Ni huzuni kubwa hapa dodoma mtu wa watu Mr Frank Malecela dreva wa RAS-Dom hatunae Tena amefariki taarifa zinasema Jana alikuwa ofsini baadae akawa anajisikia vibaya hv usiku hali ikawa mbaya...
Profesa wa Chuo Kikuu cha Mzumbe, George Shumbusho amefariki dunia leo Jumatano Februari 24, 2021 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) jijini Dar es Salaam alikokuwa akipatiwa matibabu...
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Enock Yakobo amefariki dunia leo Jumanne Februari 23, 2020. Katibu mwenezi CCM mkoani humo, Mayunga George amethibitisha.
Chanzo: Mwananchi
Habari za Jumapili wapendwa?
Kwa tunaomfahamu Profesa Mamiro wa SUA amefariki
Pia soma > TANZIA - Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro)...
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter...
Chadema inatangaza msiba wa mama mzazi wa Tuly Nasa aliyekuwa kada wa Chadema ambaye kwa sasa ni marehemu aliyezikwa wiki iliyopita. Msiba umetokea leo alfajiri.
Wiki iliyopita mama huyo alikuwa...
Kwa masikitiko, tena makubwa, nimepata habari za kifo cha Manager wa TANROADS mkoa wa Dar es Salaam, Mhandisi Ngussa.
Alikuwa rafiki yangu zaidi ya miaka 20. Kwa kweli nimeumia.
Nimeongea naye...
Waziri wa zamani katika serikali ya awamu ya nne, Profesa Mark Mwandosya ametangaza kifo cha baba yake mdogo, Agen Mwandosya kilichotokana na kile alichokiita kuwa ni “changamoto ya kupumua”...
MKE wa Balozi Mstaafu, Balozi Christopher Celestine LIUNDI, Bibi Rahma Simbaliundi, amefariji jana jioni jijini Dar es Salaam.
Mama Liundi amefariki akipata matibabu katika Hospitali ya Chuo...
Tunatoa pole kwa familia
Moshi. Mwandishi wa habari wa redio Moshi FM, Deogratius Kessy (26) amefariki dunia katika ajali baada ya gari alilokuwa amepanda kuacha njia na kugonga bajaji.
Kessy...
Padri Shewiyo alikua kanisa ka Msimbazi. Amefariki mchana huu hapa Bochi Hospitali .
====
TANZIA: Mkuu wa Shirika la Ndugu Wafransisko Wakapuchini Tanzania, Padre, Kalist Tesha, anatangaza...
Leo nimestushwa na habari hizi mbaya za kufariki huyu mtumishi mmoja wa waanzilishi wa huduma pale Amana Vijana Centre kwa kweli kasi ya vifo inatisha ndugu zangu.
Mwanazuoni nguli Profesa James Lwelamira amefariki dunia leo asubuhi ktk hospital ya Benjamin Mkapa mkoani Dodoma ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.
Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
Kwa masikitiko makubwa sana Ndugu yetu Wakili Msomi Geofrey Noah amefariki dunia leo hii jijini Arusha kwa tatizo la upumuaji.
Mwanga wa milele amuangazie apumzike kwa amani. Amina.
Wakili...
Naibu Kamishna wa Magereza, Julius Sang'udi amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma leo Januari 20, 2021, Mkuu wa Jeshi hilo Meja Jenerali Suleiman Mzee amethibitisha.
Ni huzuni
Ni majonzi
Mpendwa wetu ametutoka akipatiwa matibabu Hospitali Mugana wilayani Misenyi
Mtumishi huyu wa Bwana amehitimisha safari yake ya Utume katika Parokia ya Mtakatifu Yohana Maria...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.