Oh! Prudence Karugendo amefariki Dunia.
Nimepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mwanafamilia mwenzangu kwenye tasnia ya habari. Nilimfahamu Prudence hususani kwenye kazi yetu ya uandishi wa...
R.I.P the Former Chaneta Chairperson!!
Tahadhari kwa Filbert Bayi Schools.
Mkurugenzi huyu alikuwa chachu kubwa ya maendeleo ya Filbert Bayi.
Mwenyekiti wa zamani wa CHANETA Anna Bayi, ambaye...
Aliyewahi kuwa Mtangazaji wa SAHARA MEDIA Mwal Charles Katoma Amefariki Dunia. Mpaka anafikwa na umauti Mwalimu Katoma alikuwa mwalimu mkuu Msaidizi wa Shule ya Sekondari Lake iliyoko jijini...
Wapendwa katika imani tumsifu Yesu kristo.
Father Baptist Mapunda wa Kanisa Katoliki Parokia ya bikra Maria Usagara Jimbo Kuu la Mwanza amefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea huko...
Taarifa ndio hiyo, Sister V aliyekuwa mtangazaji wa Radio Uhuru, mtoto wa Kiongizi Mkongwe hapa nchini Chrisant Majiyatanga Mzindakaya, amefariki. Tulikuwa nae Taifa juzi kwenye mechi ya Yanga na...
Wapendwa wana JF, mwenzetu Saint Anne, amefiwa na baba yake leo. Ninaomba tu kila mmoja wetu kwa Imani yake; amuweke Anne na familia nzima kwenye maombi. Mungu akawafariji, akawatie nguvu na...
Mwanamuziki mkongwe Ismail Issa Michuzi amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar alikokuwa akitibiwa maradhi ya tumbo.
Ismail, ambaye ni kaka yake mpiga picha...
Muuza magari maarufu jijini Dar es Salaam, Akachube afariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Ndugu wa karibu wamesema amefariki kwa ugonjwa wa Nimonia.
Umaarufu wake ulipelekea mpaka kupewa barabara...
Habari wana jukwaa. Nasikitika kutangaza kifo cha member mwenzetu kwa jina Ramaa Tech. Kijana aliyekuwa anajishughulisha na mambo ya graphics designing amefarika jana kwa ajali ya pikipiki...
Mzee Shareef Al Ahdal ambaye ni Baba Mzazi wa Sheikh Nudreen Kishk na Shareef Abdurgadil Al Andal amefariki majira ya saa sita mchana Wilayani Temeke
Mazishi yake ni leo baada ya alasiri na...
Mama SABETHA JOHN MWAMBENJA amefariki katika hospitali ya Aga Khan alikokuwa akioatiwa matibabu.
Mama Mwambenja alipata kuongozana taasisi mbalimbali za kifedha ikiwemo benki ya Exim, na benki...
Rais mstaafu Jakaya Kikwete anatangaza msiba wa kaka yake ndugu Khalifan Seleman Kikwete uliotokea leo asubuhi. Msiba upo Msasani kwa Rais huyo mstaafu.
--
TANZIA
Innalilahi Wainnaillaih Rajiuun...
Director of Ops mstaafu wa Air Tanzania Captain, Narzis Mapunda jana asubuhi tarehe 23/05/2021. RIP Capt. Mapunda.
=====
Mwaka 2019 Kapteni Mapunda ambae ni rubani mstaafu alitunukiwa tuzo na...
Habarini Wadau
Tunasikitika sana Kuleta Tangazo la Kifo cha Ajali ya Gari iliyotokea leo Iguguno shamba high way ya Singida Mwanza.
Mr. Adam Msangi aliekuwa mratibu wa Tasaf Wilaya ya Iramba...
Jamii Media Limited inasikitika kutangaza kuondokewa na mmoja wa wafanyakazi wake, Mwandishi Mkuu wa FikraPevu.com, Dotto J. Mnzava aliyefariki leo, Disemba 14, 2015 kufuatia ajali iliyohusisha...
Mfanyabiashara Haroon Zakaria amefariki hii leo. Anamiliki makampuni kadhaa ikiwemo Murzah Oil mills, Zan fast ferries , majipoa Nk.
Mwenyezi Mungu ailaze mahela pema peponi roho yake.
Msiba mkubwa wa kumpoteza Sheikh Salum Mahami akiongoza Mkoa wa Singida aliyetutoka leo Alhamisi Aprili 15, 2021
Tunatoa pole kwa wafiwa wote
Bwana ametoa & Bwana ametwaa & Jina lake lihimidiwe...
Mama mzazi wa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro, Monica Nyabyamari amefariki dunia usiku wa kuamkia leo April 10, 2021 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa anapatiwa...
Naleta hapa Tangazo la Kifo cha Msgr Mbiku kama lilivyotolewa na Askofu Mkuu wa Dar es Salaam.
Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo.
Kwa masikitiko makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.