Ahsanteni sana TARURA Mkoa wa Mbeya kwa kusikia kilio chetu Wananchi wa Kata ya Forest.
Hatimaye vile vifusi vilivyokuwa vimemwagwa katika Barabara ya Sangu kuelekea Benki Kuu vimeanza...
Naibu Waziri wa Mambo ya ndani Mhe. Daniel Sillo amesema katika kipindi cha kuanzia mwaka 2022 hadi 2024 jumla ya wananchi 1,113 wamepoteza maisha kutokana na ajali zilizosababisha na pikipiki kwa...
Mods mnaweza unganisha uzi huu na wa mwanzilishi wa hii mada hii Robert Heriel Mtibeli
Uzi ni : Moja ya dalili ya kijana kukosa maadili ya wazazi ni kuwafanya Wasanii wa muziki, drama na Filamu...
Ndugu wanabodi.
Mimi binafsi ni mtumiaji mzuri wa mtandao wa Airtel. Lakini pia ni freelancer na agent wa mitandao yote ikiwemo na Airtel.
Kitu kilichonistua mpaka kuandika hii thread. Ni baada...
Serikali ya Tanzania kupitia TCRA tunaomba mtusaidie Wananchi wenu, kuna mitandao ya simu (..) kila ukiweka salio la fedha unatafutwa na namba ngeni
Kuna mitandao fulani ya simu kila ukiweka...
Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu.
Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni...
Hakuna watu walio athiriwa na mtaala Mpya wa Elimu Tanzania kama wamiliki wa shule za EMs .
Kwa sababu ya mtaala huo hata wale wazazi walio kuwa vichwa ngumu kuwatoa watoto Wao Ems kuwarejesha...
Kumekuwa na changamoto wakati wa kuhuisha leseni za LATRA Kwa waliopata mwaka 2023 ikidaiwa kuwa tumepewa kimakosa, huku tukifanya kazi kwa takribani miaka 2, Mwaka wa tatu huu unaambiwa umepewa...
ASSETS ZA ASILI ZA MWANAMKE NA MWANAUME. HIZI UKIZIJUA ZITAKUSAIDIA PAKUBWA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Assets ni rasilimali aliyonayo mtu au kampuni, taasisi au shirika, au taifa...
Ikiwa ni siku chache tu tangu Kundi la Tembo kutoka Hifadhi ya Burigi - Chato kuvamia Mashamba na Makazi ya Wakulima wa Kata ya Kasulo, Wilayani Ngara Mkoani Kagera, Wananchi wengi walioathirika...
My Take
Hakuna Nchi imewahi fanikiwa kupambana na rushwa Kwa 100%.
Ni ufisadi kwenda mbele π π
https://x.com/elonmusk/status/1888176132484211041?t=B6ACjCkp3ZcJ-bjPBv7gXw&s=19
Eti hao ndio...
Katika mijadala mingi kuhusu dini na imani, kuna mkanganyiko mkubwa kati ya neno mpagani na mtu asiyeamini kabisa uwepo wa Mungu (atheist). Nimetumia neno wapagani kwenye kichwa cha habari ili...
Imeamuliwa 'next stage' isitishwe. Baadhi ya maombi ya unyenyekevu ya 'theState':
1. Sheria zifuatwe na zile zisizofaa zibadilishwe.
2. Mwakani kuwe na mwendelezo wa kuandika katiba ambapo bunge...
Ndio, hakuna kinachosaidika kwenda gaza directly, vitu vingi vinapita kwanza kwa hamas alafu wanapewa wananchi wachache kwa ajili ya ushuhuda wa bongomuvi.
Wanashirikiana katika kuua ideology ya...
Miaka kama 13 imepita wakati huo tukiwa Ilboru sekondari nilikuwa na rafiki yangu mmoja ambaye tulikuwa tunaishi jirani kwenye jiji moja la kanda ya ziwa
Tulikuwa hatufahamiani kabla...
Ajali zinazotokea msimu wa sikukuu zimeendelea kuacha majonzi kwa Watanzania, baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu ofisi ya Msajili wa Hazina, Amos Nnko kufariki...
Wapendwa! Kwa masikitiko makubwa, Familia ya Banduka inasikitika kuwatangazia kifo cha Mhe. Nicodemus Manase Banduka kilichotokea ghafla jana, Ijumaa jioni, wakati akipatiwa matibabu katika...
Hiyo inaitwa danganya toto, tunawahamisha Wapalestina Kwa Muda, wanaenda Saudia ili tuwajengee kagaza kazuuuuuuri katamuuu kana maghorofa ya kunesanesa ,viwanja vikali , kagaza kama Paris vile ...