Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma anasikitika kutangaza kifo cha Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Tabora Mhe. Salvatory Bongole aliyefariki Dunia jana saa 5...
Aliyewahi kuwa Vice Chancellor wa Chuo kikuu Huria cha Tanzania Prof T Mbwette alifariki dunia jana jioni katika hospitali ya Aghakan.
Prof Mbwette alikuwa mwanataaluma mahiri katika fani ya...
Ni nani mtunzi wa wimbo wa EAC?
PICHANI: Mwl. Samson Kibaso enzi za uhai wake.
Kuanzia 1999 hadi 2010 EAC ilikua ikitafuta wimbo rasmi wa Jumuiya hiyo. Aliyekua Katibu mkuu, Balozi Juma...
Mmiliki wa mabasi ya Sahara, Abdalah Msangi (47) na mkazi wa Usangi mkoani Kilimanjaro amekutwa amefariki dunia kwenye moja ya chumba cha wageni mtaa wa Dar es Salaam mjini Moshi.
Wakazi wa...
Sherehe ya mwisho ya bibi Susana Benjamin Mmary imefanyika nyumbani kwake huko Old Moshi Kidia, baada ya BWANA kumuita akiwa na umri wa miaka 131. Ni bahati mbaya kwamba taasisi zinazotunza rekodi...
Habari zilizotufikia muda huu mchezaji wa zamani wa team za Taifa, Pan Africa, Yanga, Lawrence Mwalusako amefariki alfajiri hii katika Hospital ya Taifa ya Muhimbili
====
Alikuwa beki shupavu...
Mzee Msegu wa Morogoro amefariki dunia leo. Alikuwa baba yao kina Elia Msegu na Andrew Msegu. Pia kipindi cha uhai wake alikuwa mchungaji. Sababu ya kifo aijatajwa
Kamanda wa Polisi Wilaya ya Ukerewe, Masoud Mohamed amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya hoteli.
Afande Masoud alijizolea umaarufu katika mitandao ya kijamii kwa usomaji wa Quran.
Taarifa zaidi...
MAFUMU BILAL HATUNAYE TENA
Gwiji wa Saxophone na mwimbaji mkongwe wa muziki wa dansi hapa nchini, Mafumu Bilal Bombenga amefariki dunia usiku huu.
Mafumu aliyetamba na bendi kadhaa zikiwemo...
Familia Ya Marehemu Edward Moringe Sokoine, Inasikitika Kutangaza Msiba wa Lazaro Edward Sokoine Kilichotokea Leo Alfajiri 28/03/2020 Jijini Dar Es Salaam.
Mwili Wa Marehemu Unatarajiwa...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Ulinzi, Usalama wa Vyombo vya Majini na...
Aliyekuwa mpiga kinanda nguli wa Kikundi cha CCM cha Tanzania One Theatre (TOT) au TOT Plus Juma Jerry au Mzee wa Mbezi ( dunia (Pichani) amefariki
Akithibitisha kifo hicho Mkurugenzi wa TOT...
Ni ndugu yetu Innocent Flex ametwaliwa na Bwana usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake Chalinze. Mpaka jana jioni alikuwa mzima wa afya lakini usiku akapata maumivu makali ya kichwa na kubanwa pumzi...
Kaimu Mkurugenzi wa kampuni inayoshughulikia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KADCO) Mhandisi Christopher Ande Mukoma amefariki dunia mapema asubuhi ya leo.
Taarifa kutoka kwa Uongozi...
Kutoka kwenye titteer ya Balozi Khamis Kagasheki ni kuwa huyu gwiji wa kutafsiri msaafu kwa lugha kadhaa za kimataifa ametangulia mbele ya haki.
Balozi ameandika "Nimepokea habari za kifo cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.