Habari wana-JF!
Najua tayari kuna nyuzi kedekede kuhusu njia za kufika Marekani, Ulaya na Asia kwaajili ya kubadili upepo na kutafuta fursa mpya ila leo nitaongezea maarifa hasa kwa wale...
MHADHARA (87)
👁️Ewe mwanaume;
Kama huna lengo la kuzaa usimpe mimba mwanamke, kama utampa mimba mtunze/tunzaneni. Ikiwa utampa mimba mwanamke na kumtelekeza utamfanya ateseke, pia utamtenganisha...
Habarini wana-jamiiforum!
Hivi umeshawahi kujutia kumsaidia mtu,awe ndugu,rafiki au jamaa?
Binafsi nakumbuka tangu shule ya msingi nilikua na mshkaji alimizidi miaka ya kutosha tu so ni kama...
Huu ni wito wangu kwa wadau wote wa JF na waTanzania wenzangu wote.
Uchaguzi mkuu wa Tanzania utafanyika mwaka huu October 2025.
Uchaguzi huu ni kwa mujibu wa sheria na katiba ya Tanzania...
Mimi nimekuwa mteja wa hizi bank za hapa nyumbani ila hii bank ya NMB ndiyo bank iliyoongoza kuniginbanisha na wateja
Hakuna bank yenye mfumo mbovu kama nmb imagine nimefanya muamala kutoka nmb...
Wadau habari zenu nimerudi tena, ndugu yenu nimepata zari wakubwa.
Nimepata chance ya kufundishwa production ya mziki na producer mkubwa sana tu hapa bongo kama nilivowaambiaga nna tatizo la...
Kuna wazazi sasa hivi mnausasa wa kuwaacha watoto wajifanyie wanavyo taka wao yaani wanajifanyia maamuzi ndio maana sasaivi wasichana wengi wamezalia nyumbani na mmelizikia hivi ni kawaida mtoto...
Katika mahusiano, kuna mambo unayopaswa kuyatafakari kabla ya kufanya uamuzi wa kudumu. Ingawa kila mtu ana historia yake, kuna mazingira ambayo yanaweza kuathiri mwenendo wa mahusiano kwa kiasi...
Ni Asubui ya saa 12 naelekea zangu kituo cha daladala ili niwai kazini,pembezoni mwa barabara naona watoto wawili wa kike wamesinzia na kulaliana.Mdogo kamlalia mkubwa mapajani,mkubwa kajiegemeza...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Kama kuna jambo ambalo lilikuwa likiniwazisha ni namna ya kumjua Nabii wa uongo na wa kweli.
Nilisikia habari hizi kutoka katika mahubiri kanisani...
21 Februari 2025, Zanzibar – Benki ya Exim imeingia mkataba wa miaka mitatu na Chama cha Wawekezaji wa Utalii Zanzibar (ZATI) kwa lengo la kukuza na kuinua sekta ya utalii Zanzibar. Mkataba huo...
Mwenyekiti wa Baraza wa Chuo Kikuu cha Iringa, Dkt. Lilian Badi aliondolewa mara ya kwanza kwa tuhuma za mazingira tata lakini hivi karibuni amerejeshwa kazini huku kukiwa hakuna maelezo sahihi ya...
MRADI WA MWENDOKASI: MIFANO HALISI YA WIZI WA FEDHA ZA UMMA
Mradi wa Mwendokasi (BRT) ni kielelezo cha namna miradi mikubwa inavyogeuzwa kuwa mashamba ya mafisadi badala ya kuwanufaisha wananchi...
USHAURI KWA SERIKALI: WAJIBU WA KIKATIBA KATIKA KUTOA HUDUMA ZA AFYA NA KUSAIDIA NHIF KWA RUZUKU
1. UTANGULIZI
Serikali ya Tanzania ina wajibu wa kikatiba kuhakikisha kwamba kila raia anapata...
CHUKUA CHAKULA KITOKACHO SIRINI
Makala hii imeandaliwa na
Creezle Farey
☎📞+255789407381
NINI kinafanyika na kutokea unapokwenda kwa mganga na kuchanjwa chale inayotoa damu yako ?
Iko hivi...
Ndugu zangu, hali ya kukosa kazi si jambo geni, na wengi wetu tumewahi kupitia ama tunapitia kipindi hiki kigumu. Ukosefu wa ajira unaweza kuleta msongo wa mawazo, kushusha hadhi yako kwa jamii...
Habari ndugu zangu,naomba tupeane connection hapa za fundi/programmer mzuri wa volvo v40 T4 ya 1600cc petrol 2014 model
Anatakiwa fundi mzuri sio wa kubahatisha ,yaani anayeijua hiyo gari vizuri.
SERIKALI ya Awamu ya Sita ,kupitia Tume ya Taifa ya Umwagiliaji (NIRC), imesaini Mkataba Wa kukarabati skimu zilizopo katika bonde la Mto wa Mbu Wilayani Monduli, kwa gharama ya shilingi bilioni...