Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mmiliki wa mabasi ya Kirumo Charo na Katibu Mkuu wa chama cha wamiliki wa mabasi TABOA, Ndg. Enea Mrutu ambaye pia ni diwani wa kata ya Shighatini CCM wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro, amefariki...
9 Reactions
131 Replies
21K Views
TAARIFA YA MSIBA WA SHEIKH SULEIMAN AMRAN KILEMILE INNAA LILLAAHI WA INNAA ILAYHI RAAJI'UN Kwa huzuni na masikitiko makubwa tumepokea taarifa za kufariki dunia Mwanachuoni Mkubwa wa Tanzania na...
25 Reactions
145 Replies
20K Views
Taarifa Mkurugenzi wa Kashai Group companies ya jijini Arusha. Kashai Security. Kashai Games Loliondo, Mwenye vitalu vya uwindaji Loliondo Bwana Kashai amefariki mapema Leo. Hakika kwake...
5 Reactions
25 Replies
7K Views
Wakuu, taarifa mbaya za sasa ni kuwa mpiga picha wa Gazeti la Mwananchi, Mzee Omary Fungo amefariki leo asubuhi katika hospitali ya Malawi iliyopo Kiwalani Jijini Dar es Salaam. Taratibu za...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Nimemjua Abdulkarim maarufu kwa jina la Bujji kwa kumsikia kwa muda mrefu kabla ya kukutananae uso kwa macho na sababu ya kumsikia kwa muda mrefu ni kuwa nilikuwa nikifuatilia siasa za Mafia...
9 Reactions
27 Replies
6K Views
Tunapokwenda Kanisani naomba tuiombee Roho ya ndugu yetu na rafiki wetu mpendwa Judge Projest Rugazia. Ameaga dunia. Mwenyezi Mungu aitakase Roho yake ampe uzima wa milele. Ni majonzi makubwa...
4 Reactions
64 Replies
11K Views
Aliyewahi kuwa muimbaji wa bendi ya ToT Rukia Juma ambae pia ni mama mzazi wa Isha Ramadhan (Isha Mashauzi) afariki Dunia , Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema. ===== Mmiliki na...
2 Reactions
36 Replies
12K Views
Kwa maskitiko makubwa nimepokea taarifa ya kufariki kwa Mzee wetu Maarufu sana kwa Miji ya Moshi na Tanga miaka ya 1960es mpaka 1990es kwa biashara mbali mbali kilichotokea leo nyumbani kwake kwa...
4 Reactions
48 Replies
8K Views
  • Closed
Teddy Mwanambilimbi enzi za uhai wake Wapenzi wa Sanaa kama mnamjua mtu social Kaka yetu Teddy Mwanambilimbi kaka yake Deo Mwanambilimbi ametutoka na hatunaye tena. Bwana ametoa Bwana ametwa...
11 Reactions
293 Replies
43K Views
Yule Mzee Mkongwe na Gwiji la siasa l za Tanzania Mzee Sozigwa amefariki Dunia. Sozigwa alikuwa amelazwa katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Mtoto wa Mzee Sozigwa, Mchungaji Moses...
6 Reactions
152 Replies
26K Views
PROFESA MAVURA AFARIKI DUNIA NDANI YA NDEGE Mkurugenzi wa Chuo Kikuu cha Jomo Kenyatta cha Arusha (JKUAT), Profesa Ward Mavura amefariki dunia leo wakati akiwa kwenye ndege aliyokuwa akisafiria...
9 Reactions
86 Replies
20K Views
Mtoto wa mh. Juma Mwapachu, Harith, amefariki ghafla leo alfajiri. Inna lillahi wa inna illaihi raj'un
0 Reactions
102 Replies
28K Views
It is with sadness, I found about the passing of Fr. Joseph Bill, a friend and confidant for many years back. Nilimfahamu kwa karibu na kwake nilijifunza mengi. Baadhi ya jinsi nilivyo sasa ni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Back
Top Bottom