Mkuu wa Shirika la Mapadre wa Roho Mtakatifu, anasikitika kutangaza kifo cha Padre Josaphat Kilawila, CSSp, kilichotokea Jana tarehe 23 Machi 2021 Saa 2:30 Usiku!
Mungu amjalie pumziko la Amani...
Habari kwenu ndugu zangu.
Aliyekuwa mkuu wa Idara ya Uchumi wa Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam amefariki Dunia mapema leo.
Dkt. Mtengwa alifariki katika hospital ya Muhimbili...
Msimamizi wa Jimbo Katoliki Tanga, Pd. Thomas Kiangio, anasikitika kutangaza kifo cha Pd. Richard J. Mshami, kilichotokea tarehe 10/03/2021 katika Hospitali ya Rugambwa huko Dar es Salaam...
Baba Mzazi wa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo @jokatemwegelo , Mzee Urban Costa Ndunguru amefariki Dunia Alfajiri ya leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa amelazwa (ICU) kwa...
Uongozi wa Chuo Kikuu Ardhi umetangaza msiba wa Mhadhiri wake katika skuli ya Earth Sciences, Real Estate, Business and Informatics (SERBI), Dkt. Job Asheri Chaula kilichotokea leo katika...
Chama cha mawakili Tanganyika (TLS) kimepata pigo baada ya aliyekuwa mwanachama cha Chama hicho wakili Loomu Ojare kufariki dunia ghafla akiwa kazini.
Ojare alifariki dunia na kuzikwa nyumbanj...
Fred Jim Mdoe mwandishi wa habari nguli aliyewahi kufanya kazi BBC amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kiharusi.
Fred Mdoe enzi za uhai wake
RIP Mdoe
Zaw Myat Linn ni kiongozi wa pili wa chama cha National League for Democracy (NLD) kufariki akiwa mikononi mwa polisi. Wanasisa wanadai kuwa alipigwa sana baada ya kukamatwa siku ya Jumanne...
Mhashamu Askofu Ludovick Minde wa Jimbo la Moshi anasikitika kuwajulisha kwamba usiku wa kuamkia leo Jumapili tarehe 7 Machi 2021, Jimbo Katoliki la Moshi limepata msiba mwingine wa kuondokewa na...
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa...
Mhashamu Baba Askofu Ludovick Joseph Minde wa Jimbo Katoliki La Moshi anatangaza kifo cha Mh. Padre Bonaventura Kisamaka kilichotokea Leo Jumatano 03/03/2021 katika hospitali ya Mt. Joseph Soweto...
TANZIA.
Shirika la Watawa wa Mtakatifu Benedicto Abasia ya Ndanda, iliyopo Jimbo katoliki Mtwara, wanatangaza kifo cha Baba Abate wa Abasia ya Ndanda Padre Plasidius Mtunguja OSB, kilichotokea...
Maneno haya hapa Ni kutoka kwenye fb page ya Askofu Kilaini.
Kwaheri Fr. Wilfrid Dinho. Pole sana Baba Ruzoka na wana Tabora ndugu na jamaa. . Huyu Fr. Dinho ni mmojawapo wa classmates wangu...
R.I.P Wakili Msomi Judith Mushumbusi
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani tukaonane tena katika asubuhi ile iliyo njema na Kuu.
NOTE: Tuendelee...
Uongozi wa Shirika la Mapadri wa ALCP/OSS-Kanda ya Afrika, wanatangaza kifo cha mpendwa Padre BENEDICT NDEYEKIYO kilichotokea Mwananyamala Jimbo Kuu Dar Es Salaam leo 26.01.2021 asubuhi.
Taarifa...
Dr Abraham Katesigwa wa Tumaini Health Center, katika mji mdogo wa RULENGE NGARA alifariki dunia Jana tarehe 01/03/2021 katika Hospital ya mission RULENGE tatizo lililopelekea kifo chake ni kuugua...
Katibu mkuu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) yenye makao yake makuu mjini Moshi, Arthur Shoo amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC alikokuwa...
Familia ya Jaji Samuel Victor Gibson Karua Kwa masikitiko makubwa inawatangazia ndugu, jamaa na marafiki, Kifo cha mpendwa wao Jaji Samuel Victor Gibson Karua kilichotokea leo tarehe 26/02/2021...
Balozi Richard Mariki amefariki Jumapili iliyopita.
Amesumbuliwa na changamoto ya kupumua kwa muda mfupi.
Anakumbukwa kwa ustaarabu wake na alikuwa muumini pale Mbezi Beach KKKT.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.