Ushawahi kuumwa homa za mara kwa mara, na kila unapokwenda hospitali kupima malaria, typhoid, UTI, n.k unaambiwa huna, unapewa dawa za kuondoa homa. Baada ya kipindi fulani unajikuta mwili...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
KUKEMEA VIKALI VITENDO VYA UVUNJIFU WA HAKI ZA BINADAMU KATIKA KATA YA NGENGE, WILAYA YA MULEBA MKOA WA KAGERA
Dar es Salaam 10, Februari 2025
Kituo cha Sheria na...
Zamani kabla ya Masaki kule Oysterbay kulikuwa Ndio Uzunguni na kulikuwa na Utulivu uliotukuka
Leo hii Dar es salaam yote inafanana na Sinza ile ya Shekilango road yaani kutoka Legho hadi Bamaga...
Habari za kwenu Wana jamii.....!!!
Katika pita pita kwenye mitandao ya kijamii nikakutana na habari hii yakusikitisha ila kilichonisikitisha zaidi ni taarifa ya habari hii kutolewa maamuzi ya...
Toka mfuko wa psssf uuangane 2019 hujawahi tangaza ajira lakini kila siku wanakuja wafanyakazi wapya ambao hawajafanya interview sehemu yeyote naomba kufahamu mfumo wa kuajiri upoje au kigeso ni...
✍️Mhadhara (79).
Kama ulikuwa hujui nakuibia hii siri, sikuhizi mashemeji wanatafunana sana. Wanaitana "shemeji" mbele yako, lakini hilo sio jina lao pindi wakikutana wawili.
Utafiti wa uongo...
Karibu kwenye huduma zetu za kitaalamu kwenye nyanja mbalimbali za biashara, ambapo tunakupa mwongozo kamili na urahisi wa kufanikisha mahitaji yako ya kibiashara. Kwa njia ya haraka na ya...
Haya yanayoanza kutokea sasa yalishatabiriwa na mwalimu Mwakasege na alitutaka Wana wa Mungu wa mbinguni tuwe tuyari kupokea msimu mpya
Trump anasema Hata UN ni Muhimili wa uovu tu Kwa sababu...
BUNGE limeazimia serikali kuondoa ruzuku kwa mashirika yanayojiendesha kibiashara ili yaweze kujiendesha kibiashara, kukidhi bajeti zao na kutoa gawio kwa serikali.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge...
SAFARI YANGU KWENYE BETTING!
Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale...
Kutoka kwenye mchoro hapa chini
Kwanini huyo jamaa anaonekana kutumia nguvu nyingi kwenye "a" kuliko "b" na "c"
Kwanini kwenye "b" anatumia nguvu kidogo kuliko "a" wakati kuna hizo disc mbili...
Hapa Kibaya wilayani Kiteto kuna trafiki anakamata sana pikipiki na hataki kutoa Control No, akidai kashalipia wewe mpe hela taslimu(Cash money) tu.
Haya si mazingira ya rushwa kabisa na akijidai...
Mkuu wa Wilaya ya Lindi VICTORIA MWANZIVA amezindua zoezi la utoaji wa mikopo ya asilimia 10 kwa vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu kwa halmashauri ya Mtama ikiwa ni fedha za...
KWA MUJIBU WA WANASAIKILOJIA, KUNA AINA NNE ZA AKILI
1) Intelligence Quotient (IQ)
2) Emotional Quotient (EQ)
3) Social Quotient (SQ)
4) Adversity Quotient (AQ)
1. Intelligence Quotient (IQ)...
Uki graduate chuo umepigana na vita dhidi ya
Ujinga sio umaskini
Mtaa unakusubiri_ bahati mbaya ni kuwa mtaa haujui kutofautisha kati ya msomi na ambaye hajasoma
Mtaa lazima umpitishe Kila mtu...
Poleni watanzania wenzangu kwa kifo cha Mpendwa wetu Hayati JPM, Apumzike kwa Amani.
Hakika kifo chake kimemgusa kila mtu, watu wote wa rika zote.
sijawahi kuona kiongozi analiliwa kama huyu...
Kufuatia uamuzi wa Rais wa Marekani Donald Trump ( Executive Orders) kuzuia fedha zote za misaada zilizokuwa zinatolewa na serikali ya Marekani kupitia baadhi ya taasisi zake ikiwemo taasisi ya...
Ndio maana hapo zamani watu walihitaji kuishia form 4 unaenda kupiga mzigo, vigezo vya elimu kubwa vinazdi kadri miaka inavyoenda lakini kazi nyingi zinahitaji training miezi 6 tu.
Mwanafunzi wa...
Nikikumbuka maisha niliyowahi kuyaishi siwezi kuja kumuombea hata adui umasikini, Ni hali inayoaibisha, kukunyanyasa, kushusha heshima, kukutesa, n.k.
Nimevaa sana mitumba ya kurusha, kiatu...