Yaani JamiiForums ofisi zenu kwanini mnazificha na hamuziweki bayana? Utasikia mara kwa Warioba Mikocheni, Mara Kawe Tripple Seven, Mara Msasani Mokoroshoni.
Mbona hivyo? Mnajificha nini?
Orodha hii hapa.
Kongowe, hapa ni mpakani mwa Dar na Pwani, kuna movement kubwa sana ya watu, magari mengi na junction ya kutoka Kigamboni kwenda Mkuranga au Mbagala.
Mwandege hapa iliwekwa...
Habari za jioni jamii forum
Kazi ni maisha,kila hatua na kila siku tunahitaji ubunifu mpya kwenye mishe zetu ikiwa ni njia ya kujikwamua na kuuacha umaskini haswa Kwa sisi watu wa kipato cha...
Serikali ya Tanzania imetangaza kufanya sensa ya uzalishaji viwandani kuanzia Machi hadi Juni 2025, ikiwa ni mara ya kwanza kwa sensa kama hiyo kufanyika kwa wakati mmoja Tanzania Bara na...
Mwigizaji Olivia Hussey maarufu kama Juliet , aliyepata umaarufu kupitia filamu ya Romeo and Juliet ya mwaka 1968, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 73.
Mwigizaji huyo ambaye amewahi kuuvaa...
Jana nimerudi nimechoka nikafikia kujitupa tu kwenye kiti hakukuwa na mtu sebuleni ila TV ilikuwa inaonesha chaneli ya Azam 2
Macho yangu yakaona kipande kimoja kwenye tamthilia ya kituruki bila...
Kimbia kajifunze ufundi wa ku-design gypsum boards, tv show case outlook, outlook ya kisasa ya maduka na interior design nyingine kwa pamoja.
Kimbia kajifunze mji ulivyo, zunguka utafute nyumba...
Bar fulani pale Kinyerezi nilipita kupata moja moto
Baada ya kumaliza wallah sijalewa kivile, ilikuwa mifuko ya nyuma ya jeans yangu imelegea ikadondoka pale kwenye tent la tasker kuna kigiza...
Nimepita kwenye mitandao nikakutana na Taarifa ya Msiba wa SACP Beatus Silla ambaye mauti imemkuta akiwa MOI hapo jijini Dar. Kilichonifikirisha ni aina au namna watu/ wachangiaji wengi...
Dereva bodaboda anayefahamika kwa jina la Dickson Chacha(24), aliyekuwa mkazi wa Mtaa wa Machimbo kata ya Kipunguni jijini Dar es Salaam, amefariki dunia kwa kupigwa akidaiwa kuiba mayai matatu...
Hivi viongozi wa Afrika mna akili au matope ya kupenda sifa,
Hao mnaowaita wawekezaji nyie wenyewe ndo mmewapa utajiri, ila kuwapa waafrika wenzenu mnaona uvivu, hivi hizi akili mnazitoa wapi...
Mvumbuzi wa Zimbabwe Awasilisha Gari la Umeme Linalojiendesha Bila Kuchaji: Mapinduzi Katika Teknolojia ya Magari
Mvumbuzi wa Zimbabwe, Maxwell Chikumbutso, ameunda gari la kwanza la umeme...
Hii timu inaitwa kubwa lakini naona Haina mashabiki au ukubwa wao ni upi kama makombe hawabebi aisee naishindwa kuelewa maana hata top 4 imekua shida kwao kuipata halafu inaitwa timu kubwa
Tabia ya watanzania kupuuza mambo ya msingi huwafanya watu wrngine wajione wanamamlaka ya kufanya kila kitu.
Ninapoona mwenye mamlaka anayatumia vibaya ndipo huwa nakumbuka faida za ushirikina...
Badala ya kubana matumizi/ kuondoa matumizi mabaya wakati huu ambao misaada imesitishwa mathalani sekta ya afya kutoka USAID fedha kama hizi zingesaidia kuziba gaps zinanunuliwa CCTV camera ambazo...
Leo naingia bila salamu! " What goes around comes around"
Mungu amekasilika sana Juu ya mambo yanayoendelea Tanzania.
Wanasiasa mnalingiza taifa kwenye laana, hiyo mipango yenu mibaya juu" kiti...
Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kubadilisha umiliki wa chombo cha moto
1: Kadi ya usajili wa chombo cha moto iliyosainiwa na muuzaji na mnunuzi
2: Mkataba wa kisheria wa mauziano na risiti ya...