Wana board, Heshima kwenu!
wakati taifa likiwa kwenye msiba mkubwa, nami naungana na ndugu na jamaa katika majonzi na masikitiko ya kuondokewa na vijana wetu, Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema...
Na hii ndio taarifa yake
Habari ya asubuhi wana familia.
Sisi tunaumwa, nilipata ajali mbaya tarehe 5 October na ilionekana nimepata fracture kwenye mguu, siku tatu mbela ikaonekana nimepata...
Habari wana bodi.
Kutoka Vyanzo vya habari vya The guardian, Wanaandika yakua Rwandan troops wanakufa kwa wingi, wanasafirishwa na kuzikwa kwa siri sana hapo Rwanda.
Pia kinaeleza kua wazazi wa...
Wakala wa Usajili makampuni BRELA ni wakala wa serikali ambapo watu wanaofungua makampuni , majina ya biashara na alama ya Biashara ndio wahusika wakuu.
BRELA imehamia mirambo/ BOT na IFM kutoka...
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma imemfikisha mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma Mkuu wa chuo cha Taasisi ya Uhasibu Arusha (IAA), Prof. Eliamin Sedoyeka kwa tuhuma...
Mhandisi Leornard S. Kapongo aliyekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhibiti Ugavi wa Umma(PPRA) amefariki dunia
Alikuwa anapatiwa matibabu katika hospitali ya Agha Khan, amefariki Julai 17...
Habari wakuu.
Asee hii game ya Maisha ni hatari sana, ukifanya hivi maisha yanakwambia achana na hizo mambo.
Unajiuliza hivi Mimi nimezaliwa kusindikiza wenzangu katika hii zawadi ya Dunia...
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025...
Shule nyingi za Msingi na hata Sekondari zimejitengenezea utaratibu wa kuwafanyisha mitihani wanafunzi hasa walio katika mwaka wa mitihani ya Taifa kama Darasa la Nne, Saba, kidato cha pili na...
Kwema wakuu?
Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu.
Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu?
Kwa maana nyingine naulizia duka...
Habari JamiiForums.
Naomba msaada, mimi ni mgeni katika kijiji fulani, wilayani Magu Mkoa wa Mwanza. Katika kijiji hiki kuna utaratibu kwa wageni wanaoingia kuishi kama wapangaji kulipa fedha za...
Hii hadithi ni very filthy.
Nimeiona YouTube sasa hivi.
Apparently imetokea last week.
Huyu mdada anasimulia,wamekutana na huyu jamaa tik tok,baada ya urafiki wa miezii minne wamefunga ndoa .
Sasa...
Ndugu wadau habari za muda huu. Ukifika mwanza sekour tour wenyewe wanakuita seketule 😂 utakutana na Halmashauri ya jiji la mwanza wale jamaa kwa kweli wako vizuri sana.
Wanafanya kazi ipasavyo...
Ni matumaini yangu mko poa ndugu zangu wana jf and happy independence day ndugu zangu watanzania. Majobless endeleeni kupambana mechi bado halftime, mahustlers endeleeni kusaka tonge hakuna kukata...
Habari wakuu!
Nikama wiki mbili zimepita nilipata depression, frastruation na kukata tamaa kabisa kwenye Maisha, Hali iliyopelekea kutaka kunywa pombe kuvuta bangi nikiamini ntakuwa sawa...
Mimi sio mwandishi mzuri ila kwa kweli inasikitisha sana nimepita mara kadhaa daraja hili lililopo mkoani Lindi barabara kuu ya Dar-Lindi, linamaliza ndugu zetu wa malori.
Ukitokea Lindi ni km...
Mamlaka ya hali ya hewa ingieni ofsi
Mmekuwa mkifanya utabiri ukienda kinyume mara kadhaa
Mlitabiri mvua kubwa mwezi February ila Sasa joto ni kali
Huku Kanda ya ziwa jua ni kali mno, Joto kama...
KWA WALE MSIOIJUA TANZANIA VIZURI SOMENI KWA MAKINI UTAJIRI WA TANZANIA HALAFU JIULIZE KWANINI NI MASIKINI WA MWISHO NA MALI ZOTE HIZI
1.Tz ilipata uhuru mwaka 1961 ina miaka 54 tangu ipate uhuru...