Mtangazaji wa Radio One naITV Agnes Almas afariki dunia. Mwenyezi Mungu ailaze Roho ya marehemu Mahali Pema Peponi [emoji1431]
R.I.P AGNES ALMASY.
UPDATE:
Mtangazaji wa ITV, Agnes Almas...
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021...
Kwa waliofanikiwa kusoma UDSM miaka ya elfu mbili na kuendelea na kwa waliosoma UDOM pia miaka hii ya karibuni Idara ya physics nadhani jina hili sio geni kwao, DKT. TYILIA Hatunae duniani...
Mmiliki wa Baa Maarufu Dar es Salaam na Tanzania iitwayo ROSE GARDEN iliyopo Mikocheni Dar es Salaam, Mzee Damas Assey amefariki Dunia leo.
Mzee huyu ambaye pia anamiliki Shule za St. Florence na...
Joseph Mfugale ambaye alikuwa mmiliki mwenza wa Peacock hoteli amefariki dunia leo asubuhi.
========
Mmiliki wa hoteli ya Peacock, Joseph Mfugale amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.
Mmoja...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19...
Habari zilizonifikia usiku wa kuamkia leo ni kwamba Balozi mstaafu na kada mashuhuri wa Chama cha mapinduzi Dr. Emanuel Nchimbi amefiwa naa baba yake mzazi.
Mzee Alphonso Nchimbi amefariki...
Mirembe Hospitali inasikitika kuwatangazia kifo cha muuguzi mwenzetu Rufina Komba , ambaye amefariki asubuhi ya leo.
Kifo cha kikatili kwa kukatwa na mapanga na kuchomwa moto na mumewe.
Watu 9 wamefariki dunia na wengine 6 kuokolewa wakiwa hai baada ya boti kuzama baharini Kisiwani Pemba wakati watu hao wakitokea Chakechake kwenda kisiwa cha Panza kwenye shughuli za mazishi...
Mmoja wa Wasanii maarufu ambaye pia ni Mwanahabari mkongwe, Barnabas Maro maarufu kama Mzee Kambaulaya au Baba Bishanga amefariki dunia
Mzee Kambaulaya amefariki Januari 4 katika Hospitali ya...
Hayati Prof. Kanywanyi
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Slaam (UDSM), Profesa Josaphat Kanywanyi hatunaye tena tangu tarehe 10 Januari 2021.
Anajulikana kwa kuwa mhadhiri wa muda mrefu wa...
Baba Privatus #Karugendo amefariki dunia usiku huu.
#RIPFrKarugendo
Baadhi ya maandishi yake kwenye mitandao ya kijamii.
14/6/2021
“Kutafakari na kuhoji ni dalili Za uhai. Maiti haiwezi...
Alikua head wa Breast Unit Muhimbili,Dr humble na Muugwana,amefariki jana kwenye msiba wa mdogo wake baada ya kuaga mwili akaishiwa nguvu.
Nitakukumbuka kwa kunihudumia bila kuchoka mpaka...
Wadau za Jioni,
Aliyewahi kuwa Mtangazaji Maarufu wa Radio One enzi hizo, Misanya Bingi anaumwa baada ya kupata na Stroke na kupelekea kulazwa katika Chumba cha uangalizi maalum Muhimbili...
Mtoto wa Masoud Kipanya maarufu Malcolm the Believer amefariki jioni hii alipokimbizwa Hospitali Muhimbili kwa matibabu ya dharula ( Emergency)
Msiba utakuwa Mwenge kwa Babu yake na mazishi ni...
Wakili Msomi Kibuta Ongwamuhana amefariki akiwa anapatiwa Matibabu Nchini Afrika ya Kusini.
Katika Wanasheria walioisumbua Serikali ya Tanzania kipindi cha miaka mitano iliyopita ni Mzee Kibuta...
Aliyekuwa Hakimu Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na baadaye kuhamishiwa Mtwara, Geofrey Mwambapa amefariki Dunia.
Hakujatolewa taarifa zaidi za ugonjwa wake wala hospitali aliyofia
Pumzika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.