje ya nchi, nimepewa taratibu za kupata passport na inachukua muda wa mwezi na week kutoka, naombeni msaada kama kuna njia naweza kutumia kuipata kwa siku 7...
Leo ndio nimehitimisha kuwa wazazi wengi wanaopeleka watoto EMS ni wale washamba, mostly ni watu ambao wameishia shule za msingi. Wanadhani elimu ni KIINGEREZA.
Mtoto makubwa yuko darasa la nne...
Anayefanya biashara ya hewa ukaa (carbon dioxide) naomba mawazo yenu. Ni miaka kadhaa sasa nilitaka kuingia kwenye hii biashara lakini nikaona malipo ni kidogo. Ilikuwa $12 per metric tonne!
Lengo la kuondowa pombe za kwenye vifungshio vya plastiki kama zed,double punch na konyaji lilikuwa nini na mkaleta master,na vingine vikali lengi nini?
Yawezekana hapa ndipo penye utitiri mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta ya magari katika barabara ya Bagamoyo.
Kutoka Bunju pale njia panda ya Moga unaanza na Lake Oil mkono wa kushoto hadi Mapinga...