Mtendaji Mkuu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka - DART Mhandisi Ronald Lwakatare anasikitika kutangaza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Idara ya ya Maendeleo ya Usafirishaji Mhandisi Charles Salus...
Salaam
Kwa majonzi makubwa, nimesikitika kupokea kifo cha Mmiliki wa Vituo vya Mafuta vya Ngara Oil.
Ameugua kwa Muda mfupi, leo kakodi ndege kwenda Dar kwa Matibabu zaidi, kifo kikamkuta huko...
Inafahamishwa kutokea Kahama kuwa, mchungaji John Mang'welela wa kanisa la Sabato huko amefariki dunia leo.
Taarifa zaidi ni hii hapa kama ilivyotolewa:
----------
"Kwa niaba ya Mwenyekiti wa...
PATRICK KISEMBO amefariki dunia Februari 8, 2021 katika Hospitali ya rufaa ya Kibaha.
Kisambo amefanya kazi na vyombo kadhaa ikiwemo, The Citizen, The guardian hadi kufikia kuwa Mhariri.
===
In...
Habari wanajukwaa,
Shule kongwe ya ufundi ya Bwiru boys imepoteza mwalimu wake mkuu, mwalimu Elias Kaboja.
Taarifa zinadai Mwalimu Kaboja alienda kumsalimu mwalimu wake hospitali ya Bugando na...
Nimepata habari kuwa Profesa Simon Mbilinyi amefariki dunia hospitali ya Agakhan. Marehemu aliwahi kuwa Waziri enzi za Mkapa kisha akajiuzulu.
Amewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho na pia...
Inasikitisha na kuhuzunisha sana kwa kifo chake. Ametutoka mapema leo 07/12/2020 katika hospitali ya Mount Meru Arusha. Taarifa zaidi kuhusu chanzo cha kifo chake zitakujia hivi karibuni...
Msiba wa Imam na mwanazuoni mkubwa mwenyezi Mungu amlipe kheri.
--------
Bismillahi rahmani Rahim.
Ratiba ya mazishi ya marhum Sheikh Ahmad Haidary Mwinyimvua
Kesho tarahe 20/01/2021 Shughuli...
Tanzia, Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wa MOI Dkt Paul Gasper Marealle (Daktari bingwa wa Mifupa) kilichotokea usiku wa kumakia tarehe...
Mchungaji Owdencalm Mpayo amefariki dunia alasiri ya leo katika hospital ya Rufaa Mbeya alikokuwa amelazwa kwa ajili ya matibu.
Wakati wa uhai wake, Mchungaji Owdencalm Mpayo aliwahi kuhudumu...
Tunatoa pole nyingi kwa familia
===
Uongozi wa Azam Media Limited, unasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi wake Thamra Kassim, kilichotokea mapema leo Dar Es Salaam.Inna Lillahi wa inna...
Aliye kuwa afisa elimu Wilaya ya Magu na baadae kuhamishiwa Dodoma makao makuu ndg Jesse Kaanyuma amefariki jioni hii katika hospitali ya taifa Muhimbili.
Ni taarifa zilizodhibitika kutoka kwa...
Mkurugenzi Mkuu Dkt. Ayub Rioba anasikitika kutangaza kifo cha mfanyakazi mwenzetu, Mwandishi wa Habari Elisha Elia, kilichotokea tarehe 24/10/2020 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, alikokuwa...
Prof. Peter Msaki wa Nuclear physics amefariki dunia jana mchana.
Kwa wale waliopitia Physics department Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam wanamjua jinsi alivyokuwa nguli wa fani hiyo
Katibu Mtendaji BASATA bwana Godfrey Mungereza amefariki dunia leo.
Katibu mkuu Wizara ya Habari, Tamaduni na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbas amethibisha habari hii...
Mama mzazi wa Mkuu wa wilaya Jerry Muro amefariki dunia ,mama Ankunda Muro amefariki usiku wa kuamkia leo 24.1.2021 katika hospitali ya Taifa Muhimbili
Poleni mkuu Jerry Muro kwa msiba mzito
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.