Kitefure Longuo A Moshi Vijijini, tuna changamoto ya kutokuwa na huduma ya maji kutokana na maji kutotoka hali ambayo inaathiri Watu wengi ikiwemo sisi Wanachuo na Wanajamii kwa jumla, hali hii...
Meneja wa Barrick nchini, Dk.Melkiory Ngido akitoa taarifa ya utendaji wa Barrick na Twiga kwenye kikao cha Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge...
Habari .
Mimi ni muumini mkubwa wa kutoa , Ila katika utoaji wangu huwa nikimsaidia mtu ambaye hatuna undugu wowote , baraka huwa zinarudia kwa kiwango kikubwa Sana.
I need to understand kwa...
Kupata uhakika unaweza kufanya utafiti mdogo tu na utagundua hili
Kwa Sasa Tanzania hasa Bara ni kama vile Vijana Wote walikufa yaani hawaonekani kabisa kama Wapo tofauti na Gen Z hapo Kenya...
Niliwahi kuandika hapa JamiiForums juu hatari ya biashara kandokando ya barabara kuwa kuna siku gari likosa mwelekeo leo limetokea.
Tunaposema wananchi wa kawaida huwa ni kama vile kelele. Lakini...
Malalamiko ya Mgawanyo wa Walimu Kupitia Njia Mpya ya Uajiri ya Ofisi ya Rais Katika Utumishi wa Umma:
Katika mchakato wa uajiri wa walimu unaofanywa na Ofisi ya Rais Utumishi, kumekuwa na...
Sinza D (Mtaa wa Sinza Madukani) kuna mradi wa uchakataji wa maji taka unaofanyika chini ya usimamizi wa karibu wa Diwani wetu ukifadhiliwa na Benki ya Dunia na kuratibiwa na DAWASCO, ambapo...
Mo amefanikiwa sana kibiashara na ndio $bilionea wetu hapa bongo anayetambulika rasmi, akipewa kitengo cha DOGE kuleta ufanisi serikalini anaweza kuleta mabadiliko makubwa? Tukumbuke pia Wahindi...
Miaka mingi sana najificha na sitaki zungumzia haya mambo lakini kwa kile nlichokiona usiku huu nimeamua tu kumwaga mboga kwakua wao wamemwaga wali. Niulize chochote nitakujibu elimu yote ipo hapa.
Morocco π²π¦ na Uhispania πͺπΈ zinapanga kujenga tunnel la Euro bilioni 6 ili kuunganisha nchi hizo mbili.
Njia hiyo itakuwa na urefu wa kilomita 38.5, na kilomita 28 chini ya bahari kwenye kina cha...
Heshima kwenu wakuu!
Twende moja kwa moja kwenye mada husika,
1. Niliwahi kujichangachanga na kununua simu Samsung galax s9+ mwanangu akalilia kucheza game, nikamwekea game ya magari nikampa...
Utafiti uliotolewa na kuonyesha kuwa 40% ya watumishi wa umma ni mizigo, kwa maana wengi ni wavivu, wazembe na hawatimizi wajibu wao ipasavyo, naunga mkono utafiti huo kwa 100%
Chanzo kikuu ni...
Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae...
Kuna swali huwa linanizunguka kichwani hasa linaniambia lengo la kuja duniani nini?
Kwanini wengine duniani watajirike na wengine wawe masikini? Na kwanini wengine wamake Impact ila wengine...
Wakuu hivi sehemu sahihi ya kiutafutaji katika ya Morogoro na Katavi ipi ni sahihi? Kwa maana ya biashara ya mazao na maduka ya dawa Morogoro maeneo ya Ifakara, Mvomero, Malinyi, Kilombero na Mlimba?
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba apendekeza nyongeza ya TSh bilioni 945.7 kwenye Bajeti Kuu ya Serikali ya 2024/25 kutoka kwenye ile ya awali ya Trilioni 49.3 iliyowasilisha Bungeni Juni 13,2024...
Mwezi haujaisha ila mmh!!Nimepiga mzigo mmoja hatari sana.
siko sure saana na hizi kitu!!β¦.
Maana wiki sasa leo naona kama nawashwa washwa
Wenye uzoefu wa hizi dawa za prophylaxis wanitie moyo!π
Malipo ya kazi ya caregiver hutofautiana kulingana na mambo kadhaa, kama vile:
1. Mahali pa kazi: Malipo yanaweza kutofautiana kulingana na nchi, mji, au eneo la kazi. Kwa mfano, malipo ya...