Alikuwa Mwandishi Mwandamizi Radio Free Africa na Star TV.
Amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo tarehe 6 Oktoba baada ya kuugua kwa muda Mfupi nyumbani kwake Mjini Bunda- Mkoa wa Mara.
Professor Frank Chiteji amefariki dunia. Tumetoka mbali pamoja.
Nilifahamiana naye kwa miaka mingi sana tangu mwishoni mwa miaka ya sabini alipokuwa mwanafunzi Michigan State University pamoja...
Mwandishi wa Habari wa Azam TV Mkoani Kagera Nicolaus Mac Ngaiza amefariki dunia huku mwandishi wa Habari wa Clouds TV akijeruhiwa usiku wa kuamkia leo baada ya kupata ajali ya gari eneo la...
Kwa taarifa niliyoisikia muda si mrefu ni kuwa:
Yule aliyekuwa mtabe aliyekabidhiwa utabe wa physics pale Mchikichini, MUDY PHYSICS AU COMMISSIONER.
Amefariki dunia jioni hii. Tumuombeeni...
Kwa ambaye anamfahamu SSGT Ruta alikuwa Msata amejiua kwenye kaburi la mke wake ambaye alifariki siku ya Jumamosi huko Kilakala kaacha ujumbe kuwa alikuwa anampenda mke wake.
========
Dar es...
Tuliowahi Kusoma Kibaha Boys, wale Wa Kibaha Girls, na Tumbi Sekondari Watakuwa Wanamkumbuka Mkuu Wa Shule Ya Wasichana Kibaha na Pia Mkuu Wa Shule Ya Sekondari Tumbi.
Mwl.Prosscovier K. Luhaga...
Medani ya soka nchini imepata pigo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Alhaji Muhidin Ndolanga kilichotokea leo jioni Dar es Salaam
Ofisa habari wa TFF...
Mwendazake huyo akienda hudhuria harusi ya mtoto wake na kupatwa na ajali hiyo mbaya usiku wa kuamkia Desemba 20,2020 maeneo ya Afrikana Jijini Dar es Salaam.
Bwana Harusi aendaye kwa jina la Tom...
Habari nilizozipata muda huu ni kwamba Mathias Manga, bilionea wa jiji la Arusha amefariki dunia.
Mfanyabiashara wa Arusha Mathias Manga, mmiliki wa Gold Crest Mwanza na Arusha, amefariki akiwa...
Tumepambana ila yeye (Mungu) kaamua yake simlaumu ila nina maswali mengi sana. Why now?
I lost my mother 4th February this year and today is 4th
I'm puzzled ila Ndio naanza uyatima leo
Now I...
Tumaini Kakuyu Mlewa alikuwa ndiye mtu wa Kwanza kuwa na kampuni professional ya usafi akichukua tenda kwenye ofisi za makampuni mbalimbali, mahospitali viwanda nk kupitia kampuni yake ya Fame...
Habari wana JF ni matumaini yangu mu wazima, nimekuwa kimya kwa muda kidogo kwasababu za kimaisha lakini zaidi kumuuguza baba.
Hatimae Mungu ameamua kumpumzisha, mazishi yatafanyika leo...
Apumzike kwa amani
Lakini kwa vile kufanya kazi ya Chadema ni sawa na kutenda kazi ya Mungu , tunaamini Mwenyezi Mungu ataipokea roho yake mahali pema peponi , Amina .
Mhashamu Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 18/08/2021 saa 10.30 jioni hii mpendwa wetu PADRE PAUL HAULE ameitwa nyumbani...
Dkt. Hassan Doulla, ambaye ni Daktari Bingwa wa magonjwa ya watoto amefariki dunia. Kwa wale wazazi wenzangu wakaazi wa Dar es Salaam bila shaka mlipata kufika au kushauriwa kufika kwenye...
Usiku wa leo nilipokea taarifa za kusikitisha kuhusu mwanachama ip_mob amefariki dunia.
Kwa ufupi ni kwamba alikutwa amefariki akiwa nyumbani kwake alipopanga, tumuombe pumziko la milele huko...
Aliyewahi kuwa Mtangazaji maarufu wa Radio free Afrika na Star Tv, Juma Ahmed Baragaza amefariki dunia leo Agosti 7.
Atakumbukwa zaidi katika vipindi mbali mbali alivyojipatia umaarufu ikiwemo...
Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.
Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.
Hakika wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.