Mwanamuziki aliyewahi kuimba kwenye bendi ya Chuchu sound na TOT Plus, Waziri Sonyo ameaga dunia jana tarehe 23 Februari saa moja usiku maeneo ya Kibaha.
Chanzo cha kifo hakijawekwa wazi ingawa...
Poleni sana wafiwa, Poleni sana Watanzania popote mlipo, Poleni sana Tanzania Diaspora wa USA. sote tunyayue sauti kulaani kitendo hiki.
USA wanajulikana kwa ubaguzi wao kwa watu weusi, huyu...
Askofu mstaafu wa kanisa katoliki Jimbo la Njombe, Raymond Mwanyika amefariki dunia jana mkoani Njombe.
Askofu Mwanyika alizaliwa mwaka 1930 huko kijiji cha Uwemba-Njombe,baada ya makuzi na...
Sophia Nyerere, ambaye ni Mjukuu wa Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere, amefariki dunia leo Jumanne katika Hospitali ya Mzena mkoani Dar es Salaam, alipokuwa amelazwa kwa ajili ya...
Mtoto mchanga aliyeachwa na marehemu Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Irene Ndyamkama amefariki dunia jana Aprili 30, 2022.
Mtoto huyo amefariki baada ya kuishi kwa siku saba tangu kuzaliwa...
Profesa Mayo ambaye ni mmiliki wa shule ya sekondari Alpha iliyopo mikocheni B afariki dunia usiku huu katika hospitali ya TMJ.
Taarifa zaidi zitafika kadri nitakavyozipokea.
Bwana ametoa na...
Kwa masikitiko makubwa, muimbaji maarufu na mkongwe wa nyimbo za injili kwa lugha ya Kimaasai, Ole Pakuo amefariki dunia.
Ole Pakuo amefariki dunia leo mchana wa Tar 28-01-2022 katika hospital ya...
IGP Simon Nyakoro Sirro ametangaza msiba wa Ex. SACP. Jacob Mwaruanda uliotokea jana Februari 15, 2022 katika Hositali ya Benjamini Mkapa, Dodoma alikokuwa akipatiwa matibabu.
Sirro ameeleza...
Habari Wote.
Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka anasikitika kutangaza kifo cha Prof. Honest Ngowi na Dereva wake, waliofariki asubuhi ya leo kwa ajali ya gari wakiwa njiani kuja Kampasi...
Mke wa mzee Augustine Lyatonga Mrema amefariki dunia ktk hospitali ya Muhimbili alipokuwa akipatiwa matibabu ya shinikizo la damu.
---
Mwenyekiti wa TLP, Augustino Mrema amepatwa na msiba wa...
Aliyekuwa Naibu Makamu Mkuu Mipango, Fedha na Utawala katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya, Profesa Justinian Anatory amefariki dunia.
Profesa Anatory ameacha alama zake za...
Ndugu Yetu Ndikwega amefariki juzi tarehe 21/02/2022 Jumatatu asubuhi eneo la Igawa. Amefariki kwa ajali akitoka Mbeya Kwenda kituo chake cha kazi Njombe. Alikuwa peke yake kwenye gari binafsi...
Mzee Said Mohamed ambaye ni Baba Mzazi wa Mfanyabiashara Ghalib Said Mohamed (GSM) amefariki dunia alfajiri ya leo Machi 1 2022 na anatarajiwa kuzikwa leo saa kumi jioni kwenye makaburi ya Kisutu...
Aliyekuwa mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio One, Emmanuel Chacha amefariki dunia jioni ya leo Februari 10, 2022 akiwa jijini Mwanza.
Chacha alianguka ghafla ambapo amefariki akiwa...
Mama Vicky Nsilo Swai mwenye historia ya kuhifadhi nyumbani kwake viatu vya mpigania uhuru wa Afrika ya kusini hayati Rais Nelson Mandela mwaka 1962 amefariki dunia.
Pia soma
-...
Wakuu Mungu awe Nanyi Muda Wote.
Hii Taarifa Sio Muhimu Sana na Mtanisamehe Ambao Mtaona Au Mtajisikia Vibaya. Napenda Kuwapa Taarifa Kwamba Ndugu Yetu Mkakaro Kagere Mkakaro Amefariki Dunia Jana...
Mtoto wa kwanza wa marehemu Balozi Augustine Mahiga aitwaye Mikola Mahiga, maarufu kama "Mike" amefariki dunia kwa ajali ya gari huko Geneva, Uswiss alipokuwa akifanya kazi katika Taasisi...
Tajiri ambaye pia ni Mmiliki wa Rose Garden Dodoma na ukumbi wa sherehe wa Kikimanj Ndugu Fredy Sam amefariki Dunia jana usiku akiwa anapatiwa matibabu kwenye hospitali ya Aghakan Jijini Dar es...
Nimepata taarifa ya kuwa Mzee Sadru Ndossi ambaye ni moja wa mmiliki wa Kampuni kubwa ya kuuza spea za magari na pikipiki amefariki Dunia leo asubuhi.
Pia anamiliki majengo kadhaa hapa mjini bila...
Habari zilizonifikia ni kuwa mzee William Mbunga mwandishi wa habari mkongwe, aliyepiga picha tukio maarufu uchanganyaji udongo kwenye Muungano wa Tanganiyika na Zanzibar amefariki Dunia tarehe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.