Habari Wakuu!
Nimepokea taarifa sasa hivi kwamba aliyekuwa mtangangazaji wa Radio Free Africa na MC maarufu Baina Kamukuru amefariki dunia huko jijini Dar es Salaam
Mliko Dar plz naomba...
Askofu Joseph R. Mlola, ALCP/OSS, wa Jimbo Katoliki Kigoma anasikitika kuwajulisha kuwa ndugu yetu Padre Raymond Saba, ameitika sauti ya Mungu kutoka dunia hii leo kama saa mbili kasoro dakika...
MKONGWE wa Tasnia ya Maigizo nchini Mohammed Fungafunga maarufu Kama Mzee Jengua amefariki dunia asubuhi ya Disemba 15 huko Mkuranga, mkoani Pwani.
Marehemu alikua akisumbuliwa na Maradhi ya...
Shakirali Hassanali Almaarufu Mzee Masumin Amefariki nchini India leo Jumatano July 28, 2021. Mzee Masumin ameacha mke na watoto wanne.
Marehemu atazikwa leo Mjini Mumbai, India.
Masumin...
Profesa wa chuo kikuu Ardhi, Eleuther Mwageni amefariki dunia hii leo
Pia Profesa Eleuther Mwageni mnamo June 8, aliteuliwa na Rais Samia kuwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo CBE
Bwana...
Inasomeka huko Mbezi eneo la Msakuzi. Mtu mmoja ambaye jina lake ambalo bado halijafahamika, kabila ni Mchaga amekutwa kajinyonga akiwa nyumbani kwake eneo la Mbezi Msakuzi.
Moja ya mashuhuda...
Familia ya Freeman Aikael Mbowe wametangaza kifo cha Baba Mdogo wa Mbowe aitwaye Manase Alphayo Mbowe aliyefariki baada ya kupata mshtuko baada ya kupata taarifa za mwanaye kutuhumiwa Ugaidi...
Msanii wa Muziki, Waziri Ally Kissinger wa The Kilimanjaro Band (wana Njenje) amefariki dunia usiku huu katika Hospitali ya Mwananyamala.
Poleni Ndugu , Jamaa na Marafiki.
3rd wv
Mhilu, alifariki jana akiwa ARUSHA baada ya kuugua muda mfupi. Msiba uko UKUN, BAGAMOYO.
Wakati wa uhai wake amewahi kuwa Mkuu wa Shule EAGLES, Bagamoyo na kufundisha shule mbalimbali zikiwemo...
Taarifa zilizotufikia kutoka Chadema zinaeleza kwamba Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa chama hicho amelazimika kukatisha kampeni za operesheni haki huko Zanzibar na kurejea Tanganyika baada...
Nasikitika sana kuwatangazia kifo cha mwanajamiiforums Paul Buchira Katamuzi sijajua kuwa humu alikuwa anatumia jina gani ila alikuwepo na mara nyingi alikuwa anaizungumzia ofisi yake {CATAUX...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC), Elishilia Kaaya amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi. Alikuwa akipatiwa matibabu katika Hospitali ya AICC jijini...
Mkazi maarufu wa mjini Morogoro, Hassan Bantu pichani chini amefariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikopelekwa baada ya kuugua kwa muda mfupi:
Hassan Bantu alikuwa mfanyabiashara...
Mwanzilishi wa Radio ya kwanza binafsi nchini Tanzania (Radio Tumaini), Padre Francois Gautier amefariki dunia.
Aliwahi kuwa paroko wa parokia ya Manzese.
Will miss you father R.I.P
HABARI MBAYA
Mwanahabari na mdau wa maendeleo nchini, Mkinga Mkinga amefariki Dunia Asibuhi ya leo Hospital alipokuwa akipatiwa matibabu baada ya kuugua ghafla siku chache zilizopita na...
Ni msiba mzito
Ni huzuni na majonzi makubwa
Mfanyabiashara mkubwa na Mwanaharakati maarufu ambaye pia ni Mkurugenzi wa Hoteli ya Golden Rose iliyopo Jijini Arusha amefariki dunia
Taarifa zaidi...
Kama kawaida ya mipango ya Mungu. Kamanda Athuman Kidavashali aliyekuwa kamishina wa Polisi Makao Makuu amefariki. Poleni sana Makamanda wote. Kifo hakina huruma kinambeba kila mtu awe mwalimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.